Kidume kapewa kichapo, kisa zawadi za harusi

Kidume kapewa kichapo, kisa zawadi za harusi

Itabidi kuwe kunapimana ubavu kwanza kabla ya harusi... haya mambo hukawii kuadhirika!!!

Kabisaaa..mpimwe na weight ili muende sawa. Mambo ya kuingia hivi hivi mwisho wake ni kutoka mbio na kikaptula siku kikiwaka.
 
Mmmmmm lol usiulize kabisa hapo ndipo ugomvi utakapoanzia
 
Kina dada wanaubinafsi sana sana saana..; nilishawahi kutamkiwa, ''.....unalala tu kwenye kitanda changu, unalalia tu shuka zangu.....'' yaani acha tu., sitasahau siku ile.., namshukuru mungu kwa kunifikisha hapa.
 
Sio kina dada tu, hiyo ni tabia ya mtu
 
Wanamke wa kawaida tu, ila kidume ndo commando kipensi na siksi packs
ila nshaanza kupata wasiwasi na hizo six packs, kama makalio twaongeza nahisi nae labda kafanya something something
kwenye kifua
Kimsingi watu wanaopenda kuongeza vitu kwenye miili yao wengi wana weakness nyingi!
 
Sipati picha ungemwagiwa maji ya moto hapo dirishani teh. Huyo mwanamke ni mjeuri afu mbinafsi. Mmmh wanaume inabidi muwe fit jamani, unaoa mke John cena mbona hatariii

wakati mwingine mwanaume harudishi mapigo kwa kuhofia kesi, si unajua kuna watu wakilianzisha issue inaweza malizika yeye akiwa mtuhumiwa wa muder au manslaughter...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom