Kiburi chake kinampoza sasa, anaomba poooo

Kiburi chake kinampoza sasa, anaomba poooo

Ulishindwa kufukuza huyo kima aondoke kwenye nyumba yako akuachie watoto wewe mwenyewe ukaamua kuhama as if huyo mwanamke ndo alikuona

Thats the most foolish decision that has ever been made by a man🚮
 
Nimeyapitia hayo maumivu,nikiwa na watoto wawili naye,wa mwisho akiwa na mwaka mmoja tu.
Dogo wa mwisho nikawa naenda naye ofisini, akapata rafiki jirani na ofisini kwangu,akawa anamuogesha,anamlisha na kushinda naye ofisini kwake.
Sasa ni miaka 16 imepita yule rafiki yake mtoto wangu ni mama yake mlezi.
safi sana mkuu
 
Safi sana kwanza ni mnyakyusa wa wapi huyo mkeo? ila lazima atakuwa wa kyela tu na anabahati hakuolewa na mimi mwana ghwa Mwakipesile ningemdunda mbaya.

Hao dada zetu tunawezana nao wenyewe hao bila ngumi hawaendi. Huyo inatakiwa unampa zile ndondi za Mike Tyson kabisa tegua mbavu vunja shingo toboa jicho moja tia ngumi ya sikio mapaka lilale kama la mbwa alafu unamrusha uvunguni huko mwakitanda alie kwa maumivu mpaka asubuhi.

Alafu asubuhi unaliamsha tena unamkanda tena mbaya mbovu unapiga mswaki unamtemea povu la whitedent usoni kisha unasindikiza povu na bonge moja la banzii ualafu unatoka unamfungia milango asitoke nje.

We ngoja...................
 
Hakuna mwanaume anaye jitambua atakubali kuishi na mwanamke mwenye sifa za mke wa mtoa mada. Ni bora watoto wapate malezi mseto kuliko kuwapoteza wazazi wao wote wawili au mzazi mmoja.
Nakazia hoja: Wanaume wengi, at least 85% hawana uhakika wa kwamba wao ndo real biological father wa watoto waliozaliwa ndani ya ndoa au mahusiano. Tunakwenda tu kwa Imani kwamba eti "Kitanda hakizai haramu" Kwa manttiki hiyo; mke wa dizaini ya huyo wa mtoa mada jawabu ni very simple. Hata watoto unamwachia kama zawadi akomae nao - full stop.
 
Safi sana kwanza ni mnyakyusa wa wapi huyo mkeo? ila lazima atakuwa wa kyela tu na anabahati hakuolewa na mimi mwana ghwa Mwakipesile ningemdunda mbaya.

Hao dada zetu tunawezana nao wenyewe hao bila ngumi hawaendi. Huyo inatakiwa unampa zile ndondi za Mike Tyson kabisa tegua mbavu vunja shingo toboa jicho moja tia ngumi ya sikio mapaka lilale kama la mbwa alafu unamrusha uvunguni huko mwakitanda alie kwa maumivu mpaka asubuhi.

Alafu asubuhi unaliamsha tena unamkanda tena mbaya mbovu unapiga mswaki unamtemea povu la whitedent usoni kisha unasindikiza povu na bonge moja la banzii ualafu unatoka unamfungia milango asitoke nje.

We ngoja...................
Eenhe! Dah! Mkuu; Sasa kama hiyo nyumba sio self; kwa kipondo hicho ataharishia wapi boss?
 
Wazazi wengi mnapokosea mkipishana maugomvi yenu mnahamishia kwa watoto, sasa wewe unataka uwapeleke watoto mbali na mama yao ili iweje? Ingekua ni yeye ndio anataka wewe usiwaone watoto ungefurahia?? Huu ni ubinafsi
Oya tit for tat anayekuona wanini wewe muone wa kazi gani,kwani hao watoto siwamepita kiunoni mwangu
 
Back
Top Bottom