Kifurushi cha mtandao wa Tigo kiitwacho halichachi

Kifurushi cha mtandao wa Tigo kiitwacho halichachi

Bahati mbaya huo mtandao sijawahi hata kumiliki line yao.... Yaani ni kati mtandao nisio na imani nao kabisa.....Tigo.!?
 
Kifurushi cha Hakichachi kinapatikana kwa namna mbili;
1. Kupitia Tigo Pesa *150*01#
150MB kwa 2000/=
400MB kwa 4000/=

2. Kupitia Menu ya *148*00#
150MB kwa 1000
400MB kwa 2000.

Karibu tufurahie huduma ya TiGo.
Nikaribie wapi?????
 
sasa si ndio maana hakichachi.unaweza ukatumia hata miezi miwili.

believe me kuna watu vinawafaa vifurushi hivo
Are you serious!? Labda kwa wasiotumia smartphone, maana smartphone ukuwasha data tu apps zinaanza kufanya synchronization, na zinapepeta data ile mbaya hapo hujaanza kuwaza kufanya chochote kwenye matumizi yako
 
Airtel unapata dk 100 kwa wiki ?kwa sh 5000 mitandao yote?
Mkuu jionee mwenyewe ila ktk mb ndo nilighafilika ila muda wa maongezi kama unavyoona
7dcf950b293a10bfeb1f38ad9934dc98.jpg
leo tar:16 to 23,airtel wenzenu hawabahatishi japo unasemwa ni mtandao wa wazee ila tunaoutumia tuna-enjoy hawa tigo nina miezi zaidi ya sita hawajaiona sent yangu zaidi natumia sana tigopesa hata kwenye net naona airtel speed yao sio mbaya.
 
Tatizo Airtel hawana 4G
Watanzania wengi wanamiliki smartphone, lakini ni smartphone ngapi ya hizo zina capability ya 4G, au unafikiri kwa sababu wewe unamiliki simu yenye 4G basi simu zote zinapokea 4G automatically!?
 
Mkuu jionee mwenyewe ila ktk mb ndo nilighafilika ila muda wa maongezi kama unavyoona
7dcf950b293a10bfeb1f38ad9934dc98.jpg
leo tar:16 to 23,airtel wenzenu hawabahatishi japo unasemwa ni mtandao wa wazee ila tunaoutumia tuna-enjoy hawa tigo nina miezi zaidi ya sita hawajaiona sent yangu zaidi natumia sana tigopesa hata kwenye net naona airtel speed yao sio mbaya.

Unajiunga vp hii??
 
tupe elimu shekhe,tutajidai vipi?mfano mi na ka laini kangu ka tigo..
Mkuu kwa nilivyoelewa mimi kwa namba yako hiyo hiyo ya tigo na kwa code No zake mf:0713 or 0655 utakuwa na uwezo wa kuchagua either uhamie airtel,voda or ttcl bila kuwaathiri wale wanaokutafuta,yaani upo ttcl ila unatumia No yako unayoamini ni ya tigo na hakuna atakaekukosa hewani,nikusema kwamba pale ambapo ulitakiwa kuhama line fulani kupata huduma nzuri zaidi haitahitaji tena kununua line ya mtandao husika.hope nimesaidia japo kidogo.
 
nilidhan waliopo tigo wanafaid ndo mana wanafunz weng wapo huko kumbe hola.bas navutwa na halotel soon
 
*104*TARAKIMU 14*03 kisha reli alafu okay....niliipata hapahap jf unapata MB1024=1GB na 24mb kwa 600 ila vocha iwe ni ya 1000 FOR TIGO ONLY..................na balance inabakia 400 kwenye account yako
 
Tigo cjawahi kuifikiria kwnye matumizi yangu y internet ni ovyo kbsa...hizo mb150 lbd natumia simu ya tochi ndo orgasm.
 
Back
Top Bottom