Hamna wewe! Why Zimbabwe kusiwe na Batter Trade? Embu kosa hizo hela uone kama hutafanya batter trade.Ili stage ya batter trade ifikiwe inabidi kuianza level ya kwenda kununua mkate na kapu la hela.
Watu wa "Mlogolo" wameambiwa watembee vifua mbere kama wana kifaduro.
Hahahaha I hope hiki ulichoandika hakitokani na elimuya darasani. Kama kimetokea darasani kuna wengi kama wewe wamelishwa matango pori na tupo nao uraiani huku wengine wameajiriwa.Hamna wewe! Why Zimbabwe kusiwe na Batter Trade? Embu kosa hizo hela uone kama hutafanya batter trade.
Huna hela, Nipe Unga nikupe Mboga kama hutak baki na unga wako ule ugali mkavu
Batter ❌View attachment 1699729
TRA mtasubiri sana tumeamua mwendo wa mali kwa mali.
Nipe nyama ninyamazeLisemwalo lipo........
Kama halipo........
Litatokea!!
Get prepared.... Stay alert....
Umefundishwa kwa Kiingereza umekremishwa sasa unashindwa kutafsiri. Back in the days before the introduction of money ni nini kilitumika kama means of transaction?Hahahaha I hope hiki ulichoandika hakitokani na elimuya darasani. Kama kimetokea darasani kuna wengi kama wewe wamelishwa matango pori na tupo nao uraiani huku wengine wameajiriwa.
Mimi sijasema wewe kiazi.Umefundishwa kwa Kiingereza umekremishwa sasa unashindwa kutafsiri. Back in the days before the introduction of money ni nini kilitumika kama means of transaction?
And what happened after the introduction of money?
Ukiweza kujibu maswal haya bas utaona nan kiazi?
Anasema anaogopa kukujibu eti atakuaibisha, ni kweli hayo!???Mimi sijasema wewe kiazi.
Nchi ambayo imeestablish taasisi za kifedha na inatumia fedha kama njia ya malipo ikifikia hatua mnarudi kwenye batter trade basi ujue thamani ya pesa ni imefika omega.
Mostly hiyo hua accompanied na nchi kuadopt pesa ya nchi nyingine na kuitumia kama yao mostly hua US dollar.
Deals ambazo Zimbabwe ilizipitia.
Maswali yako hayo mawili wala hayana mantiki katika nilichosema. Kama batter trade ilikua nzuri kiasi hicho kwanini ikabidi chumvi itumike kama currency? Si wangeacha tu batter trade iendelee? Walijua kwamba batter trade siyo kisisimua uchumi wewe unasema ni deal poa.
Watu walidrop batter trade hata kabla yesu hajazaliwa unahisi kwanini?
Naona umehamia kwenye biashara baada ya kampeni yako ya kuleta taharuki ya korona kukwamaView attachment 1699729
TRA mtasubiri sana tumeamua mwendo wa mali kwa mali.
tuNaona umehamia kwenye biashara baada ya kampeni yako ya kuleta taharuki ya korona kukwama
Ni nini tafsiri ya kibonzo cha kipanya? Kwamba thamani ya Tsh. Imeshuka/Inashuka au Hela imekua adimu hadi turudi kwenye barter trade ?Mimi sijasema wewe kiazi.
Nchi ambayo imeestablish taasisi za kifedha na inatumia fedha kama njia ya malipo ikifikia hatua mnarudi kwenye batter trade basi ujue thamani ya pesa ni imefika omega.
Mostly hiyo hua accompanied na nchi kuadopt pesa ya nchi nyingine na kuitumia kama yao mostly hua US dollar.
Deals ambazo Zimbabwe ilizipitia.
Maswali yako hayo mawili wala hayana mantiki katika nilichosema. Kama batter trade ilikua nzuri kiasi hicho kwanini ikabidi chumvi itumike kama currency? Si wangeacha tu batter trade iendelee? Walijua kwamba batter trade siyo kisisimua uchumi wewe unasema ni deal poa.
Watu walidrop batter trade hata kabla yesu hajazaliwa unahisi kwanini?
Kumbe haya maneno-pori yasomwisha kumdomo deileee anaufurumshia mti, siyo mtu!???Mwache dada wa watu hana neno na Mtu
tu
View attachment 1699729
TRA mtasubiri sana tumeamua mwendo wa mali kwa mali.
Bob kwangu mimi hicho kibonzo kimebashiri tunapoelekea hakijamaanisha kwamba ndipo tulipo. Ndiyo maana nikasema hatujafika huko bado kuna stage ya basket money hata hatujaifikia bado.Ni nini tafsiri ya kibonzo cha kipanya? Kwamba thamani ya Tsh. Imeshuka/Inashuka au Hela imekua adimu hadi turudi kwenye barter trade ?
Alaf maswali yangu wewe nijibu, before the introduction of money ni nini kilitumika kama means of transactions? Usilete maneno mengi