Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,832
- 15,034
Angeomba msamaha kumaliza zogo.
Teh teh..Mkuu kuomba msamaha ni udhaifu mkubwa zaidi ya huo aliouonyesha
Angeomba msamaha kumaliza zogo.
Mke kama huyo hata kufahamiana naye nahisi ni shida..
Mke wake ni kipande cha mtu? Hii ni fedheha...
Yani mi nkimuona huwa nahisi aibu nikikumbuka kile kitendo, utadhani nilipigwa mie
akipita pita na singlend yake namuona bure kabisa anaaibisha singlend
"Mwanamke hapigwi kwa mingumi".... Labda alikuwa anatekeleza hilo agizo.Wanamke wa kawaida tu, ila kidume ndo commando kipensi na siksi packs
ila nshaanza kupata wasiwasi na hizo six packs, kama makalio twaongeza nahisi nae labda kafanya something something
kwenye kifua
Sipati picha ungemwagiwa maji ya moto hapo dirishani teh. Huyo mwanamke ni mjeuri afu mbinafsi. Mmmh wanaume inabidi muwe fit jamani, unaoa mke John cena mbona hatariii
Ah hahahah ndo huruma hadi ukunjwe kama mjusi? Vitu vya kitchen party sijui send off vyote inabidi vifike nyumbani. Umepewa zawadi si kwa ajili ya maisha yako ya ndoa jamani eehUsikute alimhurumia tu... sa nyingine kupigana na mwanamke fedhea!!! Ila kweli vitu vya kitcheni party huwa mnafikisha!??
"Mwanamke hapigwi kwa mingumi".... Labda alikuwa anatekeleza hilo agizo.
Mi mke wangu akijaribu au akinitishia kunyanyua mkono wake kutaka kunipiga.... hakyamama ntabaki nacheka tu afu ntatoka zangu kwenda kupata ulabu. Huchelewi kupata murder case.
Huenda jamaa aliogopa kwenda segerea.....
Hazbendi mke hapigwi ngumi.....
Anapigwa kwa vanguard ukishindwa vits
Hahaha gelofriend wewe ni shida ujue. Muache mwenzako na singlend zake
Ah hahahah ndo huruma hadi ukunjwe kama mjusi? Vitu vya kitchen party sijui send off vyote inabidi vifike nyumbani. Umepewa zawadi si kwa ajili ya maisha yako ya ndoa jamani eeh
Aaah wapi alikua hata hafurukuti, yani hata ningejitosa na kupiga chini mara tatu kirefa zaidi jamaa angebaki vile vile"Mwanamke hapigwi kwa mingumi".... Labda alikuwa anatekeleza hilo agizo.
Mi mke wangu akijaribu au akinitishia kunyanyua mkono wake kutaka kunipiga.... hakyamama ntabaki nacheka tu afu ntatoka zangu kwenda kupata ulabu. Huchelewi kupata murder case.
Huenda jamaa aliogopa kwenda segerea.....
Usikute alimhurumia tu... sa nyingine kupigana na mwanamke fedhea!!! Ila kweli vitu vya kitcheni party huwa mnafikisha!??
Huyo mwongo maana alikuta yupo chini, hivyo hawezi kututajia mwanzo. Nikueleze kuwa ndoa za siku hizi ni RAHAAAAAAndoa za siku hizi ni shidah
ameni.............Huyo mwongo maana alikuta yupo chini, hivyo hawezi kututajia mwanzo. Nikueleze kuwa ndoa za siku hizi ni RAHAAAAAA
hapo sawa.. maana mngeingia kwenye ndoa mmenunuiana, huyu kapata nyingi mwngne kidogo!!!Zawadi zinafikishwa nyumbani na ni mali ya wote