Kifurushi cha mtandao wa Tigo kiitwacho halichachi

Kifurushi cha mtandao wa Tigo kiitwacho halichachi

Tigo badilikeni huwezi uza 3000 mb 150 wakati Halotel 500 unapata mb 600 kwa wiki.
Jamani tuhamie Halotel wako poa sana. Tigo wamekosa MTU mzuri WA marketing badilishen marketing officer huyo mliyenaye kazeeka kiakili
 
Kama kichwa cha habar kilivyo hapo juu Tigo wamezindua kwa mbwembwe nyingi kifurushi kinachoitwa halichachi

Baada kuangalia kifurushi hicho nilichokikuta kwa kweli niliona tunarudi nyuma hatua elfu moja kwenye matumizi ya internet,sh 2000 unapata mb 150 na sh 3000 unapata mb 400 nilichoka
Wacha Tigo hao Hamia Halotel.
 
Kwasiku matumizi yangu ya internet kwenye simu pekee yanazidi 1gb sasa hii mitandao ya nyumbani hii inaleta masiara,hivi hakuna mtandao unaotoa true unlimited internet kwa mwezi ama wiki?
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakati mi mda mwingine hata 300MB kwa siku tu hazichachi
Hio mb150 ni video moja tu ya 720p unarudi dukani kununua vocha. Tigo is krazy
 
Natumia tecno 528 nilikua na nunua bando 400 mb kwa sh 5000 lina kaa kwa mwezi mmoja mpaka unafika mwezi nimetumia saana ni mb 150 tena hapo nime download mpaka kwa hiyo mb 250 zina potema buure!.
sasa itakua niki nunua mb 400 hazina mwisho nitatumia bila wasi wasi NAJIULIZA HIYO MB 400 SI NITA TUMIA MIEZI 4min-6 month max?
Mkuu samahani lakini, hebu naomba unipe mchanganuo wa matumizi ya internet kwenye simu yako
 
Hawa Tigo nadhani wanahisi wako kwenye Monopolistic market kama Tanesco vilee. Hawaangalii hata competitors wanafanyaje wao wanakurupuka kuleta offers za kipumbavu, hii kitu ni sawa tu na kile kifurushi chao cha mwaka walichokiondoaga ghafla wakatukera kishenzi, isipokuwa wamekipa jina jipya eti "HALICHACHI" wtf!.

Bundle prices and choices lazma ziwe refreshed kuendana na uhitaji, siku hizi watu wengi ni watumiaji wa smartphone na si feature phones pia wengi wao hawaongei na kuchati kwa ma text kama zamani. Ni mwendo wa audio na video calls na chats kupitia Social media and Instant Messaging apps (whatsapp,instagram,facebook,google hangouts , jamii forums and the like) na hizi zote zinategemea sana internet. Hapo sijagusia streaming and downloading services ambazo ziko intergrated katika hizo app tajwa.

Hii ina maana kwamba watumiaji wa simu wanahitaji bundles ambazo zitakuwa segmented vyema kulingana na mahitaji ya wateja. Wenye matumizi ya internet zaidi wawe na vifurushi vya kukidhi kwa ujazo na bei...Hali kadhalika wale wasio na uhitaji sana na internet wapewe dakika na sms za kawaida kwa bei reasonable.

Wajifunze kwa wenzao hasa halotel maana ndio anaondoka na share yake ya wateja kadri siku zinavyosonga kwa kujifanya vinara wa kubania bando za internet. Huwezi uza bando la simu ya 2G (applicable 15 years back) leo hii kwa bei ya ajabu kwa mtu mwenye simu yenye uwezo wa 4.5G!
Internet is the utility for any Smartphone you guys from Tigo. Amkeniiiii ohoooo!!!
 
Kama kichwa cha habar kilivyo hapo juu Tigo wamezindua kwa mbwembwe nyingi kifurushi kinachoitwa halichachi

Baada kuangalia kifurushi hicho nilichokikuta kwa kweli niliona tunarudi nyuma hatua elfu moja kwenye matumizi ya internet,sh 2000 unapata mb 150 na sh 3000 unapata mb 400 nilichoka
wakati halotel 500-mb 600
1500-mb 1200.
 
Mkuu samahani lakini, hebu naomba unipe mchanganuo wa matumizi ya internet kwenye simu yako
Ingia google angalia tecno 528 halafu njoo hapa uniambie natumia mb 150 kwa mwezi au situmii naomba ufanye hivyo ili upate jibu la kunijibu
 
Kifurushi cha Hakichachi kinapatikana kwa namna mbili;
1. Kupitia Tigo Pesa *150*01#
150MB kwa 2000/=
400MB kwa 4000/=

2. Kupitia Menu ya *148*00#
150MB kwa 1000
400MB kwa 2000.

Karibu tufurahie huduma ya TiGo.
Mkuu halichachi ni wizi mtupu. Unajiunga internet ya 2000 unapewa 400MBs halafu wanakuambia utumie ndani ya saa 24. Sasa hapo nini maana ya neno halichachi?
 
Back
Top Bottom