Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,949
- 74,431
Ha ha ha! Kumbe JF watu wanakatazwa kunywa hata chai? Mzee vipi una mpango gani afya za watu?Ukiingia jf uwe haujanywa chochote kilevi
Ha ha ha! Kumbe JF watu wanakatazwa kunywa hata chai? Mzee vipi una mpango gani afya za watu?Ukiingia jf uwe haujanywa chochote kilevi
Tusaidiane kuweka wazi hawa watu. Ni Mani huyo wa mabango?
Ukiingia jf uwe haujanywa chochote kilevi
Ha ha ha! Kumbe JF watu wanakatazwa kunywa hata chai? Mzee vipi una mpango gani afya za watu?
Wanakuja KutubuNdio maana wakishachafuka wanahamia chadema ili tuwasafishe...inabidi tujifunze tusirudie hili kosa.
Umeshanunua gazeti au umefungiwa hapo kwenye chupa lumumba?Mbona sasa mtu mwenyewe hawamtaji? Au wanamuogopa?
Hivi ile Meli ipo wapi?Mr Ndovu anaimaliza nch yetu sana
Wale watatu Kamanda Freeman Mbowe aliowataja wameshatumbuliwa au ni raha ccm kuitwa fisadi kweli fisi nimjinga sanaHaha
Minaomba wamtaje tu
MSAFI CCM NI YUPI?Mbona sijaona jina la kigogo,,,mnamuogopa kumtaja...halaf hata kama ni kigogo wa chama hiyo kampun haina uhusiano na ccm,,,
Yah right .......... subiri kazeti la Uhuru!!Gazeti lenyewe tanzania daima kazeti la majuha na wathirika wa ukabila.
Umeshanunua gazeti au umefungiwa hapo kwenye chupa lumumba?
Sasa kwa kifupi sana hakuna Msafi ccmChupa tena? Nimekua samaki?? Teh teh teh.
Hapana ndugu yangu sijanunua na niko nje ya tanzania ndio maana hatupati habari kamili.
Sasa kwa kifupi sana hakuna Msafi ccm
![]()
![]()
Chai INA kilevi
Ndiyo, kilevi cha Narcotin![]()
![]()
Chai INA kilevi
Ccm wao wana mtambo wakuzalisha mafisadiHakuna mwana siasa yoyote aliyekua msafi, si ccm wala ukawa. Mwafrika ni mwafrika tu.
Kuna wakati tunawasema viongozi lakini sisi wenyewe hatujiulizi kwamba tunatoa rushwa mara ngapi ili mambo yetu yaende harakaharaka. Tunanunua bidhaa marangapi bila kuuliza risiti.
Leo hii mtu wa kawaida anaye sema fulani ni fisadi akipewa nafasi tu serikalini nayeye pia ataiba.
SHIIIT! KUMBE TANZANIA DAIMA?? GEZETI LILILOPOTEZA MWELEKEO KITAMBO SASA AMBALO HALIAMINIKI TENA!Kampuni yake yahusishwa na ufisadi bandarini kwa upotevu wa makontena zaidi ya 3,000 yaliyotolewa bure bila kulipia ushuru bandarini.
Kigogo huyo mwenye nafasi ya juu na ushawishi mkubwa ndani ya CCM anamiliki shiping line na bandari kavu (ICD) iliyopo barabara ya Nyerere.
![]()
Chanzo: Tanzania Daima