Kifo cha Celestin Charles Masanja

duniani kuna mambo kwelikweli,sasa 52yrs of age unaruka ukuta wa kwako?may be pia mwanamke akitaka kukufrustrate hata ukuta kuruka si ajabu, japo aibu ktk nyumba yako mwenyewe! hapo marehemu ndo anao ukweli kuhusu hili wengine tutabaki kusema klabda labda basi!!

huyu jamaa inaelekea enzi zake alikua geti kali sana kwao, sasa utu uzima huu lazima alipie tuu, unadhani hata Fataki anapenda mademu na utu uzima wake??, bali ni kwamba enzi zake alikua mchemfu sana sasa ndo inabidi alipie!.
 
kama nilivyosema maswali ni mengi kuliko majibu kwa kweli inasikitisha sana.
Ila nionavyo mimi, inawezekana alikuwa ana tabia hiyo ya kurudi usiku na may be washaongea na mamaa lakini hakuacha, so possibly mkewe alikuwa keshachoka kuamshwa uskiku wa manane kufungua geti, au inawezekana alimuamsha sana mama kanogewa na usingizi hakusikia akaamua kufanya shoti cut. Pia inawezekana kulikuwa na misunderstanding hapo za siku nyingi, esp kama mke ajue labda anatokaga kwa nyumba ndogo. Najaribu kufikiria mengi sana sipati jibu. Zaidi namhurumia sana huyo mkewe maana na familia zetu za kiafrika am sure hadi sasa kila mtu anamnyooshea kidole. ooh hili ni fundisho kubwa sana kwa wanandoa i guess.

ninavyo mie ni kwamba babaa ana mazoea ya kurudi home ucku, may b akaona kuliko kila cku kumsumbua wife kumfungulia ni bora atumie njia mbadala....matokeo ndio haya!...kuna age inafikia mtu unatakiwa mambo mengine uyaache nyuma.
 
Poleni sana wafiwa ni kifo cha kushitukizwa sana. Lakini mimi nauliza ilikiuwaje aruke ukuta mbona hawasemi? Ina maana hamna mtu anayejua kwanini aliruka ukuta mpaka sasa au wamefanya siri? Kwani hata mkewe lazima angesema chochote.

Mkewe amenukuliwa na gazeti la HabariLeo akisema kuwa mumewe alikuwa na kawaida ya kurudi usiku kutokana na shughuli zake, na alikuwa na kawaida ya kupiga simu ili afunguliwe gate. Lakini on the fateful night hakupiga simu na mkewe anahisi kwamba huenda aliipoteza, ndio maana akawa hana namna ya kuingia ndani ya fence zaidi ya kuruka. Ni bahati mbaya sana! Labda tuseme ndio siku ilishawadia.
 
Mkewe amenukuliwa na gazeti la HabariLeo akisema kuwa mumewe alikuwa na kawaida ya kurudi usiku kutokana na shughuli zake, na alikuwa na kawaida ya kupiga simu ili afunguliwe gate. Lakini on the fateful night hakupiga simu na mkewe anahisi kwamba huenda aliipoteza, ndio maana hakawa hana namna ya kuingia ndani ya fence zaidi ya kuruka. Ni bahati mbaya sana! Labda tuseme ndio siku ilishawadia.
Okay kama ni hivyo ina make sense kidogo. Ina maana hiyo nyumba anayokaa haina kengele au mlinzi hata mmasai kweli?
 
ninavyo mie ni kwamba babaa ana mazoea ya kurudi home ucku, may b akaona kuliko kila cku kumsumbua wife kumfungulia ni bora atumie njia mbadala....matokeo ndio haya!...kuna age inafikia mtu unatakiwa mambo mengine uyaache nyuma.

...kweli kabisa usemayo nyamayao,...angalia hii picha (kwa hisani ya Issa Michuzi blog) matofali yamepangwa kwa mpangilio wa ngazi,... na majani yaliyootea pembeni si ya jana wala leo...

Tabia mbaya sana kina mama kutowafungulia milango waume zenu! (sio wewe nyamayao, usijenimeza buree... :))
1.JPG
 
Inaelekea alikuwa mzee machachari sana, 52 years unaruka ukuta. Kweli siku ilifika ya kutwaliwa. RIP
 
RIP Masanja mara ya mwisho tulikuwa wote pale Kili Times, three years ago, bwana ametoa, bwana ametoa, Jina la bwana lihimidiwe!
 
jamani nimepata tetesi this evening kuwa huko Nyumbani TZ Masanja mkandamizaji ametutoka!! Eti Ameangukiwa na ukuta akiruka kuingia anapoishi.... Jamani kweli au fununu? Naukumbuka msemo wetu wa nyumbani, akutafuitiaje ubaya hukusingizia kifo?
Mlio na za uhakika ziwekeni hapa jamvini?
 
Mbona kuna habari nyingi tu humu ndani ya JF kuhusu Masanja?

Kwa nini umehangaika kuandika badala ya kupekua tu kidogo uone jumbe kibao?
 
labda kwa wale majirani zake kma mimi nampa pole huyu mama...ameteseka sana na mh sana masanja...mama amekalishwa vikao vya ususluhisho mpaka akachoka..baya zaidi lilikuwa ni kitendo cha kurudi ss saba nane ama asbh..lingine sijui nitaliitaje anarudishwa usiku na mwanamke huku mkewe akimfungulia...akiulizwa anajibu mfanyakazi mwenzangu...wenye ndoa kazi ipo....mkewe akachoka na kuapa kutomfungulia kamwe...hapo ndipo kasheshe ikaanza akaanza kuweka matofali ndani na nje ili aweze kuingi...inasikitisha zoez hilo lilikuwa linamsaidia tu kuingia ndani ya kuita na kulala nje mpaka asbh huku mkewe akisubiri kichapo cha nguvu...ple mama masanja ndio ukkubwa kuna kipindi ili MUNGU AKUWEKE KILELENI ANAITAJI KUKUPITISHA KWENYE MAPITO NA HAPO UNAPOFANIKIWA MWANGA WA MAISHA YAKO UNAANZA KUCHANUA....POLEN WAFIWA POLEN WANAMICHEZO...NAOMBA WALE WENYE NDOA NA KURUDI USIKU IWE FUNDISHO NA ELIMU JITAHIDINI KULINDA NDOA ZENU...KAMA MAMA MASANJA
 
Du! kama yana ukweli haya kazi ipo kwenye hizi ndoa.
 
...kweli kabisa usemayo nyamayao,...angalia hii picha (kwa hisani ya Issa Michuzi blog) matofali yamepangwa kwa mpangilio wa ngazi,... na majani yaliyootea pembeni si ya jana wala leo...

Tabia mbaya sana kina mama kutowafungulia milango waume zenu! (sio wewe nyamayao, usijenimeza buree... :))
This picture tells it all,should we say anything more? maisha siku zote ni learning process,na katika hili tujifunze,wote kina baba na kina mama.
RIP Mwanamichezo mahiri Charles.
 
Hivi huyu bwa. Hakuwa hata na ka-usafiri? Maana kama alikuwa na gari alipokuwa anaruka aliliacha gari nje ya geti au ndiyo mambo ya kupaki CCM na kuja nyumbani kwa miguu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom