Kifurushi cha mtandao wa Tigo kiitwacho halichachi

Kifurushi cha mtandao wa Tigo kiitwacho halichachi

Mkuu kwa nilivyoelewa mimi kwa namba yako hiyo hiyo ya tigo na kwa code No zake mf:0713 or 0655 utakuwa na uwezo wa kuchagua either uhamie airtel,voda or ttcl bila kuwaathiri wale wanaokutafuta,yaani upo ttcl ila unatumia No yako unayoamini ni ya tigo na hakuna atakaekukosa hewani,nikusema kwamba pale ambapo ulitakiwa kuhama line fulani kupata huduma nzuri zaidi haitahitaji tena kununua line ya mtandao husika.hope nimesaidia japo kidogo.
Umeeleweka mkuu
 
B
Kama kichwa cha habar kilivyo hapo juu Tigo wamezindua kwa mbwembwe nyingi kifurushi kinachoitwa halichachi

Baada kuangalia kifurushi hicho nilichokikuta kwa kweli niliona tunarudi nyuma hatua elfu moja kwenye matumizi ya internet,sh 2000 unapata mb 150 na sh 3000 unapata mb 400 nilichoka
Mitandao ya simu siku hizi wanaminya M.B za vifurushi vya internet kila kukicha! Zaman walikuwa wanadil na dk! Ipo siku nao bundi atawaangukia
 
Kifurushi cha Hakichachi kinapatikana kwa namna mbili;
1. Kupitia Tigo Pesa *150*01#
150MB kwa 2000/=
400MB kwa 4000/=

2. Kupitia Menu ya *148*00#
150MB kwa 1000
400MB kwa 2000.

Karibu tufurahie huduma ya TiGo.
Huo ni usuhuzi, Halotel 600 mb kwa sh 500/- we veeepeeeew!
 
jamani tingo wanaboa hapa mjin unakuta unaogea na mtu hamsikilizan tatizo naona wao wenyewe kuwa wapo kwenye fedha zaid kuriko ubora wa huduma
 
Kifurushi cha Hakichachi kinapatikana kwa namna mbili;
1. Kupitia Tigo Pesa *150*01#
150MB kwa 2000/=
400MB kwa 4000/=

2. Kupitia Menu ya *148*00#
150MB kwa 1000
400MB kwa 2000.

Karibu tufurahie huduma ya TiGo.
Internet ni Halotel tuu wengine usanii
 
Niliwahi kujiuliza wakati fulani kwanini:

1 . Tunalipa hela isiyo expire ili kununua bundle lakini bundle zinawekewa limit? (My money doesn't expire but their service expires)

2. Kwa nini mtandao unapokuwa na shida (labda huwezi kutuma SMS, simu hazitoki na internet imekata), watoa huduma hawajali hayo na muda wa bundle kuisha ukifika no excuse?

3. Kuna zile bundle wanaziita za mitandao yote. Lakini ukijiunga wanakupangia, (labda dakika 10 za mtandao huo tu na dakika 7 ndizo za mitandao mingine). Dhana ya mitandao yote ni nini basi ikiwa bado unawekewa masharti kwenye bundle ya mitandao yote? Na hii shida IPO mitandao yote.

Halafu watu wakihoji anatokea mwingine anapinga. Hii nchi mpaka tukipata uwezo wa kuamua mamoja ndipo Uhuru utakapolijia taifa hili.

Huu mfano wa bundle za tigo ni mmoja tu kati Mingi ambayo pamoja na kwamba inatupa faida sote lakini bado kuna wengine wanajifanya kutetea. Tusitarajie katika nchi hii kwamba kutakuwa na mtu wa kutetea maslahi ya mwananchi zaidi ya wananchi wenyewe walioungana kwa nia moja.

Asomaye na afahamu.
 
V
*104*TARAKIMU 14*03 kisha reli alafu okay....niliipata hapahap jf unapata MB1024=1GB na 24mb kwa 600 ila vocha iwe ni ya 1000 FOR TIGO ONLY..................na balance inabakia 400 kwenye account yako
Hiyo 1GB ni ya siku au mwezi?
 
Zama hizi na tunapoelekea Ktk mitandao yetu VOICE TALK&MSGS zinazidi kuaguka na bei Kua ya chini..kwamfano Leo sh 1000 unapata hadi dk90 ya kuongea SMS bila kikomo.
Kinacho Matter sasa hivi ni DATA na bado itazidi kupanda bei..hata Hao Halotel wameanza na bei ndogo ili kuwavutia tu wateja..
 
Kifurushi cha Hakichachi kinapatikana kwa namna mbili;
1. Kupitia Tigo Pesa *150*01#
150MB kwa 2000/=
400MB kwa 4000/=

2. Kupitia Menu ya *148*00#
150MB kwa 1000
400MB kwa 2000.

Karibu tufurahie huduma ya TiGo.
Utakaribia Mwenyewe !!
 
Back
Top Bottom