siku nyingine uwe unanisikiliza utanifanya niwe naenda kufanya maombi hapo
kwa baba Anna jirani yetu hapo wakati baba paroko upo....
huko kuna umuhimu wa kuona kwa macho lol
Mimi FaizaFoxy amenichekesha sana na Gozi lake...halafu vijana wa siku hizi hawajui maana yake
King'asti nakuban kwenye huu uzi until further notice, unamletea stress mshua
Heaven on Earth na Eiyer liv Ennie alon.
Nasita sana kukutakia kila heri wakati najua kitakachokupata si cha heri...
Babu DC!!
hivi mkuu whatever hapenned to klorokwini?
hivi mkuu whatever hapenned to klorokwini?
duh....!! Huyu kiongozi tulishaanza kumsahau. kapatwa na nini??
Fanicha nzuri sana.
hata hivyo viglass nimevipenda sanaHahahahahahahaahah,
Wengine ndiyo tunastuka kwamba hapo kuna fenicha....
Haya mambo haya...
Babu DC!!
ha haaa, mimi ni mtu mzima bana....AHhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh,
Hebu angalia vizuri mfumo wako wa ulinzi.....unajua habari ya majuto ni mjukuu haina msaada kabisa...
Babu DC!!
na mie nimewaza kwenda huko ili niwakataze wengine nitakaporudiPale ninapokatazwa ndipo ninapopataka......Kigali wait for me......kwani nini bana.......
Kwani nimekosa nini mie?
Dark City ngoja na mie niende pande hiyo[kigali], halafu nikirudi nitakuunga mkono kuwakataza watu wasiende hukoNimetokea kupachukia sana Kigali, ingawa nasikia na Addis napo hapafai.....:lie::lie:
Bahati nzuri nimestaafu.... nasaidiana na Bibi kuitafuna pensheni yangu....lol!!
Ila Kigali ni mojawapo ya mahali ambapo sitapenda wajukuu zangu waende ende au wapazoee...!!
Cc: Kaizer, Asprin, CHUAKACHARA, KOKUTONA, Mwanyasi, gfsonwin, King'asti, Fixed Point, PakaJimmy, Filipo, Preta, Blaki Womani, marejesho....
Babu DC!!