ujoka
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 5,254
- 12,435
Nigga so toxic 😀😀Tena huku wanamkodolea macho kabisa😁.
Nigga so toxic 😀😀Tena huku wanamkodolea macho kabisa😁.
😢😢Nigga so toxic 😀😀
mm joto la jiwe nililionja wanyakyusa jaman ni shida.... Waachaneni waolewe na wanyakyusa wenzao kabila zingine hamuwawezi.Wanawake wa Kinyakyusa ni shida...jirani yangu huku kazi anayo..
Sasa Ai sikuhizi inakosea au binadam ndo anakosea 😂Story nzuri ila ni AI ndio maana makosa kibao
kazini naingia mchana saa 8 na kutoka saa 3 usiku,watoto wote wanasoma ,mkubwa anasoma darasa la 1 huyo mdogo pre unit,mkubwa anatoka shule saa 6,mdogo saa 7 kwahiyo mimi huwa naamka saa 9 asubuhi nafanya mazoezi lisaa limoja, napokaa jirani ana genge kubwa sana napiga simu naletewa vitu navyotaka,kupika napika chakula cha afya,watoto nimewalipia uji na chakula cha mchana,kwahiyo mda wanaorudi wananikuta ndo najiandaa kwenye kazini,mimi mafanya kazi kwenye kampuni kubwa ya mabus hapa Tanzania,huwa mchana ndo niliomba iwe shift yangu.huwa napika nao pia wanakula,jioni kuna mshikaji huwa anawapeleka supu chapati,Sikh nyingine pilau nimeelewekaWatu wanashindwa kuelewa kuna unapika msosi unakula wewe tu [ watoto hawajatajwa] kuna muda anaondoka anarudi usiku ( hali ya watoto vipi nawewe kazi unafanya saa ngapi) humsemeshi wala hujibu chochote ( reaction ya watoto?). Au unasemea watoto gani wewe? Unawajua watoto hata ukiwaona?
Matusi sio Sifa Mkuu, Achana na Matumizi ya VisunguraVisungura vipi sasa we k ya mamayo
Hawana Tofauti na Wahaya, Watu wa Shari shari hiviii...Hivi nyie unawajua hawa wanawake wa kinyakyusa??
Kwanza wanapenda kula mfano hakuna,yani kwao kula wali,tena wakanunua chips
kuku pamoja sio la kushangaa
Hawajui bajeti.
Pili wanapenda kuvaa yani huyu nguo nilizo mnunulia,zinajaa mabegi na mabegi,viatu unafungua office,
Ndani anakila kitu,ila kukopa kwa muha sio poa,kuna muha zaidi ya 6 wanamdai
Tatu hawashauriki,utachoka wewe washamba kila kitu wanataka kuwa juu,wanajiona malaika ,kwao hakuna kasoro
MDA wote wanaongea na simu kukusema na kusema watu mpaka nishajua kinyakyusa
Ni watu wanatafuta ugomvi kwa nguvu
Aya bhana poa mkuu nimependa kusikia hali za viumbe vyetu hivo! pamoja mkuukazini naingia mchana saa 8 na kutoka saa 3 usiku,watoto wote wanasoma ,mkubwa anasoma darasa la 1 huyo mdogo pre unit,mkubwa anatoka shule saa 6,mdogo saa 7 kwahiyo mimi huwa naamka saa 9 asubuhi nafanya mazoezi lisaa limoja, napokaa jirani ana genge kubwa sana napiga simu naletewa vitu navyotaka,kupika napika chakula cha afya,watoto nimewalipia uji na chakula cha mchana,kwahiyo mda wanaorudi wananikuta ndo najiandaa kwenye kazini,mimi mafanya kazi kwenye kampuni kubwa ya mabus hapa Tanzania,huwa mchana ndo niliomba iwe shift yangu.huwa napika nao pia wanakula,jioni kuna mshikaji huwa anawapeleka supu chapati,Sikh nyingine pilau nimeeleweka
AI kuitumia naŵw unatakiwa uwe poa kichwani km hazimo inapita nawewe kadri ulivyokujaSasa Ai sikuhizi inakosea au binadam ndo anakosea 😂