Kickass torrents gone for good?

Kickass torrents gone for good?

Hizi servers ni za nan? Naomba maelezo kidg khs hiz server
nafkiri huyo jamaa ni mtu wa irani sababu domain yake inaishiwa na. ir

server ni za asiatech.ir nafkiri pia watakua hao hao wairani

location ya server ni jamhuri ya czech
 
Tovuti mashuhuri na maarufu inayolist torrent ya kickass torrent au kat.cr imefungwa na serikali ya marekani pamoja na mmiliki wake kukamatwa huko poland. tovuti iyo iliyojipatia umaarufu na kuwa the largest torrent site on earth baada ya the pirate kuzamishwa na umaarufu wake kupungua, vyanzo vingi vinaeleza mmiliki wake ambae inasemekana ni raia wa ukraine amekamatwa,
dahh mkuu umenifahamisha
nimejaribu ifungua wee mpaka nikaanza kulaum mtandao wa tgo duu kweli usichokijua...
 
1. torrents hazitumii server
2. zile torrent mnazoziona sio za kat

hata sasa hivi kuna proxy nyingi tu za kat ambazo zimeihifadhi site nzima. as long as tracker wapo torrent nazo zitashuka.

waweza kuwa partly true!

Hizo proxy unazosema hauwezi Upload torrent file yoyote!
Ili uweze Upload file kickass lazima uwe na account pale na iwe proved na administrators ku Upload files!
Nina account yao na ili ku login unaitaji email na Password which means wana database ya users and No database without a server and No website runs without a server!
Pili,hizo proxy nahisi sio real time yaani kuna files nili Upload kat.cr ila sizioni nkijaribu zi search!

Inshort without the return of the main web nafikiri site haitokaa iwe updated na latest contents zitabaki zile za zamani!
 
Samahani, japo nitaonekana mjinga mbele ya wajanja wengi hum ndan japo mmesikia sn hizi habari za torrent na nini na nini lakin nmeashindwa kuzitumia sasa sijui ni ushamba wangu tu (mnaojua mtanifahamisha) natafuta adobe photoshop kwa kutumia hizi torrents lakini kila nikisearch results znakuja shida ku download sasa ukiclick inakupeleka page nyingine unakutana na kitu ambacho sicho ulichokua unatafuta unatudi tena yaani naweza tumia 2 - 3 hrs unatafuta kitu kimoja tu! Msaada nifundisheni jamani wenzangu mnafanyeje na mimi nii enjoy na hizi torrent sites
 
waweza kuwa partailly true!

tufanye jaribio hapa, nipe hint ya hayo mafile yako ya kat kama nitayapata kwengine, yana jina au kitu chochote unique? lipo kwenye pc yako unaliseed?
 
1. huwez download torrent bila download manager yake kama vile uttorent na bittorent
2. eka adblocker kwenye browser hizi site za torrent ni balaa kwa matangazo hizo site nyengine unazopelekwa pengine ni hayo matangazo
 
1. torrents hazitumii server
2. zile torrent mnazoziona sio za kat

hata sasa hivi kuna proxy nyingi tu za kat ambazo zimeihifadhi site nzima. as long as tracker wapo torrent nazo zitashuka.

Ah! Kumbe proxy ni nini mkuu?
 
Not really. This is not gonna be the first incidence, and certainly it will not be the last one. These chaps are fully aware of the environment in which they are operating and therefore they are always well prepared to bounce...back !!!!
 
tufanye jaribio hapa, nipe hint ya hayo mafile yako ya kat kama nitayapata kwengine, yana jina au kitu chochote unique? lipo kwenye pc yako unaliseed?

hapo lengo sijaelewa kama itakua prove kwamba torrent sites hazina server au unataka prove kuwa proxy za kickass sio real time!

Labda uliposema server uli target kumaanisha hawafanyi storage ya file lolote nsijue zile .torrent file kama wanazi store wao au la maana inabidi ui Upload kwenye site yao ndo torrent yako itakua live.

Tofauti na hapo torrent sites kama website yoyote haiwezi kuwa live Online bila kuwepo na server behind!

Kuhusu hilo ambalo silionio ni kwamba nilikua na shida na video tutorial za android ambazo ni hizi hapa Xamarin Android - A Master Guide to App Development in C#

Ilikua ina cost zaidi ya 10$ by the time nainunua ilinichukua siku nyingi kabla ya kulipa hii hela sababu nilijua lazima ipo torrents ila baada ya kukomaa sana sikuweza kuipata sehemu yoyote niliishia kupata tutorials za mtu huyo huyo ila za iOS ambazo nazo niliizitaji [Xamarin iOS - The Master Guide]

Nkaona isiwe Big deal kwa kuwa kuna User aliweza share tuts za iOS nkaona na mm bora nilipe za android nizi share sababu kwenye comments niliona watu waki request!

So nkainunua kutoka link nilotoa awali then nkai Upload torrents kwa jina sawa na ile ya iOS ila nkabadiliri iOS nkaweka android i.e [Xamarin Android - The Master Guide]

Leo hii kickass imekua shutdown hata hiyo ya iOS hauwezi ipata ndo maana nkasema hizi proxy sites sio real time na yangu nilo upload haipo nshaacha kuli seed hili file ila last time nime login kwenye acct yangu ya kickass kuna watu walikua bado wanali seed yaani lipo active bado!

Link ya file ambayo haifunguki http://dxtorrent.com/xamarin-ios-the-master-guide-t12165567.html

Nimewai jaribu ku upload bongo movie pia kickass bado nai seed kwenye server japo inaonesha zero seeders kwenye proxy ya sasa ila niko nai seed zaidi ya miezi minne...Ila naona pia iko torrent sites nyingine ila .torrent file nili upload kickass peke yake!

Ila kuna mafile kibao yamefutwa kickass sababu ya DCMA complaints ila ukienda piratebay unayakuta na kuyapakua ingekua online kickass ningeonesha baadhi ya mafile yalofutwa ila unayakuta piratebay!

Movie nilo upload na sites ilizo listed
Kiboko Kabisa-Bongo Movie Download

au

http://dxtorrent.com/kiboko-kabisa-bongo-movie-t12324172.html
 
Kwanza the largest toreent ni Extratorrent.cc jaribu hii uone
 
tutorial yako ya android hii hapa
https://www.katproxy.al/xamarin-android-master-guide-zip-t12563843.html
sababu dxtorrent haijapata haina maana proxy site zote za kat nazo zitaikosa, tena ina seed 7

tuje kwenye hio movie yako ambayo una seed ila kwenye site haionyeshi seed. hio ndio exactly point yangu kuifungia kat si kitu sababu wanaocheza mchezo wote huu ni tracker na sio kat, hapo tracker anae kutrack wewe kama seeder hayupo kat hivyo kat hawajui kama kuna seeder, mtu akidownload file litazingua ila mtu huyo huyo akimuadd tracker wako manual file litaanza kudownload. hawa ni tracker wa hio movie according to kat

udp://tracker.openbittorrent.com:80/announce

udp://tracker.publicbt.com:80/announce

udp://tracker.coppersurfer.tk:6969/announce

udp://glotorrents.pw:6969/announce

cheki na wewe kwenye tracker wako kama kuna ambae kaongezeka ina maana huyo ndie anaesimamia seed zako.

kuhusu site ya kat sijasema kwamba haina kwenye server, website yao ipo kwenye server ila torrent zao ndio hazipo na hawana control nazo
 
Back
Top Bottom