Kickass torrents gone for good?

Kickass torrents gone for good?

Tovuti mashuhuri na maarufu inayolist torrent ya kickass torrent au kat.cr imefungwa na serikali ya Marekani pamoja na mmiliki wake kukamatwa huko Poland. Tovuti hiyo iliyojipatia umaarufu na kuwa the largest torrent site on earth baada ya the pirate kuzamishwa na umaarufu wake kupungua, vyanzo vingi vinaeleza mmiliki wake ambae inasemekana ni raia wa ukraine amekamatwa.
Mmoja wa wamiliki wake, kwa sasa watakuwa wanaitafutia new domain. Ilikuwa .ph ikaja .to ikaja .cc ikaja .cr so bado safari yao ndyo inaanza
 
1. huwez download torrent bila download manager yake kama vile uttorent na bittorent
2. eka adblocker kwenye browser hizi site za torrent ni balaa kwa matangazo hizo site nyengine unazopelekwa pengine ni hayo matangazo
Mkuu CHIEF MKWAWA naomba niwekee torents za pc game kali hapa especially za open world
 
open world ndio kama lipi? nipe mfano wake. pia nipe na specs za pc hasa hasa processor/gpu yako
Ni kama Far cry ila nahitaji far cry 4 maana 3tayari pia nimecheza asasins creed 1,2,3 hio ndo mifano ya open games yaani zile unazoweza ku explore the game environment .
Splinter cell naitafuta sana mkuu pia kana unanyingine niwezeshe kaka.
processor ni intel core 7 gpu ni nvidia geforce nvs3100
 
Ni kama Far cry ila nahitaji far cry 4 maana 3tayari pia nimecheza asasins creed 1,2,3 hio ndo mifano ya open games yaani zile unazoweza ku explore the game environment .
Splinter cell naitafuta sana mkuu pia kana unanyingine niwezeshe kaka.
processor ni intel core 7 gpu ni nvidia geforce nvs3100
mkuu gpu ni ndogo hio sijui kama itahandle game za kisasa

-far cry 4
https://lsd-25.ru/uploads/[R.G. Mechanics] Far Cry 4

-splinter cell conviction
Tom Clancys Splinter Cell Conviction Free Download

-splinter cell black list
Splinter Cell Blacklist Free Download

tumia site hio hio ya oceanofgames kupata games zaidi
 
hio ni cache/proxy ya kickass angalia movie ya mwisho kuekwa ni 2 days ago. hivyo hiyo utaendelea kuitumia lakini movie mpya za kuanzia jana, leo, kesho na kuendelea hutazipata
mkuu samahani naomba kujua process za kudownload kwa kutumia hi dxtorrent,maana nikishaingia sijui jinsi ya kudownload
 
yaah tayari..kwa bit torrent

kama ni mirror ya kat inamaana utadownload vile vile

best-free-torrent-sites-kat-torrent-magnet-crown.jpg


click hapo magnet
 
naombeni mnisaidie namna ya kudownload torrents kwa kutumia Utorrent
nawasilisha
 
una software ya kublock matangazo? kama huna nakushauri itafute haraka sana torrent bila adblocker ni majanga.

search "jina la browser adblocker"
 
Back
Top Bottom