Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,631
Sio kila mwenye nguvu ana tabia ya kupiga wengine hovyo. Na Inawezekana kwenye uchumba wao hawakuwahi kupigana, so Hakujua kama anaweza akampiga before
Hata kama. Ndoa inatakiwa kuvunjika.
Sio kila mwenye nguvu ana tabia ya kupiga wengine hovyo. Na Inawezekana kwenye uchumba wao hawakuwahi kupigana, so Hakujua kama anaweza akampiga before
Sawa. Ila kwanin umuoe wakati unajua akikurudi inakula kwako?
Omba yasikukute....Hahahah! Huyo mwanaume nae inaonekana ni kama bwabwa hivi kweli mwanaume uliyeshiba vzr kbs mwanamke anakuweka chini na kukupiga? Hahaha uku kwetu haijawahi kutokea na haitakaa itokeee.
Aisee wewe sikukaribishi kwangu utani post JF
Acha kundidishana basiHata yenyewe karibu....
Huduma ya kudindishua ipoAcha kundidishana basi
Kama vepeeee tukutane basiHuduma ya kudindishua ipo