Kifurushi cha mtandao wa Tigo kiitwacho halichachi

Kifurushi cha mtandao wa Tigo kiitwacho halichachi

Kifurushi cha Hakichachi kinapatikana kwa namna mbili;
1. Kupitia Tigo Pesa *150*01#
150MB kwa 2000/=
400MB kwa 4000/=

2. Kupitia Menu ya *148*00#
150MB kwa 1000
400MB kwa 2000.

Karibu tufurahie huduma ya TiGo.
Nyie mnakaa wapi juzi tgo wamenipa 10 GB kwa 2000 zitumike in a month. Mpaka sasa wiki nimetumia GB2 tu
 
Nyie mnakaa wapi juzi tgo wamenipa 10 GB kwa 2000 zitumike in a month. Mpaka sasa wiki nimetumia GB2 tu
Hii sio kwa wateja wote, hii ni wateja maalum, niliweka wiki iliopita zimeisha leo nimeweka tena.
 
Mkuu kwa nilivyoelewa mimi kwa namba yako hiyo hiyo ya tigo na kwa code No zake mf:0713 or 0655 utakuwa na uwezo wa kuchagua either uhamie airtel,voda or ttcl bila kuwaathiri wale wanaokutafuta,yaani upo ttcl ila unatumia No yako unayoamini ni ya tigo na hakuna atakaekukosa hewani,nikusema kwamba pale ambapo ulitakiwa kuhama line fulani kupata huduma nzuri zaidi haitahitaji tena kununua line ya mtandao husika.hope nimesaidia japo kidogo.
Hapa ndio kampuni za simu zitatuheshimu dadek!!!
 
usiwasemee watu sema kama we kinakufaa ungekaa kimya mkuu sio lazima uchangie
Unaporuhusu mjadala juu ya jambo lolote, kuwa tayari kupokea mawazo ya pande zote ( criticism is acceptable ) kamwe usiegemee upande mmoja tu ....

Hakika sijaliona kosa la huyo ndg alosema kuwa pana watu wengine kifurushi hicho chawafaa , matumizi yetu yatofautiana ....

Mfano matumizi yangu ni kiasi cha GB 5 kuendelea "per week" so mie hizo MB 150 ama 400 hata kama zngekuwa valid for 60 days bado hazinifai, but siwezi kuponda hiyo offer.
 
Kama kichwa cha habar kilivyo hapo juu Tigo wamezindua kwa mbwembwe nyingi kifurushi kinachoitwa halichachi

Baada kuangalia kifurushi hicho nilichokikuta kwa kweli niliona tunarudi nyuma hatua elfu moja kwenye matumizi ya internet,sh 2000 unapata mb 150 na sh 3000 unapata mb 400 nilichoka
Bora tu upate zile zinazochacha ufanye issue zako fasta, maana hata kama hizi ndio hazichachi (zinavuka 24hrs) lakini kwa vile zilivyo kidogo zitafika hayo masaa 24 sasa??
 
Ikifika tarehe 1 march huu unyonyaji utaisha
 
Kifurushi cha Hakichachi kinapatikana kwa namna mbili;
1. Kupitia Tigo Pesa *150*01#
150MB kwa 2000/=
400MB kwa 4000/=

2. Kupitia Menu ya *148*00#
150MB kwa 1000
400MB kwa 2000.

Karibu tufurahie huduma ya TiGo.
Ivi kwan tigo bado wanatoa Huduma ya internet? Maana unaweza kununua kifurushi na wala usikitumie kabisa hadi kina expire kwakwel ,maana net yao ina speed ya jongoo
 
Wakati kwa eatel nikiweka Uni ya 1000 napata Gb 2 na hapo WTF bure
 
Back
Top Bottom