Kiburi chake kinampoza sasa, anaomba poooo

Habari za Muda huu waungwana.

Mwaka 2018 niliingia kwenye mahusiano na mwanamke wa kinyakyusa, mwisho wa siku ya kawa ya kupika na kupakua,nimebahatika kupata naye watoto 2 inshaallah.

Kuishi na hawa wanawake wa kinyakyusa inahitaji kujitoa kweli lasivyo utapoteza uwanaume wako ndani ya nyumba,wanajisikia sana,wana viburi,dharau kugombana na watu hasa majirani dakika 5 nyingi kinawaka,wababe kila kitu wanajiona wanajua.

Sasa akaanza kuniletea kiburi,dharau baada ya kupata vipesa vyake vya kazi,hata ndani unyumba hakawa hanipi,nikasikuti nikasema huyu hanijui vyema

Nikampa principle za Dark code,kama ifuatavyo.

1.nikawa sina mda naye kabisa,unyumba sihitaji,kitandani nikahama nikawa nalala chini kwenye mkeka,yani nikakata mawasiliano kabisa,hata akiumwa sijali,mahitaji sitoi nikasema sihudumii mbwa anayenibwekea.

2.pesa ya kula nikawa simpi ndani nahamka asubuhi nafanya mazoezi,naenda shop nanunua mahitaji yangu yote,napika chakula nachohitaji,tena chenye nguvu,natural hakuna kukaanga mchemsho ukila tu mashine inasimama yenyewe,mwili ukaanza kubadilika.

3.nikampa uhuru wa kujiamulia mambo yako,hata hatoke usiku simwambii kitu,arudi usiku zangu kimya kama sijui kinachoendelea

4.baada ya kuona sina mda naye akaanza kujiona hajazaa,mda wote kwenye kioo anajiremba mara nguo mpya nikasema huyu ni mfa maji haishi kutapatapa,huyu kuna wanaume wanamdanganya kuwa ni mrembo sasa muache adanganywe,yani nikawa sijali afanyalo njee,apigiwe simu, achart zangu kimya nasoma dark code na biblia,sina mda na wanawake yeyote consistency na mazoezi,sina external validation na mpira wala tiktok mda wote nasoma nikiwa nyumbani,hata aongee kipi,apige kelele vipi simjibu chochote.

Sasa kelele zishaanza kwa ndugu zake anaanza kuwapigia simu na kuwaambia, kuwa simjali hata akiumwa sina mda naye,ela ya kula siachi sina mda naye kabisa,nikajua sasa dark code inafanya kazi nimepanga namuacha kimya kimya siku anashangaa nyumbani sirudi,tena sichukui chochote hata nguo zangu,nachukua vitabu vyangu na vyeti vyangu namuachia kila kitu,vitu vinatafutwa ila amani ya moyo ni zaidi ya vitu.

Mimi ni mtu fulani ambaye kila unachofanya najua kucalculate yajayo,hata ukizama shimoni sikushitui naacha karma ukiwajibishe.

Kama utapenda kujifunza dark code za maisha,mahusiano nipo kukufunza
Naona umemzira na mambo yake yote
 
Sasa umeongea mengi ila sijaona wap umetaja watoto ina maana hata watoto wako hutoi pesa ya chakula

Inamaana ata watoto wako huwaudumii

Achana na mambo ya code wekeni mambo yenu sawa na mwenza wako msitake kutesa watoto kwa kuoneshana ubabe na mkeo
Kweli kabisa, mtu wa namna hii sio mzuri kabisa. Ego inamsumbua tu
 
Hii ilinitokea mwezi huu huu nikasepa,akaenda polisi tukashindwana,akaenda serikali za mitaa yule mama alinibembeleza sana ila nikamwambia kwamba ampe barua aende mahakamani.
Lakini yule mama akasema hawezi kumpa ruhusa ya kwenda popote ikiwa yeye hakupata nafasi kutusikiliz inawezekana yeye akafanikisha kututatulia tatizo hili.

Nikamkubalia ila nikamwambia sina nafasi kwa sasa mpaka nitkapopata basi kama siku 5 hivi nikaenda yakaisha.
HIVYO NIKAJA KUJIFUNZA MENGI SANA KWENYE MGOGORO ULE,NIPO NIKAJUA MTANDAO WA AIRTEL NI WA HOVYO KUWAHI KUTOKEA DUNIANI
mkuu naomba uelezee hapo kwenye uhovyowa Airtel
 
Habari za Muda huu waungwana.

Mwaka 2018 niliingia kwenye mahusiano na mwanamke wa kinyakyusa, mwisho wa siku ya kawa ya kupika na kupakua,nimebahatika kupata naye watoto 2 inshaallah.

Kuishi na hawa wanawake wa kinyakyusa inahitaji kujitoa kweli lasivyo utapoteza uwanaume wako ndani ya nyumba,wanajisikia sana,wana viburi,dharau kugombana na watu hasa majirani dakika 5 nyingi kinawaka,wababe kila kitu wanajiona wanajua.

Sasa akaanza kuniletea kiburi,dharau baada ya kupata vipesa vyake vya kazi,hata ndani unyumba hakawa hanipi,nikasikuti nikasema huyu hanijui vyema

Nikampa principle za Dark code,kama ifuatavyo.

1.nikawa sina mda naye kabisa,unyumba sihitaji,kitandani nikahama nikawa nalala chini kwenye mkeka,yani nikakata mawasiliano kabisa,hata akiumwa sijali,mahitaji sitoi nikasema sihudumii mbwa anayenibwekea.

2.pesa ya kula nikawa simpi ndani nahamka asubuhi nafanya mazoezi,naenda shop nanunua mahitaji yangu yote,napika chakula nachohitaji,tena chenye nguvu,natural hakuna kukaanga mchemsho ukila tu mashine inasimama yenyewe,mwili ukaanza kubadilika.

3.nikampa uhuru wa kujiamulia mambo yako,hata hatoke usiku simwambii kitu,arudi usiku zangu kimya kama sijui kinachoendelea

4.baada ya kuona sina mda naye akaanza kujiona hajazaa,mda wote kwenye kioo anajiremba mara nguo mpya nikasema huyu ni mfa maji haishi kutapatapa,huyu kuna wanaume wanamdanganya kuwa ni mrembo sasa muache adanganywe,yani nikawa sijali afanyalo njee,apigiwe simu, achart zangu kimya nasoma dark code na biblia,sina mda na wanawake yeyote consistency na mazoezi,sina external validation na mpira wala tiktok mda wote nasoma nikiwa nyumbani,hata aongee kipi,apige kelele vipi simjibu chochote.

Sasa kelele zishaanza kwa ndugu zake anaanza kuwapigia simu na kuwaambia, kuwa simjali hata akiumwa sina mda naye,ela ya kula siachi sina mda naye kabisa,nikajua sasa dark code inafanya kazi nimepanga namuacha kimya kimya siku anashangaa nyumbani sirudi,tena sichukui chochote hata nguo zangu,nachukua vitabu vyangu na vyeti vyangu namuachia kila kitu,vitu vinatafutwa ila amani ya moyo ni zaidi ya vitu.

Mimi ni mtu fulani ambaye kila unachofanya najua kucalculate yajayo,hata ukizama shimoni sikushitui naacha karma ukiwajibishe.

Kama utapenda kujifunza dark code za maisha,mahusiano nipo kukufunza
Safiiiiiiiiiiiiii na hiyo ndio maana yake
 
Bro iko hivi mwanaume hatelekezi kizazi chake najipanga kwa mda fulani mwisho wa siku watoto wanapelekwa sehemu ambayo kuwaona ni ngumu,watateseka kwa sasa ila kwa baadae wata ishi vyema
Wazazi wengi mnapokosea mkipishana maugomvi yenu mnahamishia kwa watoto, sasa wewe unataka uwapeleke watoto mbali na mama yao ili iweje? Ingekua ni yeye ndio anataka wewe usiwaone watoto ungefurahia?? Huu ni ubinafsi
 
Habari za Muda huu waungwana.

Mwaka 2018 niliingia kwenye mahusiano na mwanamke wa kinyakyusa, mwisho wa siku ya kawa ya kupika na kupakua,nimebahatika kupata naye watoto 2 inshaallah.

Kuishi na hawa wanawake wa kinyakyusa inahitaji kujitoa kweli lasivyo utapoteza uwanaume wako ndani ya nyumba,wanajisikia sana,wana viburi,dharau kugombana na watu hasa majirani dakika 5 nyingi kinawaka,wababe kila kitu wanajiona wanajua.

Sasa akaanza kuniletea kiburi,dharau baada ya kupata vipesa vyake vya kazi,hata ndani unyumba hakawa hanipi,nikasikuti nikasema huyu hanijui vyema

Nikampa principle za Dark code,kama ifuatavyo.

1.nikawa sina mda naye kabisa,unyumba sihitaji,kitandani nikahama nikawa nalala chini kwenye mkeka,yani nikakata mawasiliano kabisa,hata akiumwa sijali,mahitaji sitoi nikasema sihudumii mbwa anayenibwekea.

2.pesa ya kula nikawa simpi ndani nahamka asubuhi nafanya mazoezi,naenda shop nanunua mahitaji yangu yote,napika chakula nachohitaji,tena chenye nguvu,natural hakuna kukaanga mchemsho ukila tu mashine inasimama yenyewe,mwili ukaanza kubadilika.

3.nikampa uhuru wa kujiamulia mambo yako,hata hatoke usiku simwambii kitu,arudi usiku zangu kimya kama sijui kinachoendelea

4.baada ya kuona sina mda naye akaanza kujiona hajazaa,mda wote kwenye kioo anajiremba mara nguo mpya nikasema huyu ni mfa maji haishi kutapatapa,huyu kuna wanaume wanamdanganya kuwa ni mrembo sasa muache adanganywe,yani nikawa sijali afanyalo njee,apigiwe simu, achart zangu kimya nasoma dark code na biblia,sina mda na wanawake yeyote consistency na mazoezi,sina external validation na mpira wala tiktok mda wote nasoma nikiwa nyumbani,hata aongee kipi,apige kelele vipi simjibu chochote.

Sasa kelele zishaanza kwa ndugu zake anaanza kuwapigia simu na kuwaambia, kuwa simjali hata akiumwa sina mda naye,ela ya kula siachi sina mda naye kabisa,nikajua sasa dark code inafanya kazi nimepanga namuacha kimya kimya siku anashangaa nyumbani sirudi,tena sichukui chochote hata nguo zangu,nachukua vitabu vyangu na vyeti vyangu namuachia kila kitu,vitu vinatafutwa ila amani ya moyo ni zaidi ya vitu.

Mimi ni mtu fulani ambaye kila unachofanya najua kucalculate yajayo,hata ukizama shimoni sikushitui naacha karma ukiwajibishe.

Kama utapenda kujifunza dark code za maisha,mahusiano nipo kukufunza
Hapa ndio kuna wakati najisemea kimoyomoyo kuna sababu kwanini wanawake wengi wanaanguka mapepo makanisani,kuna wakati unaona kabisa huyu akili sio yake ni kama vile kuna kitu kinamuendesha,ila ukitumia hiyo dark code utamuona ghafala anaanza kurudi kinyumenyume na kuwa mpole,important of all usiache Biblia,soma na kuitafakari na kuiishi bila ya kusahau mazoezi.Usije ukakosea tu ukafikiri kuwa ukitafuta mwanamke wa kuzini naye au kunywa pombe itasaidia,hapa unaweza kujikuta shida inaongezeka mara 10 na wewe ndio unazidi kuathirika kuliko yeye......
 
Back
Top Bottom