Kigogo CCM aguswa kashfa ya makontena

Kigogo CCM aguswa kashfa ya makontena

Ubongo wako Na kiwiliwili havina mawasiliano, alishwaambia mwenye ushahidi aende mahakamani tofauti Na hapo fungeni midomo,
Jinai haina mwisho, wewe fanya kosa la jinai leo lakini kumbuka kuwa unaweza kufungwa hata mwaka 2046, ili mradi ushahidi ukamilike kuweza kukutia hatiani. Kuwa mpambe wa mzee wa monduli lakini kumbuka kuyatazama mambo katika mtazamo unaofikiria kwa undani.
 
Kwenye huo ushaidi mtawaeka na wale watatu freeman Mbowe aliowataja?
 
Mbowe huwezi kumlinganisha Na hao wanaotumia fisi km usafiri,
Mbowe ni wale wale tu, kamuuzia mtu chama, mpaka kachangia Dr. Slaa kuzira na kuamua kuachana na siasa. Dr. Slaa alimuita Mbowe kuwa ni mhuni wa kisiasa. Unapokuwa mpambe wa mtu usishikiwe akili, baki nazo ili uweze kujenga hoja mbele ya watu.
 
Yule nasikia ndio nyota ya ushindi anachumba mahalum hapo Lumumba
Huyo fisi Nyota yake ishakufa tangu 2010 mkuu, mwaka wa jana pamoja na kuzunguka nae lkn mambo yaliwaendea kombo, shekhe Yahaya marehemu alikuwaga akiwasiaida ndo hivyo tena, Kingunge nae kawakimbia, sasa hawana pa kushika km unavyoona Zenji moshi unavyofuka, Yule fisi ndo basi tena labda watafute Simba
 
Mbowe ni wale wale tu, kamuuzia mtu chama, mpaka kachangia Dr. Slaa kuzira na kuamua kuachana na siasa. Dr. Slaa alimuita Mbowe kuwa ni mhuni wa kisiasa. Unapokuwa mpambe wa mtu usishikiwe akili, baki nazo ili uweze kujenga hoja mbele ya watu.
Nimesikia kuna nafasi 20 Mh kaziandaa bila shaka utakuwa mmoja wao, maana kazi ulotumwa waifanya vema
 
Mbowe ni wale wale tu, kamuuzia mtu chama, mpaka kachangia Dr. Slaa kuzira na kuamua kuachana na siasa. Dr. Slaa alimuita Mbowe kuwa ni mhuni wa kisiasa. Unapokuwa mpambe wa mtu usishikiwe akili, baki nazo ili uweze kujenga hoja mbele ya watu.
Kule dodoma aliweka vikaratasi mfukoni vya nini
 
Huyo fisi Nyota yake ishakufa tangu 2010 mkuu, mwaka wa jana pamoja na kuzunguka nae lkn mambo yaliwaendea kombo, shekhe Yahaya marehemu alikuwaga akiwasiaida ndo hivyo tena, Kingunge nae kawakimbia, sasa hawana pa kushika km unavyoona Zenji moshi unavyofuka, Yule fisi ndo basi tena labda watafute Simba
Itabidi tumulize tembo Man ngozi ya yule fisi kauzia wapi
 
Kwa sababu wewe ni mpambe chizi unafikiri na wenzako wote wanafanya kazi hiyo hiyo ya kichizi.
Mie ni kati ya wazalendo wanokuja kwa kasi nchi hii, sio mchumia tumbo, Nina kipato changu halali hakitegemei hisani ya MTU, naihubiri haki, natenda haki Na nitaendelea kuitetea Na kusimamaia haki dhidi ya makaburu au ma Hizbu wa Lumumba
 
TUOMBE MUNGU ILE MELI YAKE ISIJE TIA NANGA HUKU TANZANIA MAANA ITAKUA NI GARIKA
 
Hakuna mwana siasa yoyote aliyekua msafi, si ccm wala ukawa. Mwafrika ni mwafrika tu.
Kuna wakati tunawasema viongozi lakini sisi wenyewe hatujiulizi kwamba tunatoa rushwa mara ngapi ili mambo yetu yaende harakaharaka. Tunanunua bidhaa marangapi bila kuuliza risiti.
Leo hii mtu wa kawaida anaye sema fulani ni fisadi akipewa nafasi tu serikalini nayeye pia ataiba.

Right on point.
 
Back
Top Bottom