Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

Status
Not open for further replies.
Bado siamini kuwa Mhe. Chacha Wangwe ametukoka!!!!!!!!!!!!!

Inauma saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Pole nyingi kwa mjane wa marehemu, wanandugu na wananchi wote wenye mapenzi mema.
 

...Mara nyingi msibani nimeyasikia maneno haya,


"...Katika uhai wake marehemu alikutana na mengi, alikutana na wengi, na kwa namna moja au nyingine hisia zake ziligusa ama kuwakwaza wengi. Kwa niaba ya ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu tunaomba msamaha kwa yote aliyewakosea, kwani kabla hujafa hujaumbika.

Ingelikuwa mwenyezi Mungu anatoa siri ya kifo na kujua lini utakufa, naamini marehemu na hata waliomkosea wangechukua nafasi kuombana msamaha, kwani maisha ya dunia ni mapitio tu.

Kama kuna anayemdai marehemu, ama kuna anayedaiwa na marehemu, mlango uko wazi, aonane na mwenyekiti wa kamati kuyajadili hayo. Tunamwomba mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi ndugu yetu huyu!"

Mwisho wa kunukuu...!

...Kusudio la ujumbe huu ni kwa wale ndugu zangu humu JF ambao kwa namna moja ama nyingine mnalaumu ambao waliokosana na Marehemu Chacha Wangwe hawastahiki kutoa pole, ama hawastahiki kutoa sifa za marehemu alipokuwa hai, labda hata kumzika!

...binafsi naamini mtu akishakufa, anapanda daraja jingine kabisa, si mwenzetu tena , kwani inaaminika kabla hujafa hujakamilika. Let us all Cherish the deceased Good memories, na mabaya yake mw'mungu ndio atayeyahukumu.

R.I.P Chacha Wangwe.
 
I can't imagine that CW is gone rest in peace brother.

You just gone physically. We still keep in touch spiritually

....mhh...shocking news....
-----------------------------------------------------
Je ne peux pas imaginer que des armes chimiques est passé reposer en paix frère.

Il vous suffit été physiquement. Nous continuons de rester en contact spirituellement

Hmm .... ... choc en apprenant la nouvelle ....
-----------------------------------------------------
我不能想象说,连续走了,其余的在和平的弟弟。您刚刚过去的身体。我们仍然保持联系,在精神上.... mhh ...令人震惊的消息....
-----------------------------------------------------
Ich kann mir nicht vorstellen, dass CW ist vorbei Rest in peace Bruder.

Du musst nur physisch gegangen. Wir sind nach wie vor in Kontakt bleiben spirituell

.... MHH ... schockierende Nachrichten ....
-----------------------------------------------------
Nu pot imagina că în sensul acelor de ceasornic este lipsit de repaus în pace frate.

Te-ai plecat fizic. Tot mai ţină legătura spiritual

mhh .... ... .... socant Stiri
-----------------------------------------------------

No me puedo imaginar que las armas químicas se ha ido descanse en paz hermano.

Usted acaba físicamente. Todavía mantenerse en contacto espiritualmente

.... FH noticias impactantes ... ....
 
Nimepokea habari hizi za msiba kwa masikitiko Makubwa sana,Naungana na Familia ya Chacha Wangwe katika Msiba huu Mzito,Tumepoteza Mtetezi wa Ruzuku za wananchi,Mtu aliyepinga Ukabila na sijui nani atachukua Nafsai yake.

Mungu ametoa na Mungu ametwaa na tutakukumbuka Kipindi kirefu sana MArehemu Wangwe
 
Watu washaanza kuulizana could it be CHADEMA's mission?? or is it CCM's as usual????
 
Nimepokea habari hizi za msiba kwa masikitiko Makubwa sana,Naungana na Familia ya Chacha Wangwe katika Msiba huu Mzito,Tumepoteza Mtetezi wa Ruzuku za wananchi,Mtu aliyepinga Ukabila na sijui nani atachukua Nafsai yake.

Mungu ametoa na Mungu ametwaa na tutakukumbuka Kipindi kirefu sana MArehemu Wangwe

Imeniuma saana!!
 
Amefariki muda si mrefu kwa ajali ya gari akitokea Dodoma kuelekea Dar es Salaam eneo la Pandambili (kama sijakosea).

Zaidi nitawafahamisha


Ooops!! RIP Wangwe many in CHADEMA will miss you.
 
Bwana Ametoa na bwana Atatwaa jina la bwana lihimidiwe.
Rest in Peace comrade Chacha Wangwe.

Naungana na wanaJF kutoa pole kwa Familia ya CW, Wanachadema wote, Wananchi wa Tarime na watanzania wote wenye mapenzi mema. We will keep Chacha's Spirit
 
sad news to all Tanzanians. he was a patriotic politician. R.I.P
 
Watu wasijehusisha hiyo accident na mgogoro wa kiuongozi aliokuwa nao ndani ya CHADEMA.

Mungu aiweke roho ya marehemu pema peponi. Sote ndiyo njia yetu hiyo.

Thank you kichuguu kwa kutucaution but mh why? kimetokea baada ya migongano? Just like other vifo vya wengine ambavyo vilitokea baada ya muhusika kuwa na makasheshe na vyama/serikali? mf. Marehemu Kolimba, Balali n.k je tuseme huwa wanakufa kwa presha baada ya kujiona wako katika migogoro au?

Sijui lakini I was just thinking aloud.

RIP Chacha Wangwe tutakukumbuka kwa juhudi na kiu yako ya kutaka kutukomboa watanzania.

POLE KWA FAMILIA, WABUNGE WOTE, WANACHAMA WAKE PAMOJA NA WAKAZI WA TARIME
 
Na raia wa kawaida ndio watumie yasiyo salama?

Kasheshe unachemka!

kweli mkuu,

Kama mimi na Zitto tuko sawa hapa duniani au hapa Tanzania, kweli nimechemsha mkuu, au kama Mbunge au Waziri ni sawa na Rais... nimechemka sana mkuu.

Kumbuka tu! ni juzi juzi Rais alishindwa kupanda mtumbwi kule mto Ruvuma, lakini Membe na Msekwa wakapanda mkuu.

Usawa wa sisi binadamu upo kwa mungu tu mkuu... hapa duniani tunatofauti kubwa sana...

Mfano mwingine wanakufa wabongo wangapi mbona na wao wana-thread zilizoanzishwa hapa JF.
 
Spika six ametangaza sasa hivi utaratibu wa azishi utakavokuwa: Atazikwa Kesho jumatano, mwili utatokea Dom kwa ndege maalumu ukisindikizwa na wajumbe 20 wa bunge wakiongozwa na Sherukindo ambaye ni kiongozi wa kamati madini ambayo marehemu alikuwa member. Maandalizi ya mwili wa marehemu yatachukua muda kwa vile mtaalamu toka Muhimbili, Polisi na ndugu mmoja wa Chacha watahusika kufanya uchunguzi yakinifu wa chanzo cha kifo hicho. Huko Tarime watapokelewa na ujumbe maalumu ulio kwisha andaliwa, mazishi yatakuwa adhuhuri na ujumbe utarudi siku hiyo hiyo kwa ndege hiyo hiyo itakayo upeleka mwili wa marehemu. Kuaga mwili wa marehemu kutafanyika katika viwanja vya bunge na kuongozwa na Raisi JK. Shughuli za bunge zimeahirishwa hadi kesho saa 3.

RIP Wangwe.
 
jumla ya miaka yetu ni sabini, tukiwa na afya njema themanini!Ee Mungu utufundishe kuhesabu siku zetu.

chacha amepigana vita vilivyi vizuri, mwendo ameumaliza!taji sasa amevikwa
 
Mmefuatilia lakini mahojiano ya TV na mtoto wa Wangwe yaliyokatwa ghafla hivi punde?
 
RIP Chacha Wangwe, Poleni familia na wana Tarime.
 
RIP Wangwe.
Sisi tumebaki tukiendeleza mapambano na mafisadi wa nchi hii. Hatutaacha na siku moja tutaibuka washindi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom