Kickass torrents gone for good?

Kickass torrents gone for good?

Jamani msihangaike na visite vidogo vidogo hili ndio baba lao its a world torrent search engine www.torrentz.eu
sasa website zote zikifungiwa search engine itafanye kazi?

mfano wake ni kama mtu akuletee habari nusu ya wanyama wamefariki kuna hatari wanyama wote wanaofugwa kutoweka halafu wewe umjibu achana na wanyama nenda kwenye bucha utazikuta nyama kibao
 
Tovuti mashuhuri na maarufu inayolist torrent ya kickass torrent au kat.cr imefungwa na serikali ya marekani pamoja na mmiliki wake kukamatwa huko poland. tovuti iyo iliyojipatia umaarufu na kuwa the largest torrent site on earth baada ya the pirate kuzamishwa na umaarufu wake kupungua, vyanzo vingi vinaeleza mmiliki wake ambae inasemekana ni raia wa ukraine amekamatwa,
Tafuta app ya torrentz bado inafanya kaz poa tu
 
1. torrents hazitumii server
2. zile torrent mnazoziona sio za kat

hata sasa hivi kuna proxy nyingi tu za kat ambazo zimeihifadhi site nzima. as long as tracker wapo torrent nazo zitashuka.

Unamaanisha KAT/TPB hawana servers za kuservice sites zao?

Maybe hatujaelewana where do we upload torrents?, Kuna issue ya users kwenye site, kuna issue ya seed count intergration na trackers na mengine mengi ambayo torrent sites anatakiwa kuhost kwa kutumia servers.

Hapo ndo hatujaelewana, It doesnt mean hizi torrent site ndo zinakuwa na hizo content otherwise wangekua wanatoa na huduma ya FTP kama wangekua wanacontent yote.
 
eztvtorrent ndo mpango mzima kwa torrents zenye seeds za kutosha
 
Attachments

  • Untitledgggggggg.png
    Untitledgggggggg.png
    17.5 KB · Views: 68
Unamaanisha KAT/TPB hawana servers za kuservice sites zao?

Maybe hatujaelewana where do we upload torrents?, Kuna issue ya users kwenye site, kuna issue ya seed count intergration na trackers na mengine mengi ambayo torrent sites anatakiwa kuhost kwa kutumia servers.

Hapo ndo hatujaelewana, It doesnt mean hizi torrent site ndo zinakuwa na hizo content otherwise wangekua wanatoa na huduma ya FTP kama wangekua wanacontent yote.
mkuu kama ulikua unatumia kat wakati wa kudownload kulikua na tab nafkiri inaitwa technical (au inawezekana jina nimelisahau) ilikuwa inalist tracker wote wa torrent husika. ukisoma wale tracker na domain zao utaelewa ninachomaanisha.

kat ni website ambayo inalist torrent, ila kat zile tracker si zao, inawezekana wana zao ila ni chache sana au hazitumii domain ya kat. hivyo hata leo kama nina torrent ya mwaka jana ambayo nilidownload toka kat nikikupa wewe leo uidownload itadownloadika sababu imefungiwa tu website na sio tracker wala wale seeder ambao ni mimi, wewe na yule.

nakwambia hivi sababu nawafahamu kat wana tabia ukidownload torrent wanakupa tracker wawili au watatu tu huku wengine hawakupi hivyo nilikuwa manual natafuta tracker mwenyewe na ku add kwenye torrent.

ili kujiaminisha zaidi tafuta proxy yenye cache za kat halafu download torrent kupitia kat uone itafanya kazi au haitafanya? japokuwa wamefungiwa
 
Mbona imerudi kwa jina lingine Dxtorrent.com
hio ni cache/proxy ya kickass angalia movie ya mwisho kuekwa ni 2 days ago. hivyo hiyo utaendelea kuitumia lakini movie mpya za kuanzia jana, leo, kesho na kuendelea hutazipata
 
mkuu kama ulikua unatumia kat wakati wa kudownload kulikua na tab nafkiri inaitwa technical (au inawezekana jina nimelisahau) ilikuwa inalist tracker wote wa torrent husika. ukisoma wale tracker na domain zao utaelewa ninachomaanisha.

kat ni website ambayo inalist torrent, ila kat zile tracker si zao, inawezekana wana zao ila ni chache sana au hazitumii domain ya kat. hivyo hata leo kama nina torrent ya mwaka jana ambayo nilidownload toka kat nikikupa wewe leo uidownload itadownloadika sababu imefungiwa tu website na sio tracker wala wale seeder ambao ni mimi, wewe na yule.

nakwambia hivi sababu nawafahamu kat wana tabia ukidownload torrent wanakupa tracker wawili au watatu tu huku wengine hawakupi hivyo nilikuwa manual natafuta tracker mwenyewe na ku add kwenye torrent.

ili kujiaminisha zaidi tafuta proxy yenye cache za kat halafu download torrent kupitia kat uone itafanya kazi au haitafanya? japokuwa wamefungiwa

Kwa namna hiyo tupo sawa that is why hizi torrent sites ziligundua alternative ya kutumia Magnetic Links ili mtu awe na uwezo wa kudownload content directly from seeders/Leechers ili kuepuka downloading a torrent file kwenye torrent site, na kupitia proxy sites unapata torrents lakini ndo hivyo no more updates.

Bingo
 
yap ni kweli mkuu hakuna tena updates.

ila wenye torrent zao kina RgMechanics, skirdow, Yify etc bado wanatoa service kwenye site zao hivyo si tabu
 
So saivi nkitaka download series yangu ya CONTAIMENT niende downlodia wapi?
 
1. torrents hazitumii server
2. zile torrent mnazoziona sio za kat

hata sasa hivi kuna proxy nyingi tu za kat ambazo zimeihifadhi site nzima. as long as tracker wapo torrent nazo zitashuka.
We jamaa uko deep kila kona. I respect you
 
Back
Top Bottom