Kiburi chake kinampoza sasa, anaomba poooo

Kiburi chake kinampoza sasa, anaomba poooo

mm joto la jiwe nililionja wanyakyusa jaman ni shida.... Waachaneni waolewe na wanyakyusa wenzao kabila zingine hamuwawezi.
Wanahitaji Manipulation za kutosha nishawahi kua na manzi wa Kinyakyusa muda mrefu sana na nilimpata akiwa bado mbichi kabisa yaan zile chuchu mwiba akiwa kwenye umri wa miaka 18 kuelekea 19 nikaanza kula vitamu, nilipoamua kutokua manipulator akaanza kuniona mimi namna gani shida ndio inaanzia hapo, wanahitaji mwanaume fulani hivi manipulator ninaposema manipulator najua unanielewa yaan wewe uwe unao uwezo wa kumvuruga vuruga ubongo wake kwa vitu ambavyo havipo ni km illusion tu ndio wanapenda hivyo sasa njoo na reality show zako wakuonyeshee show unapigwa KO
 
https://www.jamiiforums.com/

Dark code amri za Giza: turejeshe utawala wetu,mwanaume ni kichwa,na sio mkia..​


DARK CODE
AMRI ZA GIZA:-

Wanawake si kama unavyofikiri.
Wanawake si kama unavyotarajia.
Wanawake si kama vile hadithi za kifalme, filamu na simulizi za mapenzi zilivyokufanya uamini.
Wanawake huzaliwa wakiwa wadanganyifu, wenye mioyo migumu, wataalamu wa kupanga mikakati na wauaji wa hisia.

Wanaume huzaliwa na upendo.
Wanawake huzaliwa na mikakati.

Mwanaume hutoa.
Mwanamke huhesabu.
Mwanaume huamini.
Mwanamke hujaribu.
Mwanaume hulinda.
Mwanamke husubiri, kisha hushambulia. Na anaposhambulia, hutaliona likija.

Sihisi chochote isipokuwa huruma kwa wanaume wanaoamini kwa dhati kwamba wanawake wao wanawapenda.
Wanaume hawa ni kama kondoo wanaoongozwa kwenda machinjioni huku wakitabasamu. Wanafikiri wako salama mpaka pale kisu kinapochomwa mgongoni mwao.

Ukweli ni huu: siku utakayokubali kwamba wanawake hawana uwezo wa kuwapenda wanaume, ndiyo siku utakayopata uhuru wako.
Siku utakapoacha kuamini katika mapenzi na kuanza kuamini katika madaraka, ndiyo siku utakayoanza kupanda ngazi kuelekea kile unachokitafuta.

Tangu mwanzo wa wakati, usaliti wa kwanza wa mwanamke dhidi ya mwanaume uliweka msingi wa mchezo huu.pale bustani ya eden Eva aliamua kula tunda bila kumshirikisha Adam
Hata alipopata nafasi ya kuchagua, hakusita. Alichagua ubinafsi badala ya uaminifu, na kuanzia wakati huo, mchezo ulikuwa umeanza.
Wanawake wamekuwa waaminifu kwa jambo moja tu: wao wenyewe.

Hata Yesu alielewa jambo hili. Ndiyo maana hakuwahi kuwaamuru wanawake wawapende wanaume, kwa sababu alijua kwamba hawakuwa na uwezo huo. Badala yake, aliwaamuru watii, akijua kwamba udhaifu wao mkubwa ni ubinafsi.
Hawataki kuachia udhibiti.
Hawataki kuinama.
Hawataki kuongozwa.
Na ndiyo maana wanapaswa kuwekwa katika nafasi zao.
Usimruhusu mwanamke akudhibiti akili yako.
Usimkabidhi mwanamke moyo wako.

Usiamini kwamba mwanamke wako ni tofauti na wengine.
Usiache kuwa macho.
Kwa sababu mara tu unapoamini uongo, tayari umeshashindwa.
Sababu ya jambo hili ni rahisi sana: wanaume hawapaswi kuwaamini wanawake kikamilifu.

Si mpenzi wako.
Si mke wako.
Hata si mama yako.
Hakuna mwanamke anayepaswa kuondolewa katika ukweli huu.
Kwa sababu nyuma ya kila tabasamu kuna mchezo.
Nyuma ya kila tendo la wema kuna mpango.
Na anaposhambulia, atafanya hivyo wakati ambao utakuwa katika hali ya udhaifu mkubwa zaidi.
Atakuumiza wakati ambao hutautarajia.
Atakusaliti wakati ambao utaamini kwamba uko salama.
Atakuangamiza wakati ambao utakuwa katika mazingira magumu zaidi.
Angalia historia.
Angalia idadi ya wanaume walioanguka kwa sababu ya wanawake.
Wafalme wamepoteza falme zao.
Milki zimeporomoka.
Mashujaa wamefutika katika historia.
Na jambo hilo linaweza kukutokea wewe pia, isipokuwa uamke.

Tawala au uachwe nyuma.
Wanaume wengi wamejifunza somo hili kwa njia ngumu.
Usiwe mmoja wao.
Hakuna mapenzi.
Hakuna uaminifu.
Hakuna huruma.
Hili ndilo onyo lako la mwisho.
Hizi ndizo amri za DARK CODE.
Ninakataa kuinama mbele ya historia ya mwanamke yeyote.
Ninakataa kufadhili upotovu.
Sirekebishi kile ambacho sikukiharibu.
Ninahukumu kwa moto.
Nachagua kwa mantiki.
Nachukua kilicho changu na kuyaacha mengine yateketezwe.
Ikiwa ujumbe huu umekutikisa, vizuri. Ina maana kwamba nafsi yako bado haijafa.
Ikiwa ujumbe huu umekukera, ondoka sasa. Tayari umeshashindwa.
Lakini ikiwa ujumbe huu umekuamsha, ikiwa unahisi moto ukipanda ndani ya mishipa yako, ikiwa una hamu ya kurejesha nguvu zako, kupata uwazi wa akili na kuona kupitia udanganyifu, basi una jukumu moja.
Sambaza DARK CODE kwa ndugu zako.
Wamelala. Waamshe.
Shiriki ujumbe huu.
Vunja minyororo pamoja nao.
Iache dunia ijue kwamba unaona kupitia udanganyifu na mapambo yanayoficha ukweli.
Hii ni njia ya watu wenye akili jasiri.
Mapinduzi yameanza.
JE, UMO NDANI AU LA?
Baki macho.
 
Mkuu,Hivi na sisi ambao tumetengana na wake zetu then mwanamke akabeba watoto wote akaenda kwao. Baada ya mda anakwambia usinitafute na nishapata mtu anakusaidia majukumu,fanya kama vile hukuzaa na Mimi hafu unapgwa block. Hapa unakuwa Mimi nimetelekeza familia au hii kesi ikoje nikiamua kufatilia haki juu ya watoto wangu.
Ha haaaa watoto wameenda kwa Baba yao halisi. Kapime DNA kama wakwako wachukue.
 
Mkuu,Hivi na sisi ambao tumetengana na wake zetu then mwanamke akabeba watoto wote akaenda kwao. Baada ya mda anakwambia usinitafute na nishapata mtu anakusaidia majukumu,fanya kama vile hukuzaa na Mimi hafu unapgwa block. Hapa unakuwa Mimi nimetelekeza familia au hii kesi ikoje nikiamua kufatilia haki juu ya watoto wangu.
Hapo hujatelekeza familia, tena mke ndiye kakutelekeza wewe, ila umekosea kuchagua mwanamke.

Kimsingi ukifuatilia unaweza kupata haki zako.
 
Uyajenge wapi mkuu,mwanamke anayekudharau,kutukana mbele ya watoto wako,anatukana familia yako kuna mambo mengine tumia logic acha hisia pembeni,kila kitu hapa duniani kina destiny labda ndo ilivyoandikwa hivyo,kuna mda mwingine kwenye maisha MUNGU kuna watu anataka uwaondoe kwenye maisha yako,sasa ukijifanya una roho nyepesi ndo baadae unasikia fulani kaua,alafu mwisho wa siku wewe ndo utanihukumu hapa uyazungumze yapi wewe ushawahi tukanwa mbele ya watoto wako??
eeeeeh kweli uko ni kugumu sana na kama mwanaume lazima ujisikie vibaya kwa sababu anakutoa uanaume wako kaka lakini jeee uliwahi kaa nae chini na kuzungumza nae juu ya vioja anavofanya na kwa namna gani unaumia kwa vituko vyake kaka ?
 
Mjomba ajali kitu
eeeeeh kweli uko ni kugumu sana na kama mwanaume lazima ujisikie vibaya kwa sababu anakutoa uanaume wako kaka lakini jeee uliwahi kaa nae chini na kuzungumza nae juu ya vioja anavofanya na kwa namna gani unaumia kwa vituko vyake kaka ?
 
Back
Top Bottom