Kibonzo cha Kipanya; baada ya pesa kukosekana mtaani watu wameanza batter

Kama kuna mwenye korosho alete magunia kadhaa nimpe njugu mawe
 
Acha ujinga wewe si inflation Tu inayoweza pelekea barter trade system kuexist hata deflation ( uhaba WA pesa kwenye mzunguko ) unaweza kusababisha barter trade ambayo ndio Hali tuliyonayo Kwa sasa kutokana na sera mbovu za serikali kuharibu sekta binafsi na biashara , maana Kwa sasa pesa haipo kwenye mzunguko hivyo watu wanaresort into physical exchange of goods , na hii itasababisha pia kuexist Kwa black market kama ilivyotokea miaka ya 70 huko enzi za sera za kipuuzi za ujamaa
Umekuja kwa hasira na matusi juu? Niambie kama una tatizo lolote linalopelekea uwe na hasira kiasi hichi, nakuahidi nitakusaidia likiwa ndani ya uwezo wangu.
 
Bob kwangu mimi hicho kibonzo kimebashiri tunapoelekea hakijamaanisha kwamba ndipo tulipo. Ndiyo maana nikasema hatujafika huko bado kuna stage ya basket money hata hatujaifikia bado.

Kabla ya pesa kuanza kutumiwa sasa hapa inategemea na eneo. Katika nchi za latini walikua wanatumia mawe ambayo yalikua yakichongwa na kutumiwa kama currency.

Katika maeneo mengine dhahabu ilitumika kama currency. Isipokua chumvi ndiyo ilikua currency yenye nguvu na iliyokubalika maeneo mengi.

So yeah bado nasema kwamba kama ulichoniandikia ni umekitoa darasani basi tuna tatizo.
Mzee kabla hizi pesa tunashika leo kumetokea transition for a long time na kurud hatua moja nyuma itachukua muda mrefu hapa nakubaliana na wewe

Lakini kutoka paper money mpaka barter trade ni ngumu na sababu haisababishwi na inflation kama ilivyo zimbabwe wala haisababishwi na kushuka thamani ya pesa. Moja ya sababu ni kukosekana kwa pesa kabisa yani huna hata senti moja ndo barter trade inaweza kutokea

Kama shule hukuelewa omba ueleweshwe bro sio kulazimisha vitu ambavyo havipo.

Tanzania kulikua na msemo kwamba “vyuma vimekaza” hii ilimaanisha kwamba hela haipo mifukoni mwa watu, bungeni kulikua na mjadala mkubwa kw nini serikali inatumia strategies mbovu kweny kutafuta hela

Hii ilipelekea baadhi ya vtu kupanda bei including sukari. Ndipo serikali ikaingilia kati, otherwise tungekua pabaya sasa hivi
 
Acha ujinga wewe si inflation Tu inayoweza pelekea barter trade system kuexist hata deflation ( uhaba WA pesa kwenye mzunguko ) unaweza kusababisha barter trade ambayo ndio Hali tuliyonayo Kwa sasa kutokana na sera mbovu za serikali kuharibu sekta binafsi na biashara , maana Kwa sasa pesa haipo kwenye mzunguko hivyo watu wanaresort into physical exchange of goods , na hii itasababisha pia kuexist Kwa black market kama ilivyotokea miaka ya 70 huko enzi za sera za kipuuzi za ujamaa
Sure bro, huyu jamaa kakazania uongo
 
Laaaahasha !!! hiyo ndio yenyewe

6C54A62F-A216-4BA1-B513-7E0C5293E6A2.jpeg

Karibuu 😋
 
Kuna Mama mmoja jirani yangu watoto walirudishwa shule tangu last week, ilibidi apeleke mchele, (maana alikuwa nao ndani alikuwa anasubir bei iwe juu ili auze,) huko shuleni badala ya pesa ili watoto waingie class,
Kiukweli hali haijakaa poa
 
Back
Top Bottom