Kigogo CCM aguswa kashfa ya makontena

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,903
Kampuni yake yahusishwa na ufisadi bandarini kwa upotevu wa makontena zaidi ya 3,000 yaliyotolewa bure bila kulipia ushuru bandarini.

Kigogo huyo mwenye nafasi ya juu na ushawishi mkubwa ndani ya CCM anamiliki shiping line na bandari kavu (ICD) iliyopo barabara ya Nyerere.
img-20160222-wa0013-jpg.324710



Chanzo: Tanzania Daima
 

Attachments

  • IMG-20160222-WA0013.jpg
    IMG-20160222-WA0013.jpg
    45.1 KB · Views: 301
Naona na yale Mabango ya Manispaa ya Kinondoni yamegusa mfupa wa mtu.Ukiona CCM inalalama ujue kuna mahali pameguswa
 
Mbona sijaona jina la kigogo,,,mnamuogopa kumtaja...halaf hata kama ni kigogo wa chama hiyo kampun haina uhusiano na ccm,,,
 
Hutasikia habari ya makontena wala uchunguzi maana Magufuli atafahamu ukweli ndipo aamue aachie chama ajihuzulu au chama imdhibiti hatimaye kuwa rais poa.
 
Fisadi wa maneno Na wewe, unaweza ukaiambia dunia ufusadi wa hao watu walohamia chadema?
Ngoja tusubiri wengine wakija jinsi watakavyofutiwa dhambi zao....kama kawaida kwa sasa tuna hati miliki ya kuchafua na kusafisha...haya mambo yanaudhi sana siku hizi sijivunii tena kujitambilisha kama mimi ni upinzani sababu upinzani unamilikiwa na CCM.
 
Huyu bwana sio yule weka mbali na tembo. Maanake meli yake moja ilishawahi kukamatwa Hong Kong ikiwa na shehena ya meno ya tembo.
 
Back
Top Bottom