Kifo cha Celestin Charles Masanja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kifo cha Celestin Charles Masanja

Discussion in 'Celebrities Forum' started by carmel, Oct 20, 2009.

 1. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Jamani hii ni habari iliyotawala vyombo vya habari jana , Mwenzetu huyu katutoka usiku wa kuamkia jumatatu. inasemekana alikuwa anaruka ukuta wa kuingia nyumbani kwake usiku wa saa saba, akaanguka na pengine kuangukiwa na ukuta. Jitihada za kumwahisha hospitali zilifanyika lakini ndo hivyo tena Mwenyezi Mungu kamuita.
  Napenda kutoa pole zangu kwa wafiwa na may God rest his soul.
  Ila maswali hapa niliyonayo ni mengi kuliko majibu.
   
 2. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hakukuwa na mlango wa kuingilia ama alipoteza ufunguo....sijaelewa hapo????
   
 3. M

  Msindima JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Poleni wafiwa,lakini pia huyo ni nani? na kwa nini alikua anaruka ukuta? hamna geti la kuingia ndani? mwenye info tunaomba utupatie.
   
 4. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  RIP!

  Alitoka wapi saa saba usiku??
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,325
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Some issues are difficult to comprehend
   
 6. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2009
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  POleni wafiwa....Lakini bado niko njia panda mtu utarukaje ukuta nyumbani kwako? sipati picha mzee katoka zake kushtua then anarudi kwake anaruka ukuta?? bado haijakaa vizuri akilini ama wife wake ni mbogo mwisho wa kufungua gate ni tano usiku ukizidisha masaa inakula kwako...."ndio kuruka ukuta huko"
  Inauzunisha na inafurahisha pia maana amenikumbusha mbalisana kipindi tuko skuli halafu tunatoroka home kwenda disco lazima uruke ukuta wakati wa kutoka na wakati w kurudi ili wazee wasistukie dili
   
 7. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2009
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  sasa hilo i swali gani tena mkuu.... ushaambiwa ni ijumaa unategemea nini huyo alikuwa anapata moja moto moja baridi mambo ya weekend hayo wazee nao sikuhizi kujirusha kama kawa...
   
 8. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  huenda ni SAP... hakuyafanya katika umri husika..
   
 9. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  kama nilivyosema maswali ni mengi kuliko majibu kwa kweli inasikitisha sana.
  Ila nionavyo mimi, inawezekana alikuwa ana tabia hiyo ya kurudi usiku na may be washaongea na mamaa lakini hakuacha, so possibly mkewe alikuwa keshachoka kuamshwa uskiku wa manane kufungua geti, au inawezekana alimuamsha sana mama kanogewa na usingizi hakusikia akaamua kufanya shoti cut. Pia inawezekana kulikuwa na misunderstanding hapo za siku nyingi, esp kama mke ajue labda anatokaga kwa nyumba ndogo. Najaribu kufikiria mengi sana sipati jibu. Zaidi namhurumia sana huyo mkewe maana na familia zetu za kiafrika am sure hadi sasa kila mtu anamnyooshea kidole. ooh hili ni fundisho kubwa sana kwa wanandoa i guess.
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,948
  Likes Received: 23,830
  Trophy Points: 280
  Labda alikuwa anataka kumfumania mamito wake.
   
 11. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  ushaanza wewe, especially wewe unaepitiaga bar ngoja siku mamito akuchoke utaruka mageti hadi ukome.
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,948
  Likes Received: 23,830
  Trophy Points: 280
  We si lazima upinge? Haya kuna thread huko kaanzisha mpwa nenda kajibu hoja. Usisahau kumgongea thanks.
   
 13. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2009
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,468
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  THE Uhuru Stadium manager, Charles Masanja died in Dar es Salaam yesterday after he was hit by bricks from a damaged fence of his house at Kimara.

  Masanja, 52, died at Muhimbili National Hospital where he was sent for treatment after sustaining serious injuries including a broken leg.

  Deputy permanent secretary in the Ministry of Information, Culture and Sports Gasper Mwambezi said in the city yesterday the government was shocked by news of Masanja’s death, adding that he was an important person in the ministry.

  The government has received the news of Masanja’s death with much grief as he was a very important person who offered close cooperation in various activities in the Sports Development Directorate in the Ministry of Information, Culture and Sports,� said Mwambezi.

  The Director of Sports in the ministry, Leonard Thadeo, said funeral arrangements are being made at the deceased’s house at Kimara and that Masanja’s body will tomorrow be transported to him home village in Urambo, Tabora Region for burial.

  Several soccer stakeholders interviewed by this paper yesterday expressed shock at Masanja’s death.

  I received news of Masanja’s death with profound shock. He was a man of the people, very humble and cooperative,� said one fan, Samuel Jacob, a resident of Kimara area in the city.

  Masanja was born on January 20, 1957 at Urambo secondary education at Itaga and Minaki secondary schools and later graduated with a Master’s degree in physical education in Havana Cuba in 1988.

  He was head coach of African Sports Club of Tanga in 1990 and served as assistant secretary general of the disbanded Tanzania Football Association (FAT) from 2004-2006.

  In 2006 he was elected member of the Tanzania Football Federation (TFF) technical committee and was appointed Uhuru Stadium manager in 2007.

  The late Masanja is survived by a widow and several children.

  May God rest his soul in eternal peace. Amen.
   
 14. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  duniani kuna mambo kwelikweli,sasa 52yrs of age unaruka ukuta wa kwako?may be pia mwanamke akitaka kukufrustrate hata ukuta kuruka si ajabu, japo aibu ktk nyumba yako mwenyewe! hapo marehemu ndo anao ukweli kuhusu hili wengine tutabaki kusema klabda labda basi!!
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,948
  Likes Received: 23,830
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda sana hiyo bold. Sishangai kamanda kuruka ukuta. Alikotokea hapo ni dhahiri
   
 16. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,400
  Likes Received: 681
  Trophy Points: 280
  Mbona hizi habari ni za kizushi sana wewe unasema ijumaa wenzako wanasema baada ya mechi ya Simba,who to trust sasa?
   
 17. RR

  RR JF-Expert Member

  #17
  Oct 20, 2009
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,719
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Bila kuangalia safari yake ya duniani ilivyohitimishwa.....
  RIP Masanja.
   
 18. Enny

  Enny JF-Expert Member

  #18
  Oct 20, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Poleni sana wafiwa ni kifo cha kushitukizwa sana. Lakini mimi nauliza ilikiuwaje aruke ukuta mbona hawasemi? Ina maana hamna mtu anayejua kwanini aliruka ukuta mpaka sasa au wamefanya siri? Kwani hata mkewe lazima angesema chochote.
   
 19. M

  Msindima JF-Expert Member

  #19
  Oct 20, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kuna mambo haswa nimeshangaa sana baada ya kusoma hiyo habari age yake na kuruka ukuta wapi na wapi? halafu ukuta wa nyumbani kwako? hivi je labda kama wangepita askari polisi hapo na kumkuta anaruka usiku si wangeweza pia kum-shoot wakifikiri ni mwizi? jamani mambo mengine yanashangaza sana.
   
 20. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #20
  Oct 20, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  RIP Masanja
  Mengine yoyote yasemwayo hayana maana tena kwako zaidi ya somo kwetu tuliobaki chini ya jua
   
Loading...