Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

Status
Not open for further replies.
Magabe Kibiti

Wewe wala usilalamike kuja kwa mtikila hapa nyumbani tarime, yeye aje tu auze sera zake ZA UCHOCHEZI, kwa kuwa sisi ni majuha tutamuelewa, ila tusije kulaumiana.

Isayamwita mura weto,

nakuhakikishia kuwa Mtikila hawezi kuja kutoa hotuba yoyote Tarime kuhusu kifo cha Wangwe. Wakati wana Tarime wanamuhitaji aungane na vyama vyote na watu wote waliokuwa wanataka uchunguzi huru wa kifo cha Wagwe ufanywe na serikali au vyombo vya nje, Mtikila alifyata mkia wake na akawa anabweka kwa kasauti kadogo.

Sasa hivi ambapo wana Tarime wanajiandaa kwa uchaguzi mwingine wa kupata mbunge safi na makini mwingine atakayesaidiana nao kuleta maendeleo Tarime kwa amani na utulivu, ndio Mtikila anatokea na unafiki wake kuwa anajua wahusika wa kifo cha Wangwe.

Huu ni upuuzi na unafiki na hali ya juu na nakubaliana nawe kuwa hiyo hotuba yake itakuwa na "mwisho mema" kule bomani au "mahakamani". Yeye aje atoe sera za chama zake kuhusu namna ya kusafisha vyanzo vya maji ya kunywa na kutumia vinavyoharibiwa kila siku na makampuni ya madini huku serikali ya wilaya na serikali kuu zikikaa kimya na sio kuleta upuuzi na unafiki hapa.
 
Rafiki
You said it exactly. You have good points. Iweni makini maana mafisadi wanazunguka kila mahali na kutaka kutufanya hakuna. I am bitter of them. Let us educate our country men and women to unite together and figth against Masifisadi wherever they are. EPA, RICHMOND etc.
 
mngesikiliiza mahojiano yangu naye utaona kuwa hana ushahidi huo wa hicho anachosema. Maana kama angekuwa na ushahidi kwanini aombe Scotland Yard waje kuchunguza? Kama tayari yeye anajua mtiririko wote wa matukio ulivyotokea (ambao ukiusikiliza umetoka kwenye makala yangu ya maswali kuhusu kifo cha Wangwe karibu point kwa point) kwanini basi kuita watu wengine wafanye uchunguzi?

Ushahidi wa Mtikila kulingana na mahojiano yako ni wa watu alioongea nao. Kulingana na yeye huo ni ushahidi ambao bado unahitaji kufanyiwa kazi. Whewther ni kweli au sio, lakini kuna point moja aliyosema kuwa polisi walitakiwa kuwabana zaidi watu wanaowezekana kufaidika na kifo cha Wangwe na sio kurahisisha kifo chake kama ajali tu ya barabarani kutokana na dereva asiye na leseni.

Kwa mara nyingine tena ninapenda kuuliza mkuu MMJJ, ni lini utamhoji Mbowe maana ana mambo mengi sana ya kujibu, including huu msiba wa Wangwe, lakini inaelekea ni vigumu sana kwako kumhoji? Can't you be fair and balanced jounalist?
 
Thanks for I was about to mention.
Mtikila sometimes made fun of me. Should he know the trueth why now? Physicians should help Mtikila for mental check up when he gets to this point.
 
Ushahidi wa Mtikila kulingana na mahojiano yako ni wa watu alioongea nao. Kulingana na yeye huo ni ushahidi ambao bado unahitaji kufanyiwa kazi. Whewther ni kweli au sio, lakini kuna point moja aliyosema kuwa polisi walitakiwa kuwabana zaidi watu wanaowezekana kufaidika na kifo cha Wangwe na sio kurahisisha kifo chake kama ajali tu ya barabarani kutokana na dereva asiye na leseni.

Kwa mara nyingine tena ninapenda kuuliza mkuu MMJJ, ni lini utamhoji Mbowe maana ana mambo mengi sana ya kujibu, including huu msiba wa Wangwe, lakini inaelekea ni vigumu sana kwako kumhoji? Can't you be fair and balanced jounalist?

Ndugu yangu hivi wewe ni msemaji wa Mtikila?
 
Mtikila anasema Mbowe, Dr. Slaa na Tundu Lisu ndio wauaji wa Wangwe .......na hili tumuamini au? Lakini nadhani watu tulitegemea atupe ushahidi wake na sio kutamka tu kwa maneno.

Bofya hapa
​
Global Publishers - Picha

Huyu Jamaa ameshalipa deni la RostamAzizi (RA)au ndiyo amepewa kazi hii ya kijinga ili yaishe? Halafu hao jamaa zake Wangwe ni jamaa zake kivipi kwani hata kaka yake wa Tumbo moja Profesa wangwe ni CCM na mdogo wake Peter juzijuzi alitaka kumrithi kwenye Kiti cha Ubunge tarime kupitia CCM

Hoja yangu hapa ni kwamba hao wanaoitwa jamaa zake hawana maslahi yoyote yale ya kisiasa kwenye jambo lenyewe la kifo cha Chacha Wangwe? Inaonyesha Mtikila anajua kila chanzo cha kifo cha mwanasiasa yeyote hapa Tanzania kuanzia Kolimba hadi Chacha Wangwe. Lakini kwa nini awe yeye tuu anayejua vifo vya wanasiasa wenzie?
 
Jasusi,
Angalia hizo posting zako mbili. Dr. Slaa na Mtikila wote wamedai wanao ushahidi lakini sijui kwa nini umeamua kuamini maneno ya Slaa na kung'ang'ania authenticity ya yale ya Mtikila. Kwa nini mahakama isitusaidie kung'amua hayo badala ya kumfanya Dr. Slaa kuwa ni saint? Dr. Slaa na supporters wake wanaogopa nini huko mahakamani?
Kati ya Mtikila na Mzee Slaa nitamwamini zaidi Mzee Slaa. Sijasikia mahali Mzee huyu alienda kuomba mkopo kwa fisadi.
 
Hapa hata Nyerere alijua kilichomuuwa licha ya kuwa na sababu za kitaalam Mtikila alikuja na zakwake....Nadhani polisi wafanye kazi yao Mtikila aonyeshe ushirikiano na kama anazusha habari kwa mtaji wa kisiasa basi adhibitiwe pia..
 
Kubwa jinga, asante sana kwa notion yako ya mtandao ndani ya Chadema. lakini umeniacha najiuliza, what deserves immediate attention kati ya baadhi ya viongozi ndani ya chadema kununuliwa, na kuuchunguza mtandao ndani ya chadema?

Mpita Njia,
Nafikiri Mtandao ndani ya CHADEMA ni kitu cha kuogopa zaidi kama tulivyoona ule wa CCM ulivyoiletea nchi uharamia. Ukweli ni kuwa ndani ya CHADEMA hivi sasa ukiwa na mawazo tofauti na ya Mwenyekiti anayeungwa mkono kwa nguvu na Dr. Slaa n.k., wewe sio ajabu ukabatizwa jina la fisadi au muajiriwa wa RA. Hii ndio mbinu mpya ya kuua demokrasia ndani ya upinzani. Zidumu fikra za Mwenyekiti.
 
Naona hii inaelekea kujibu swali langu
 
Ushahidi wa Mtikila kulingana na mahojiano yako ni wa watu alioongea nao. Kulingana na yeye huo ni ushahidi ambao bado unahitaji kufanyiwa kazi. Whewther ni kweli au sio, lakini kuna point moja aliyosema kuwa polisi walitakiwa kuwabana zaidi watu wanaowezekana kufaidika na kifo cha Wangwe na sio kurahisisha kifo chake kama ajali tu ya barabarani kutokana na dereva asiye na leseni.

Kwa mara nyingine tena ninapenda kuuliza mkuu MMJJ, ni lini utamhoji Mbowe maana ana mambo mengi sana ya kujibu, including huu msiba wa Wangwe, lakini inaelekea ni vigumu sana kwako kumhoji? Can't you be fair and balanced jounalist?

Kubwajinga,

Hathubutu kufanya hivyo toka lini mtu akakata tawi alilokalia?
 
Ndugu yangu hivi wewe ni msemaji wa Mtikila?

Haya ndio yanayoturudisha nyuma. Kama ilivyo ndani ya CHADEMA na sasa JF, ukiwa na mawazo tofauti na akina Dr. Slaa n.k., wewe sio ajabu ukabatizwa jina la msemaji wa fisadi fulani au hata kuwa muajiriwa wa RA. Hii ndio mbinu mpya ya kuua demokrasia ndani ya upinzani. Zidumu fikra za Mwenyekiti.
 
Hapa hata Nyerere alijua kilichomuuwa licha ya kuwa na sababu za kitaalam Mtikila alikuja na zakwake....Nadhani polisi wafanye kazi yao Mtikila aonyeshe ushirikiano na kama anazusha habari kwa mtaji wa kisiasa basi adhibitiwe pia..

Huyu Mtikila anachojaribu kuleta Tarime hakitafanikiwa. Uchochezi wake huu utaishia kwenye vyombo vya habari vya Rostam Azizi na TBC1 na wasomaji au watazamaji wao lakini watu wa Tarime watafanya uchaguzi na wataendelea kujenga jimbo lao kwa amani na utulivu bila migongano wa umwagaji damu kama Mtikila na mafisadi wenzake wanavyotaka.
 
Isayamwita mura weto,

nakuhakikishia kuwa Mtikila hawezi kuja kutoa hotuba yoyote Tarime kuhusu kifo cha Wangwe. Wakati wana Tarime wanamuhitaji aungane na vyama vyote na watu wote waliokuwa wanataka uchunguzi huru wa kifo cha Wagwe ufanywe na serikali au vyombo vya nje, Mtikila alifyata mkia wake na akawa anabweka kwa kasauti kadogo.

Sasa hivi ambapo wana Tarime wanajiandaa kwa uchaguzi mwingine wa kupata mbunge safi na makini mwingine atakayesaidiana nao kuleta maendeleo Tarime kwa amani na utulivu, ndio Mtikila anatokea na unafiki wake kuwa anajua wahusika wa kifo cha Wangwe.

Huu ni upuuzi na unafiki na hali ya juu na nakubaliana nawe kuwa hiyo hotuba yake itakuwa na "mwisho mema" kule bomani au "mahakamani". Yeye aje atoe sera za chama zake kuhusu namna ya kusafisha vyanzo vya maji ya kunywa na kutumia vinavyoharibiwa kila siku na makampuni ya madini huku serikali ya wilaya na serikali kuu zikikaa kimya na sio kuleta upuuzi na unafiki hapa.

Magabe Kibiti

Tata,wewe tulia tu, japo uko mbali huko uliko sisi huku tutakuwakilisha vema bila wasiwasi, je umeshasikia zile mbwembwe za CCM?, wako kimya kama wamenyeshewa na mvua,

Mwiko kuvaa yale manguo ya kijani, ukuonekana tu, tafuta mti upande
 
Haya ndio yanayoturudisha nyuma. Kama ilivyo ndani ya CHADEMA na sasa JF, ukiwa na mawazo tofauti na akina Dr. Slaa n.k., wewe sio ajabu ukabatizwa jina la msemaji wa fisadi fulani au hata kuwa muajiriwa wa RA. Hii ndio mbinu mpya ya kuua demokrasia ndani ya upinzani. Zidumu fikra za Mwenyekiti.

Nimekuuliza swali rahisi tu linalohitaji jibu la ndiyo au hapana..... haya mengine yanakupelekea kwingine zaidi ya unavyojaribu kueleza hapa.

Narudia tena swali langu...

Ndugu yangu wewe ni msemaji wa Mtikila?
 
Jasusi,
Angalia hizo posting zako mbili. Dr. Slaa na Mtikila wote wamedai wanao ushahidi lakini sijui kwa nini umeamua kuamini maneno ya Slaa na kung'ang'ania authenticity ya yale ya Mtikila. Kwa nini mahakama isitusaidie kung'amua hayo badala ya kumfanya Dr. Slaa kuwa ni saint? Dr. Slaa na supporters wake wanaogopa nini huko mahakamani?

Kati ya Mtikila na Mzee Slaa nitamwamini zaidi Mzee Slaa. Sijasikia mahali Mzee huyu alienda kuomba mkopo kwa fisadi.

Ni vema angalau umekubali kuwa wote ni waropokaji ingawa umechagua pumba za Dr.Slaa na kuachana na makapi ya Mtikila. Huu ni uamuzi wako. Wengine tusiofuata upepo, tunaangalia mambo kulingana na yaliyomo na sio kwa kumshabikia kiumbe fulani ambaye naye alizaliwa katika hali ya dhambi kama wengineo.
 
Ndugu yangu, wewe unamfuata Mtikila (kiumbe fulani) au ni msemaji wake?
 
Kuwepo kwenye vyama vya upinzani hapa nchini mwetu ni kaazi ngumu kwelikweli haswa kutokana na hoja za baadhi ya wenzetu hapa.
Hawa viongozi wetu (baadhi) wamekuwa wakipigania hali bora lakini baadhi yetu mmekuwa mkizibeza lakini ni mojawapo ya changamoto, hivi wote mnataka tuwe CCM kwa hela mnazoziiba kwenye hazina yetu haya ni mambo ya ajabu kabisa na haitawezekana!!!!
 
Haya ndio yanayoturudisha nyuma. Kama ilivyo ndani ya CHADEMA na sasa JF, ukiwa na mawazo tofauti na akina Dr. Slaa n.k., wewe sio ajabu ukabatizwa jina la msemaji wa fisadi fulani au hata kuwa muajiriwa wa RA. Hii ndio mbinu mpya ya kuua demokrasia ndani ya upinzani. Zidumu fikra za Mwenyekiti.

Kubwajinga

Pole sana Kubwajinga kwa ufahamu wako, lakini karibu hapa nyumbani Tarime, ujifunze ushujaaa, hii itakusaidia sana maishani na wewe utakuwa msaada kwa ndugu zako na kizazi chenu, napata taabu sana kama tutakuwa na watu kama kina Kubwajinga 10, hakika nchi haiwezi kukomboka kamwe , maana wao siku zote huwa kazi yao ni kuwaukumu wenzao na kujiona wao ni bora.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom