Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,166
- 4,581
Mkuu Kamanda Asiyechoka , hakuna kitu kama hicho!, CCM haina mpasuko wowote!.Ccm ya sasa imepasuka maana kuna mpasuko mkubwa sana.
Wapinzani wepi hao wa kuaminiwa na wananchi?.Je, sasa ndio wakati muafaka wa sisi wapinzani kuaminiwa na wananchi na kupaa kisiasa?
Mbona kigugumizi?Mkuu ...
Mkuu Pascal, wananchi hawana imani na Ccm hasa baada ya timu hayati na timu msoga kutifuana,fanya tafiti. Huu ndio wakati wa mabadiliko.Mkuu Kamanda Asiyechoka , hakuna kitu kama hicho!, CCM haina mpasuko wowote!.
Wapinzani wepi hao wa kuaminiwa na wananchi?.
P
Ni kwel haijapasuka ina ila dereva na konda hawaelewani, na hapa Kati kaongezeka fundi, hakuna anaeonge lugha 1 dereva anawasha gari linawaka ila Moshi mweupe na Kisha gari linatembea kidg linazima, konda yy anasema twende tu, Sasa fundi kaja anatoa solution kuwa Ni lazima tuifumue injini yote tuisuke au kununua mpya, hapo Sasa shida inaanzia,Mkuu Kamanda Asiyechoka , hakuna kitu kama hicho!, CCM haina mpasuko wowote!.
Wapinzani wepi hao wa kuaminiwa na wananchi?.
P
Mkuu Kamanda Asiyechoka , hakuna kitu kama hicho!, CCM haina mpasuko wowote!.
Wapinzani wepi hao wa kuaminiwa na wananchi?.
P
Mabadiliko gani wakati Chadema mnashupaa na kesi ya gaidi badala ya kupiga kampeni,mara digital , eti digital kwa Tanzania hao thinkers wenu bure kabisa.Mkuu Pascal, wananchi hawana imani na Ccm hasa baada ya timu hayati na timu msoga kutifuana,fanya tafiti. Huu ndio wakati wa mabadiliko.
Tatizo ni kwamba hakuna wapinzani. Kama kwa jina wewe ni kamanda wa chadema, basi ujue chadema imeshajifia kibudu long time.Je, sasa ndio wakati muafaka wa sisi wapinzani kuaminiwa na wananchi na kupaa kisiasa?
Tatizo la hangaya ni mfumuko wa bei wa ghafla na kupanda Kwa gharama za maishaNachojiuliza misaada yote kwa HANGAYA alafu tozo zpo pale pale plus kupanda kwa bidhaa ZOTE...walisema bia zmepunguziwa kodi cha ajabu zpo pale pale....mm sjawahi kumkubali Magu but mwanamke hawez kuongoza taifa
Mimi naungana na mzee Pascal ,hakuna upinzan Tanzania wa kutake over dhidi ya ccm ,Hawa wakina Hilda Newton ndio wakupindua ccm?Mkuu Pascal, wananchi hawana imani na Ccm hasa baada ya timu hayati na timu msoga kutifuana,fanya tafiti. Huu ndio wakati wa mabadiliko.
Kama wewe ulivyo kuwa hauaminiki na wajumbe ukapata kura mojaMkuu Kamanda Asiyechoka , hakuna kitu kama hicho!, CCM haina mpasuko wowote!.
Wapinzani wepi hao wa kuaminiwa na wananchi?.
P
Tatizo la wapinzani wameendelea kumuongelea mwendazake instead wanatafute namna ya kupambana na Samia itafika Muda 2025 wataendelea kumu attack magufuli ambaye hayupo duniani . Wangeangalia namna ya kudeal na rais aliyepo madarakani . Angekuepo mtikila kwa ishu za muungano ndio angetusua sahizi Kwa kuangalia madhaifu ya muungano ambapo Marais wote ni wazanzibar . Mtu wa bara Hana haki na Znz. Hivi ndio vitu vingemmaliza mama 2025Alitabiri Remy Ongala kuwa Ccm ilishakufa sasa yametimia.
Kuna wanaCcm waliokuwa upande wa hayati JPM wanaona sasa nchi imekamatwa mikononi mwa mafisadi na wezi.
Kuna wanaCcm kumbe walifurahia kifo cha hayati JPM na hii inaonekana alikuwa kikwazo kwao.
Ccm ya sasa imepasuka maana kuna mpasuko mkubwa sana.
Je, sasa ndio wakati muafaka wa sisi wapinzani kuaminiwa na wananchi na kupaa kisiasa?
Kuna waccm wamefurahi kuonavitendo viovu vya utekaji, mauaji, kudukuliwa na kesi hewa, nk. vimekomaAlitabiri Remy Ongala kuwa Ccm ilishakufa sasa yametimia.
Kuna wanaCcm waliokuwa upande wa hayati JPM wanaona sasa nchi imekamatwa mikononi mwa mafisadi na wezi.
Kuna wanaCcm kumbe walifurahia kifo cha hayati JPM na hii inaonekana alikuwa kikwazo kwao.
Ccm ya sasa imepasuka maana kuna mpasuko mkubwa sana.
Je, sasa ndio wakati muafaka wa sisi wapinzani kuaminiwa na wananchi na kupaa kisiasa?
Tatizo ni kwamba hakuna wapinzani. Kama kwa jina wewe ni kamanda wa chadema, basi ujue chadema imeshajifia kibudu long time.
atia alipotoa wazo wapinzani waungane wa kwanza kumpinga walikuwa wapinzani. Hatuna wapinzani wa maana