MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,185
- 152,017
Kweli, maana hujui kesho yako..Anko, hapa duniani mheshimu yeyote aliye mbele yako.

Story nzuri ila ni AI ndio maana makosa kibaoUnachukua vyeti na vitabu vyako tu, watoto unaacha?
Huwa mnajidanganya sana na kutiana Ujinga.Km huyo mwanamke ana uchumi wake binafsi, wala usijisumbue wee toka na hatakutafuta kamwe, labda kuwajibika juu ya watoto tu.
Sawa kwa mtazamo wako,kuna vile u navyo hisi ila kuna vile hali ilivyoStory nzuri ila ni AI ndio maana makosa kibao
Watu wanashindwa kuelewa kuna unapika msosi unakula wewe tu [ watoto hawajatajwa] kuna muda anaondoka anarudi usiku ( hali ya watoto vipi nawewe kazi unafanya saa ngapi) humsemeshi wala hujibu chochote ( reaction ya watoto?). Au unasemea watoto gani wewe? Unawajua watoto hata ukiwaona?Sawa kwa mtazamo wako,kuna vile u navyo hisi ila kuna vile hali ilivyo
Sasa unadhani anafurahi?Mbona km unaumia na maamuzi ya dark code yako hiyo?
😂😂😂😂
😃😄😂😀🙃🙂🫠🤣😆🦴🦴📞🦴🦴Bora wachaga wapumzike
Shukuru hakuwatumia watoto kama fimbo ya kukupigia!!Habari za Muda huu waungwana.
Mwaka 2018 niliingia kwenye mahusiano na mwanamke wa kinyakyusa, mwisho wa siku ya kawa ya kupika na kupakua,nimebahatika kupata naye watoto 2 inshaallah.
Kuishi na hawa wanawake wa kinyakyusa inahitaji kujitoa kweli lasivyo utapoteza uwanaume wako ndani ya nyumba,wanajisikia sana,wana viburi,dharau kugombana na watu hasa majirani dakika 5 nyingi kinawaka,wababe kila kitu wanajiona wanajua.
Sasa akaanza kuniletea kiburi,dharau baada ya kupata vipesa vyake vya kazi,hata ndani unyumba hakawa hanipi,nikasikuti nikasema huyu hanijui vyema
Nikampa principle za Dark code,kama ifuatavyo.
1.nikawa sina mda naye kabisa,unyumba sihitaji,kitandani nikahama nikawa nalala chini kwenye mkeka,yani nikakata mawasiliano kabisa,hata akiumwa sijali,mahitaji sitoi nikasema sihudumii mbwa anayenibwekea.
2.pesa ya kula nikawa simpi ndani nahamka asubuhi nafanya mazoezi,naenda shop nanunua mahitaji yangu yote,napika chakula nachohitaji,tena chenye nguvu,natural hakuna kukaanga mchemsho ukila tu mashine inasimama yenyewe,mwili ukaanza kubadilika.
3.nikampa uhuru wa kujiamulia mambo yako,hata hatoke usiku simwambii kitu,arudi usiku zangu kimya kama sijui kinachoendelea
4.baada ya kuona sina mda naye akaanza kujiona hajazaa,mda wote kwenye kioo anajiremba mara nguo mpya nikasema huyu ni mfa maji haishi kutapatapa,huyu kuna wanaume wanamdanganya kuwa ni mrembo sasa muache adanganywe,yani nikawa sijali afanyalo njee,apigiwe simu, achart zangu kimya nasoma dark code na biblia,sina mda na wanawake yeyote consistency na mazoezi,sina external validation na mpira wala tiktok mda wote nasoma nikiwa nyumbani,hata aongee kipi,apige kelele vipi simjibu chochote.
Sasa kelele zishaanza kwa ndugu zake anaanza kuwapigia simu na kuwaambia, kuwa simjali hata akiumwa sina mda naye,ela ya kula siachi sina mda naye kabisa,nikajua sasa dark code inafanya kazi nimepanga namuacha kimya kimya siku anashangaa nyumbani sirudi,tena sichukui chochote hata nguo zangu,nachukua vitabu vyangu na vyeti vyangu namuachia kila kitu,vitu vinatafutwa ila amani ya moyo ni zaidi ya vitu.
Mimi ni mtu fulani ambaye kila unachofanya najua kucalculate yajayo,hata ukizama shimoni sikushitui naacha karma ukiwajibishe.
Kama utapenda kujifunza dark code za maisha,mahusiano nipo kukufunza
Hiki kigezo cha watoto ndo ujinga sasaSasa umeongea mengi ila sijaona wap umetaja watoto ina maana hata watoto wako hutoi pesa ya chakula
Inamaana ata watoto wako huwaudumii
Achana na mambo ya code wekeni mambo yenu sawa na mwenza wako msitake kutesa watoto kwa kuoneshana ubabe na mkeo
Tushushe, tumeshafika..Natural hakuna kukaanga mchemsho ukila tu mashine inasimama yenyewe
Mbio fupi hizo watoto wawili nani ahangaike nae,age itasonga Atabaki peke yake atatamani kurudi kwa mumewe itakua amechelewaKm huyo mwanamke ana uchumi wake binafsi, wala usijisumbue wee toka na hatakutafuta kamwe, labda kuwajibika juu ya watoto tu.
Nilitaka kuuliza swali kuhusu watoto maana ameongelea yeye na mkewe tu.Unachukua vyeti na vitabu vyako tu, watoto unaacha?
Mwanangu visungura na Jua kali hili haviendani kabisa!?Hii ilinitokea mwezi huu huu nikasepa,akaenda polisi tukashindwana,akaenda serikali za mitaa yule mama alinibembeleza sana ila nikamwambia kwamba ampe barua aende mahakamani.
Lakini yule mama akasema hawezi kumpa ruhusa ya kwenda popote ikiwa yeye hakupata nafasi kutusikiliz inawezekana yeye akafanikisha kututatulia tatizo hili.
Nikamkubalia ila nikamwambia sina nafasi kwa sasa mpaka nitkapopata basi kama siku 5 hivi nikaenda yakaisha.
HIVYO NIKAJA KUJIFUNZA MENGI SANA KWENYE MGOGORO ULE,NIPO NIKAJUA MTANDAO WA AIRTEL NI WA HOVYO KUWAHI KUTOKEA DUNIANI
Visungura vipi sasa we k ya mamayoMwanangu visungura na Jua kali hili haviendani kabisa!?
Kweli code unazo , nimekubali.Habari za Muda huu waungwana.