Kifurushi cha mtandao wa Tigo kiitwacho halichachi

Kifurushi cha mtandao wa Tigo kiitwacho halichachi

HALOTEL 500 UNAPATA MB 600 WIKI NZIMA
Uko sawa mkuu. Kwa maneno mengine, unapata mb 3600 za halotel kwa wiki nzima kwa sh.3000. Ndo maana sipendi kabisa kuisikia tigo. Halotel ndo babu lao
 
usiwasemee watu sema kama we kinakufaa ungekaa kimya mkuu sio lazima uchangie
Natumia tecno 528 nilikua na nunua bando 400 mb kwa sh 5000 lina kaa kwa mwezi mmoja mpaka unafika mwezi nimetumia saana ni mb 150 tena hapo nime download mpaka kwa hiyo mb 250 zina potema buure!.
sasa itakua niki nunua mb 400 hazina mwisho nitatumia bila wasi wasi NAJIULIZA HIYO MB 400 SI NITA TUMIA MIEZI 4min-6 month max?
 
Unajiungaje hili bando la 500 kwa mb 600..!?
Kwanza nunua laini ya halotel yenye promotion za chuo, Hapo kuna maelekezo ya namna ya kujiunga. Tena hakuna limitations, yaani unaweza kujiunga zaidi ya mara moja kulingana na uhitaji wako wa bundle.
Pia si lazima uzitumie hizo mbs ndani ya wiki mpaka ziishe kwani unapogundua muda wake wa matumizi umekaribia kuisha, unachakachulia tu na bundle jingine la jero tu na linaendelea kuwa active kwa wiki nyingine zaidi.
HILI NDILO BUNDLE TUNALOLIITA HALICHACHI NA SIO HILO JINGINE LINALOITWA HALI-CHALI!...
 
Natumia tecno 528 nilikua na nunua bando 400 mb kwa sh 5000 lina kaa kwa mwezi mmoja mpaka unafika mwezi nimetumia saana ni mb 150 tena hapo nime download mpaka kwa hiyo mb 250 zina potema buure!.
sasa itakua niki nunua mb 400 hazina mwisho nitatumia bila wasi wasi NAJIULIZA HIYO MB 400 SI NITA TUMIA MIEZI 4min-6 month max?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] 400 mb per 30 days ..... hongera mana kwangu ni jambo lisilowezekana kabisa
 
Kifurushi cha Hakichachi kinapatikana kwa namna mbili;
1. Kupitia Tigo Pesa *150*01#
150MB kwa 2000/=
400MB kwa 4000/=

2. Kupitia Menu ya *148*00#
150MB kwa 1000
400MB kwa 2000.

Karibu tufurahie huduma ya TiGo.
Wakala
 
hamieni halotel na zantel hamtojuta huko ni full kuinjoy
 
Tigo nina kilaini chenu nimekinunua wiki moja iliyopita kama mnakitaka mseme niwatumie huko mlipo ila sitakaa nitumie mtandao wa tigo yaani naona kama nimefungwa miguu.

Tigo nyie ni moja ya wasanii nisioelewa kazi zao bora hata makhirikhiri
 
Kifurushi cha Hakichachi kinapatikana kwa namna mbili;
1. Kupitia Tigo Pesa *150*01#
150MB kwa 2000/=
400MB kwa 4000/=

2. Kupitia Menu ya *148*00#
150MB kwa 1000
400MB kwa 2000.

Karibu tufurahie huduma ya TiGo.
Tena kama uko TIGO waambie wananiudhi kukaa wanapiga piga simu ovyo mara ukipokea ni wao na matangazo yao, wanisimalizie chaji mie sipendi hizo simu zenu haswaaaaaaaaaa
 
Jamani kama kunamtandao unaitwa TIGO naomba mnisaidie jinsi ya kupata Line
 
Halotel ndo mkomboz wangu kwa mwezi natenga elfu 10 tu ya vocha
db796c3c409493cd1a7314585e9174a5.jpg
 
Back
Top Bottom