Joeli
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 4,941
- 3,414
Tovuti mashuhuri na maarufu inayolist torrent ya kickass torrent au kat.cr imefungwa na serikali ya Marekani pamoja na mmiliki wake kukamatwa huko Poland. Tovuti hiyo iliyojipatia umaarufu na kuwa the largest torrent site on earth baada ya the pirate kuzamishwa na umaarufu wake kupungua, vyanzo vingi vinaeleza mmiliki wake ambae inasemekana ni raia wa ukraine amekamatwa.
