Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,627
- 171,649
- Thread starter
- #41
haya we uliemkuta yupo juu elezea ilivokuaHuyo mwongo maana alikuta yupo chini, hivyo hawezi kututajia mwanzo. Nikueleze kuwa ndoa za siku hizi ni RAHAAAAAA
haya we uliemkuta yupo juu elezea ilivokuaHuyo mwongo maana alikuta yupo chini, hivyo hawezi kututajia mwanzo. Nikueleze kuwa ndoa za siku hizi ni RAHAAAAAA
Mke kama huyo hata kufahamiana naye nahisi ni shida..
Una uhakika gani kabati alipewa kweli?
uswahilini watu hufanya maonesho tu ya zawadi halafu vitu hurudishwa kwa wenyewe...
vingine hukodiwa madukani
tembea uone
Wanamke wa kawaida tu, ila kidume ndo commando kipensi na siksi packs
ila nshaanza kupata wasiwasi na hizo six packs, kama makalio twaongeza nahisi nae labda kafanya something something
kwenye kifua
Teh teh!!! Evelyn Salt alivyokuwa mwingi..uenda hata wakiwa wanafahamiana uwa anawalia chabo lol..Ha ha ha, kama mtu hakuona ile thread ya wapendwa itamchukua muda kuelewa hapa!
Tumuulize Evelyn Salt kama huwa anasikia kelele za kufahamiana kwao. Hata chabo basi.
Teh teh!!! Evelyn Salt alivyokuwa mwingi..uenda hata wakiwa wanafahamiana uwa anawalia chabo lol..
Mmh ukute mwanamke ndo ana nguvu kuliko mwanaume, atathubutu kumpiga?Kama ni huruma bas ilizidi... angemchapa hata vbao viwili vya fasta, mwanamke angetulia!!!
Naombeni kuuliza hela ya mwanamke huwa inafanya kazi/matumizi gani ndani ya ndoa?
Umeona wifey.... sasa tusipowapiga kuna wanawake wenzenu wanatushangaa....
Khaaaa!
Hebu ukuje huku kuna ka Passo nimekununulia kwa ajili ya birthday yako.
Alishasema hiyo ni moja ya fantansy zake!
Evelyn Salt
Mmh ukute mwanamke ndo ana nguvu kuliko mwanaume, atathubutu kumpiga?
Mmh ukute mwanamke ndo ana nguvu kuliko mwanaume, atathubutu kumpiga?
Hahhahaha usiwashtue bana, tutakuwa hatuolewi wenzio na miili yetu lol. Ila mwanaume ni mwanaume tu bana, anaweza akawa na mwili mdogo lakini akakufumua hadi ukajutaNdio madhara ya mume mtu kuwa na kimwili kidogo halafu mke mtu kashiba ngano na chips mayai. Kono hilo,paja kule. Akimkalia mume lazima majiran wajue..
Una uhakika gani kabati alipewa kweli?
uswahilini watu hufanya maonesho tu ya zawadi halafu vitu hurudishwa kwa wenyewe...
vingine hukodiwa madukani
tembea uone
Hahhahaha usiwashtue bana, tutakuwa hatuolewi wenzio na miili yetu lol. Ila mwanaume ni mwanaume tu bana, anaweza akawa na mwili mdogo lakini akakufumua hadi ukajuta
Nimecheka tu kwenye Braaa..teh teh. Sipat picha mbaba kama huyo anapiga mswaki na Braa yao..
Wewe bora hata upigwe na mke giant. Kuwa wanawake ni wafupi, wana mbinu za kupigana hatari. Yani utapigwa huku huamini macho yako tehTeh teh,mke giant halafu mume mdogooo..lazima apigwe tu. Wewe chunguza..au huyo jirani yako kampita mkewe na bado kakung'utwa? Kama namuona vile alivyomaliza kupigwa akajifuta machozi..