Vitu vingine inabidi na serikali nayo ijifunze .
Mfano siku moja hapa tulikua na gari na gari letu lilikua kasi sana ,mara tukaona vimurimuri mbele na nyuma ya magari ya polisi yanatufuata,ile bado hatujajiandaa kubisha wakachomea ka screen fulani wakatuonyesha gari yetu na speed inavyotoka baruti.
Hapo ilibidi tuwe pole tu na kutunga uongo kwa polisi chapu chapu ,tukawaambia da kwa kweli barabara zenu ni nzuri sana yani tumenogewa kwanza hata tulitaka kuongoza speed na tukasema kule kwetu hakuna barabara kama hii ndio maana,polisi walicheka tu wakatuacha.
Hivi kwetu bongo nini kinashindikana ku weka vifaa kama hivi,si ni matumizi tu ya satelite yani anjari ikitokea vyote vinaonekena nasio kuanza kuhisi nini na propaganda.