Kigogo CCM aguswa kashfa ya makontena

Kigogo CCM aguswa kashfa ya makontena

Mie ni kati ya wazalendo wanokuja kwa kasi nchi hii, sio mchumia tumbo, Nina kipato changu halali hakitegemei hisani ya MTU, naihubiri haki, natenda haki Na nitaendelea kuitetea Na kusimamaia haki dhidi ya makaburu au ma Hizbu wa Lumumba
Huna jeuri ya kuihubiri haki. Na Mungu amepishia mbali yule mzee aliyekinunua chama cha ukoo wa Mtei alishindwa kupata urais. Aina yako wewe kwa sasa ndio mngekuwa viongozi wa dhuluma za kila aina. Nyinyi ndio mngekuwa wapambe wenye kuogopwa na kila mtu. Leo kwa sababu mpango umeshindikana mnajifanya eti mnachokipata kinawatosha.
 
Mafisadi wamejaa huko CCM k?sasa cha ajabu hapo nini
 
Na wewe pia uhamiaji inakuhusu, kubananga ndio nini?
He hee kumbe hujui kubananga ni kufurunda, kuharibu, kutobhanga na ni kiswahili murua, lakini geneti, jelala, jelalani na kezeti ni kiswahili kibovu
 
Huna jeuri ya kuihubiri haki. Na Mungu amepishia mbali yule mzee aliyekinunua chama cha ukoo wa Mtei alishindwa kupata urais. Aina yako wewe kwa sasa ndio mngekuwa viongozi wa dhuluma za kila aina. Nyinyi ndio mngekuwa wapambe wenye kuogopwa na kila mtu. Leo kwa sababu mpango umeshindikana mnajifanya eti mnachokipata kinawatosha.
Hata Dunia inajua mlichofanya hata waliopo wanajua walichofanya
 
Afadhali ya kile tulichofanya kuliko kile mlichotaka kufanya. Mliajiri mpaka wamarekani na wavietnam ili mradi mpate ushindi?. Sasa hivi mngekuwa kwenye pilika pilika nyingi za kuwalipa wote waliochangia kuwapeni ushindi. Mkaunda mpaka tume pori ya uchaguzi!!, ili mradi tu muende pale Ikulu. Poleni sana, nguvu mliyotumia ilikuwa kubwa sana na matokeo yake mmeangukia pua.
 
Meingiza taifa hili kwenye janga la umaskini wakupindukia yale magari ya Washawasha yaliletwa ya nini ile hali kule kwa Babu yako hakuna kisima cha maji masafi NANUKU KAULI YA MAGUFULI ALIYOITOA BUNGENI: Kuna watu wamesafiri kwenda nje ya nchi kuliko walivyo safiri kwenda kuwasalimia wazazi wao vijijini mwisho wakunuku. Upo hapo nusu kijiko?
 
huyu si mtanzania na kama kweli ni mtanzania basi si mzawa,tunaomba achunguzwe uraia wake asije kuwa ni mnyarwanda au msomali.
Unaingiza yale mambo ya zama zile mkishindwa na mtu mnasema si Mtanzania cc. Ulimwengu
 
Meingiza taifa hili kwenye janga la umaskini wakupindukia yale magari ya Washawasha yaliletwa ya nini ile hali kule kwa Babu yako hakuna kisima cha maji masafi NANUKU KAULI YA MAGUFULI ALIYOITOA BUNGENI: Kuna watu wamesafiri kwenda nje ya nchi kuliko walivyo safiri kwenda kuwasalimia wazazi wao vijijini mwisho wakunuku. Upo hapo nusu kijiko?
Magari ya kuwasha yamenunuliwa kwa ajili ya wale wanaojifanya vichwa ngumu. Kwa babu yangu na kwa babu yako ni sehemu tu ya Tanzania, kama sio leo kesho maendeleo yatapafikia. Ndio maana Ngosha kafuta safari za nje ya nchi. Ngosha anafanya mambo makubwa kwa sababu ni mzalendo wa kweli, tofauti na yule aliyetoa mabilioni ya fedha na kukinunua chama ili mradi agombee urais. Mtu aliyeutaka urais kwa nguvu zake zote, kama angeingia Ikulu fedha aliyotumia angeilipaje?, kama alikopa angeilipaje?. Na mpaka sasa anailipaje?. Mungu ni mwema, katukwepesha kuingia ndani ya mdomo wa Mamba.
 
Kweli wewe ujitambui hivi kweli unanua magari yakuwasha wakati Tanzania hii kuna watu wanaishi kwa kila mizizi? Hiyo hela aliyonunua chama ukiambiwa utoe ushaidi utaleta au ni yale yale ya maigizo ya kushtukiza?
 
Wewe unayejitambua umeifanyia nini nchi hii?. Hayo magari ya kuwashwa yana tofauti na gani na bunduki pamoja na vifaru, vitu ambavyo vinatengenezwa kwa ajili ya vita?. Mbona kuna watu wanateseka na njaa duniani hapa hapa na bado warusi na wamarekani wanatengeneza makombora ya kivita?. Serikali inafanya kila jitihada kuhakikisha watu wote wanapata chakula na kule Dodoma shehena za mahindi zimepelekwa hivi karibuni. Lakini hiyo haimaanishi kuwa katika baadhi ya sehemu za nchi hii wakitokea wapuuzi wenye kutaka kuvuruga ustaarabu waachwe tu wafanye walitakalo. Kuhusu ushahidi wa CHADEMA kuuzwa wafuata waliokiuza chama watakupa ushahidi wote.
 
Tanzania tuna vita? Mgemwacha Lowassa ashike Urais ndio ungeona anafanya nini unanifananisha namimi siyo miliki wa serekali mkiambiwa acheni akili za fisi unakata
 
Huna jeuri ya kuihubiri haki. Na Mungu amepishia mbali yule mzee aliyekinunua chama cha ukoo wa Mtei alishindwa kupata urais. Aina yako wewe kwa sasa ndio mngekuwa viongozi wa dhuluma za kila aina. Nyinyi ndio mngekuwa wapambe wenye kuogopwa na kila mtu. Leo kwa sababu mpango umeshindikana mnajifanya eti mnachokipata kinawatosha.
Hebu acha kutumika Na CCM mkuu, ni bora ukatubu watanzania tutakusamehe na Mungu akusamehe, ili uzee wako umalizie kwa amani, nakupenda ndo maana
 
Tanzania tuna vita? Mgemwacha Lowassa ashike Urais ndio ungeona anafanya nini unanifananisha namimi siyo miliki wa serekali mkiambiwa acheni akili za fisi unakata
Huyu MTU kishalazwa zizi moja Na fisi hasikii wala kuona anahitaji deliverance ya hali ya juu
 
Back
Top Bottom