Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,654
- 171,755
- Thread starter
- #121
Ndoa za siku hizi ni hatari. Bora mtu kuishi mwenyewe.
Ha ha ha umeongea kwa huruma, pole buana...
Ndoa za siku hizi ni hatari. Bora mtu kuishi mwenyewe.
Naombeni kuuliza hela ya mwanamke huwa inafanya kazi/matumizi gani ndani ya ndoa?
Mmh ukute mwanamke ndo ana nguvu kuliko mwanaume, atathubutu kumpiga?
Sio kila mwenye nguvu ana tabia ya kupiga wengine hovyo. Na Inawezekana kwenye uchumba wao hawakuwahi kupigana, so Hakujua kama anaweza akampiga beforeSasa kama mwanaume anajua wazi mchumba wake ana nguvu, kwanin amuoe?
Ni mtu wa tanga mapenzi yalikozaliwa sijui imekuwaje kawa kama mmachameKwani ni Mmachame?
Ha ha ha watu wenye nguvu ndio wanaohitajikaSasa kama mwanaume anajua wazi mchumba wake ana nguvu, kwanin amuoe?
Alikuwa mke wa ndoa na wala si dada km ulivyo quote hapo, na ukweli ni kwamba hata mimi pia nilikuwa na vyangu tena alikuwa akinipa shinikizo lakuviuza....., ''God will alyaws be great my JF friends''inabidi umshukuru huyo dada kwa kukufumbua macho. si ajabu asingesema hivyo ungehisi umefika na usingechacharika kufikia hapo ulipo...ni mtazamo tu
Ni mtu wa tanga mapenzi yalikozaliwa sijui imekuwaje kawa kama mmachame
Dah,.....
.....
.....
.....
Nisharudi kwangu mie, karibuni parachichi :smokin:
Naombeni kuuliza hela ya mwanamke huwa inafanya kazi/matumizi gani ndani ya ndoa?
Dah,
Hapo mwisho nilisoma vibaya, nilidhani karibu Papuchi!!
Leo jion nenda utuambie imeishia wapi...
Hahahah! Huyo mwanaume nae inaonekana ni kama bwabwa hivi kweli mwanaume uliyeshiba vzr kbs mwanamke anakuweka chini na kukupiga? Hahaha uku kwetu haijawahi kutokea na haitakaa itokeee.Nikasikia makelele pale kwa jirani, kama vile wanapigana nikaona isiwe shida ngoja nijisogeze sio kwasababu za kiumbea lah ni sababu za kimsaada,hata kama ni umbea ni kidogo sana kikubwa msaada nikanyata hadi dirishani nkaona mwanaume kawekwa chini anapigwa,kimoyomoyo nikawaza ya leo kali, angekua anapigwa mwanamke ningejaribu hata kujikoholesha aachiwe sasa kwa kidume si ataona aibu sana mwisho aje anifanye mi mnyonge wake amalizie hasira zake kwangu.
Ikabidi niuchune na kutegesha antena ndani, muda huo kichapo kinaendelea na maneno yanawatoka. Chanzo cha ugomvi sasa: miezi kama kadhaa iliopita walifunga ndoa kila mtu akiishi kwake, kwakua mke ana vitu vya ndani tayari mwanaume akaona sio ishu kununua vingine wakati vipo (hawaishi wote kwa sababu ya kazi), mwanaume akamuomba mkewe kabati alilopewa kwenye kitchen party, mkewe akajibu "kabati lile ni langu na nimeamua kumpa dada yangu kwakua hana kabati".
Mme akasema ni sawa ila mbona haukunishirikisha? Mwanamke akageuka redio mmewe akauliza kwa busara kwahiyo na kile kiwanja na wale mbuzi tuliopewa kwenye harusi ni mali yangu peke angu? Mwanamama kusikia hivo akaamua adandie shingo ya mmewe.Hivi wanandoa mkishaoana vitu vyote si vya kwenu?hata kama unatoa kumpa ndugu si ni vema kushirikishana? Umiliki wa vitu ni kwenu wote hata braa ni yenu.
Nisharudi kwangu mie, karibuni parachichi :smokin:
Ametudhalilisha sana Wanaume Tunaotoka TangaNi mtu wa tanga mapenzi yalikozaliwa sijui imekuwaje kawa kama mmachame
Ha ha ha watu wenye nguvu ndio wanaohitajika