Kiburi chake kinampoza sasa, anaomba poooo

Kiburi chake kinampoza sasa, anaomba poooo

Sasa umeongea mengi ila sijaona wap umetaja watoto ina maana hata watoto wako hutoi pesa ya chakula

Inamaana ata watoto wako huwaudumii

Achana na mambo ya code wekeni mambo yenu sawa na mwenza wako msitake kutesa watoto kwa kuoneshana ubabe na mkeo

Sasa umeongea mengi ila sijaona wap umetaja watoto ina maana hata watoto wako hutoi pesa ya chakula

Inamaana ata watoto wako huwaudumii

Achana na mambo ya code wekeni mambo yenu sawa na mwenza wako msitake kutesa watoto kwa kuoneshana ubabe na mkeo
2.pesa ya kula nikawa simpi ndani nahamka asubuhi nafanya mazoezi,naenda shop nanunua mahitaji yangu yote,napika chakula nachohitaji,tena chenye nguvu,natural hakuna kukaanga mchemsho ukila tu mashine inasimama yenyewe,mwili ukaanza kubadilika.

Watoto wanakula kama kawa
 
Habari za Muda huu waungwana.

Mwaka 2018 niliingia kwenye mahusiano na mwanamke wa kinyakyusa, mwisho wa siku ya kawa ya kupika na kupakua,nimebahatika kupata naye watoto 2 inshaallah.
Kuishi na hawa wanawake wa kinyakyusa inahitaji kujitoa kweli lasivyo utapoteza uwanaume wako ndani ya nyumba,wanajisikia sana,wana viburi,dharau kugombana na watu hasa majirani dakika 5 nyingi kinawaka,wababe kila kitu wanajiona wanajua.
Sasa akaanza kuniletea kiburi,dharau baada ya kupata vipesa vyake vya kazi,hata ndani unyumba hakawa hanipi,nikasikuti nikasema huyu hanijui vyema.
Nikampa principle za Dark code,kama ifuatavyo..

1.nikawa sina mda naye kabisa,unyumba sihitaji,kitandani nikahama nikawa nalala chini kwenye mkeka,yani nikakata mawasiliano kabisa,hata akiumwa sijali,mahitaji sitoi nikasema sihudumii mbwa anayenibwekea.

2.pesa ya kula nikawa simpi ndani nahamka asubuhi nafanya mazoezi,naenda shop nanunua mahitaji yangu yote,napika chakula nachohitaji,tena chenye nguvu,natural hakuna kukaanga mchemsho ukila tu mashine inasimama yenyewe,mwili ukaanza kubadilika.

3.nikampa uhuru wa kujiamulia mambo yako,hata hatoke usiku simwambii kitu,arudi usiku zangu kimya kama sijui kinachoendelea

4.baada ya kuona sina mda naye akaanza kujiona hajazaa,mda wote kwenye kioo anajiremba mara nguo mpya nikasema huyu ni mfa maji haishi kutapatapa,huyu kuna wanaume wanamdanganya kuwa ni mrembo sasa muache adanganywe,yani nikawa sijali afanyalo njee,apigiwe simu, achart zangu kimya nasoma dark code na biblia,sina mda na wanawake yeyote consistency na mazoezi,sina external validation na mpira wala tiktok mda wote nasoma nikiwa nyumbani,hata aongee kipi,apige kelele vipi simjibu chochote.

Sasa kelele zishaanza kwa ndugu zake anaanza kuwapigia simu na kuwaambia, kuwa simjali hata akiumwa sina mda naye,ela ya kula siachi sina mda naye kabisa,nikajua sasa dark code inafanya kazi nimepanga namuacha kimya kimya siku anashangaa nyumbani sirudi,tena sichukui chochote hata nguo zangu,nachukua vitabu vyangu na vyeti vyangu namuachia kila kitu,vitu vinatafutwa ila amani ya moyo ni zaidi ya vitu.

Mimi ni mtu fulani ambaye kila unachofanya najua kucalculate yajayo,hata ukizama shimoni sikushitui naacha karma ukiwajibishe.

Kama utapenda kujifunza dark code za maisha,mahusiano nipo kukufunza
Mkuu,

Unasema unajua sana ku calculate yajayo, lakini mbona umeshindwa kumjua huyu mwanamke unayemsema mbaya sana, ukakaa naye mpaka umezaa naye sasa mnaenda kuwapa tabu watoto kwa ugomvi wenu?

Yani hapo napo unajiona unajua ku calculate yajayo bado?

Unajua ku calcukate yajayo kweli au unajidanganya mwenyewe tu?
 
Mkuu,

Unasema unajua sana ku calculate yajayo, lakini mbona umeshindwa kumjua huyu mwanamke unayemsema mbaya sana, ukakaa naye mpaka umezaa naye sasa mnaenda kuwapa tabu watoto kwa ugomvi wenu?

Yani hapo napo unajiona unajua ku calculate yajayo bado?

Unajua ku calcukate yajayo kweli au unajidanganya mwenyewe tu?
at that point nilikuwa sijamaster dark code,hisia zilikuwa zinaniendesha at that time natumia logic,hisia pembeni
 
Hili ndio dhumuni la mada taja bei kabisa!
THE 15 DARK CODE COMMANDMENTS
01. NEVER LOSE YOURSELF Usijipoteze kwa sababu ya mwanamke. Utambulisho wako, malengo yako na heshima yako vinabaki kuwa vya kwako.
02. TRUST IS EARNED Usimwamini mtu kwa maneno matamu pekee. Uaminifu hujengwa kwa matendo yanayojirudia.
03. NEVER IGNORE RED FLAGS Usipuuze tabia zinazokuumiza kwa sababu tu unampenda mtu.
04. ACTIONS OVER WORDS Maneno yanaweza kudanganya. Matendo ya muda mrefu yanaonyesha tabia halisi ya mtu.
05. NEVER BEG FOR LOVE Usilazimishe mtu akupende, akuheshimu au abaki nawe. Mapenzi ya kweli yanahitaji hiari ya wote wawili.
06. SET YOUR BOUNDARIES Jua unachokubali na usichokubali. Mipaka yako isiwe tishio; iwe mwongozo wa jinsi utakavyoishi.
07. NEVER FINANCE YOUR OWN DESTRUCTION Usiharibu maisha yako ya kifedha ili kuthibitisha mapenzi yako. Saidia kwa uwezo wako, si kwa presha.
08. DO NOT TRY TO FIX EVERYONE Wewe si mwokozi wa kila mtu. Unaweza kusaidia, lakini huwezi kumbadilisha mtu asiyetaka kubadilika.
09. NEVER CONFUSE BEAUTY WITH CHARACTER Muonekano huvutia macho, lakini tabia ndiyo huamua ubora wa uhusiano.
10. CONTROL YOUR EMOTIONS Usifanye maamuzi makubwa ukiwa na hasira, wivu au maumivu. Utulivu ni nguvu.
11. NEVER ABANDON YOUR MISSION Usiache malengo yako, kazi yako na maendeleo yako kwa sababu ya uhusiano.
12. RECIPROCITY IS THE RULE Usiwe mtu pekee anayejitahidi. Uhusiano mzuri unahitaji juhudi, mawasiliano na kujali kutoka pande zote mbili.
13. NEVER TOLERATE REPEATED DISRESPECT Mazungumzo yanaweza kutatua makosa. Lakini tabia ya kuumizana inayojirudia bila kuwajibika inahitaji uamuzi.
14. LEARN TO WALK AWAY Wakati mwingine kuondoka kwa amani ni bora kuliko kubaki mahali ambapo heshima, usalama na utulivu vimepotea.
15. BUILD YOURSELF FIRST Jenga akili yako, afya yako, kipato chako na maisha yako. Usiingie kwenye uhusiano ukitarajia mtu mwingine akukamilishe.
⚫ THE FINAL CODE
No desperation.
No blind trust.
No financial self-destruction.
No begging for affection.
No ignoring repeated disrespect.
No decisions made in anger.
No abandoning your purpose.
No manipulation.
No revenge.
No loss of self-respect.
LOVE WITH YOUR HEART. OBSERVE WITH YOUR MIND. DECIDE WITH LOGIC. LIVE WITH DISCIPLINE.
Your mission is not to defeat women. Your mission is to master yourself.
THE DARK CODE: RESPECT IS MUTUAL. PEACE IS ESSENTIAL. WALK AWAY WHEN NECESSARY.
 
Back
Top Bottom