Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,919
- 7,770
[emoji107] [emoji107] [emoji107]Ndio maana wakishachafuka wanahamia chadema ili tuwasafishe...inabidi tujifunze tusirudie hili kosa.
[emoji107] [emoji107] [emoji107]Ndio maana wakishachafuka wanahamia chadema ili tuwasafishe...inabidi tujifunze tusirudie hili kosa.
Asante kwakumshanga huyo nusu kijiko wa Lumumba[emoji107] [emoji107] [emoji107]
wale wa CHADEMA mbona bado wanakoroma?.Wanachama wa CCM sijui wataamka lini
Hatujafungiwa kwenye chupa kama nyiewale wa CHADEMA mbona bado wanakoroma?.
Mngekuwa hamjafungwa msingekuwa mnafanya vituko vya kupinga kila mnachokisia, kwenu jibu la uhakika ni NO, kusema YES kwa mambo yenye mustakabali wa nchi wala hamuwezi. Kutafuta kick ndio jadi yenu.Hatujafungiwa kwenye chupa kama nyie
SOMA HII NDIO UTANIAMBIA CCM NI CHAMA AU NI UKURUNZINZA....Mngekuwa hamjafungwa msingekuwa mnafanya vituko vya kupinga kila mnachokisia, kwenu jibu la uhakika ni NO, kusema YES kwa mambo yenye mustakabali wa nchi wala hamuwezi. Kutafuta kick ndio jadi yenu.
Kwanini hilo gazeti lina Andika habari kimafumbo, na wanshindwa kumtaja muhusika na watupe ushahidi kama hilo lina ukweli.Ni Kinana, ebooo hujui kukonekti doti??
Nguvu yenu sasa imebakia Zanzibar, naona mzee wa monduli kwa sababu alishindwa huku Bara sasa anatumia nguvu zake kuleta fitina kule Visiwani. Mambo ya huko yakipita salama, biashara yake kisiasa ndiyo itakuwa imefikia Kigoma mwisho wa reli.SOMA HII NDIO UTANIAMBIA CCM NI CHAMA AU NI UKURUNZINZA....
Kuna vituko sana nchi hii
1. Leo Jecha anatoka na vifungu vya sheria, hakuwahi kueleza vifungu vilivyompa haki yeye binafsi au tume ya uchaguzi kufuata uchaguzi
2. Jecha hajatoa kifungu cha katiba kinachoonyesha utaratibu wa uchaguzi wa marudio. Nimeipitia katiba ya ZNZ ya 1984 na marekebisho yote sikuona kitu kinaitwa uchaguzi wa marudio wa nchi nzima isipokuwa wa eneo lenye utata
3. Jecha hajatoa kfungu anachosimama nacho kufuta matokeo.
Alikuja na malalamiko 10 ambayo leo hayaongelei amebaki na la kujitangaza
4. Jecha hajaonyesha kifungu cha kujitangaza kinatoa hukumu gani kwa aliyefanya
5. Jecha anasema majina yatakuwa yale yale bila kutueleza sheria za tume yake na katiba zinasemaje
6. Jecha huyo huyo anayesema wagombea ni wale wale anatoa ulinzi kwa waliokubali kushiriki. Hawa waliokubali kushiriki ni wapi ikiwa majina ni yale yale kama alivyosema hapo juu?
7, Jecha anasema tume itatoa ulinzi. Ulinzi na usalama wa wagombea hautolewi na tume kwasababu si mamlaka yake. Tume inaomba ulinzi kutoka vyombo husika!
8. Jecha aliwahi kukaririwa na gazeti moja akisema amethibitisha vyama kutoshiriki.
Leo hajarudi kufuta kauli ile anapandikiza nyingine. Jecha anajua anachosema?
Sasa kazi ya fisi nikutoa Arufu mbaya tuu hivi wewe unazani wanhekua hawana ushaidi wangeandika? Wapeleke mahakamani utaona utakavyo umbuka sana na kuna mambo hayaitaji mahakama kama mgodi wa kiwira bank ya nbc kusafiri kusikokua na tija oilcom na mengine mengi, Ukiweka ubongo kufikiri ns si makalio utayaona mengiUshahidi ni kitu muhimu sana kwenye kashfa yoyote mtu aitowayo. Hilo Gazeti halikutaja Jina la huyo kigogo kwa sababu hawana uhakika na pia hilo gazeti ni la chama cha upinzani kama Uhuru ni gazeti la chama tawala.
Kwa hiyo hii ni mikakati yao ya kuwachafua viongozi imara wanaowaogopa. Wao hawakumtaja mtu jina wakijua wale Nyumbu Wao hapa JF watatimiza jukumu hilo, kwani hao nyumbu ni mzoga uliopakwa sumu kutaka kumuuwa Simba, lakini bahati yao mbaya simba katoka mawindoni na ameshiba.
Kama unsona hakuna ushaidi nendene mahakamani muoneUkitaka kujua wabongo/watu weusi wanafiki check tu comments toka 1 mpaka 8 hakuna jina la kigogo au jina la kampuni, huu si UNAFIKI??? nakuzushiana/kuchafuana tu.Mtu mwenye evidences aweke hapa unafiki wa nini??
Hakuna Mafumbo yoyote Mbowe juzi alitaja Majipu makubwa matatu mpaka leo yamefanywa jini? Ccm ni ile ileKwanini hilo gazeti lina Andika habari kimafumbo, na wanshindwa kumtaja muhusika na watupe ushahidi kama hilo lina ukweli.
This is propaganda at its worst.
Vigogo wote wa ccm wanakashfa ya ufisadi,
Hao mliowashindwa kuwapeleka mahakamani?Na wote wa Chadema hasa wapya!4
Wanaogopa kuguswaKinana anawaudhi wengi. Haya tungojee kama huu mgazeti wa Mbowe nao haujafungiwa maisha
Wanaogopa kuguswa
Hawajui Watanzania wa sasa si wale wa miaka ileMkuu, hawaogopi kuguswa bali wanachukia mno ukiwagusa. Wakihamaki hutenda vibaya sana