Kina dada wanaubinafsi sana sana saana..; nilishawahi kutamkiwa, ''.....unalala tu kwenye kitanda changu, unalalia tu shuka zangu.....'' yaani acha tu., sitasahau siku ile.., namshukuru mungu kwa kunifikisha hapa.
Duuh..We unataka mpaka nikapange chumba milembe ndo uamini ama?
Ninunulie simu ya wasapu..
Mwanamke mbahili, jaman, na hyo kabati alipewa kwa ajili ya ndoa. Acngekuwa huyo mwanaume kutangaza nia, angeipata???????? Wanawake tufikirini. Na c ajabu huyo mama hana mapenzi na mumewe.
Teh teh...Nishaongea na vijana wangu..Simu ipo..Sema earphone na charge hawauzi..Utatafuta mwenyewe
Hahaaa..jamanii baba K..
Kina dada wanaubinafsi sana sana saana..; nilishawahi kutamkiwa, ''.....unalala tu kwenye kitanda changu, unalalia tu shuka zangu.....'' yaani acha tu., sitasahau siku ile.., namshukuru mungu kwa kunifikisha hapa.
Mmh kwa hiyo ni bora ukung'utwe tu? Inabidi umshtue kidogo ili asijisahau sana, atazoea kukudunda daily tehwakati mwingine mwanaume harudishi mapigo kwa kuhofia kesi, si unajua kuna watu wakilianzisha issue inaweza malizika yeye akiwa mtuhumiwa wa muder au manslaughter...
Bila shaka hata jirani yangu atanunua kabati lake lolHahahah
Uzuri ilikupa hasira ya kutafuta vyako...
Ukinitajia maparachichi unataja ugonjwa wangu, nakumbuka mbeya tu!. Napenda sana maparachichi kuliko hata kuwa na mamito kwa bed!
Mwanamke kichwa kibovu kabisa...Mwanamke mbahili, jaman, na hyo kabati alipewa kwa ajili ya ndoa. Acngekuwa huyo mwanaume kutangaza nia, angeipata???????? Wanawake tufikirini. Na c ajabu huyo mama hana mapenzi na mumewe.
Mwanamke kichwa kibovu kabisa...
Teh Teh pange chimbika nini?,,,,,,Jf rocks...Hapo sawa!!!!!!!!
jamaa kaudgalilisha Ulijali Hakika itabidi tumfuteYani mi nkimuona huwa nahisi aibu nikikumbuka kile kitendo, utadhani nilipigwa mie
akipita pita na singlend yake namuona bure kabisa anaaibisha singlend