Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,207
- 15,888
Kwa hivyo viwango ulivyoambatanisha hapo kama ni kweli nadhani umewasikia vibaya mkuu,may be walimaanisha “HALICHALI"kasoro hawakuweka ndembendembe na sio “HALICHACHI",mie yangu airtel tu japo nao wanagonga nyundo za utosi ila kidogo nikijiunga cha chuo wik maisha yanasogea sogea.tigo chaka la tamaa.