Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,716
- 5,339
Mimi naona huu ugonjwa uliletwa na bei yake simu maana ingekua bei chee kuliko labda Samsung mtu angenunua Samsung aonekane matawi....
KWa hiyo ulikua unataka kutuhabarisha kwamba U got I phone X
Haya wenye ma I phone, mi nnayo itel hata sijui ni toleo gani
I phone its a best brand ever..dunia nzima kwa simu na kwa laptop pia..kampuni au brand inayoweza kushindanishwa kwa product ambao imesatisfy watumiaji kwa ubora ni moja tu tofauti na apple ni Xiaomi ya china..washenzi wana simu la laptops kali haswaaa....apple yenyewe matoleo yajayo wajipange..
Yeah ni kwema sema naona brands zao zipo common kwao tu..ata watumiaji wa izo simu naona ni wao tu..niliishika moja they are very attractive aisee.ni swala la muda tu,hao wachina wamefanya kitu watu wanakitamani miaka mingi sana.
ui kama ios ila Os ni android.
Safi sana we siyo mnafiki.Ni ukweli kwamba iphone ndo simu zina bei mbaya sana, kama nikiona mtu ana iphone najua ametumia hela ndefu kununua hiyo iphone.
So, ninachofanya napiga hesabu za haraka haraka kwamba kama anaweza kutumia 1M+ lazima atakuwa na kipato kizuri sana, kwa sababu ninaamini hawezi kukopa kwenda kununua simu.
Mimi nina tecno w3 ya sh 180,000, siwezi kujilinganisha na mtu wa iphone.
uko sahihi mkuu.Mimi natumia IPhone
Moja ya Faida ya IPhone siazimwi Charger.
Nilihama Samsung kwa kero ya kuazimana charger na team techno
5 plain sio tamu..ukitaka enjoy i phone chukua 6s plus..hutojuta..Matumiz ya iPhone yanatoa taswira kwa mtumiaji kua ni;
-Mbinafsi
- Msiri
- Kibuli
-Dharau kwa wengne
- Mwenye majvuno
- Mwenye kujtenga na watu
- Mchoyo n.k
Nasema hvyo kwa sababu hyo iPhone yenyew ilivyotengenezwa ni kwa muonekano wa taswira ya mtumiaj, iPhone hazina file share au transf na simu za makabila mengne, chaja ni yao tu haziinglian na makabila mengne, kuna iCloud, bei juu.
Nilishatumia iPhone 5 na sitak tena, hTc inatosha kabsa kwangu
Mtu kama mimi kwa internet ya hapa bongo hata uniuzie iphone 50000,sinunui ni kujitesa tuu.

Word!Na kipato kizuri kibongobongo does not mean the person is wealthy. Mtu ana kipato kizuri (high-income generating opportunity), anaweza ''kuafford'' simu ya USD1500 ila hana hata laki tano bank wala investment yoyote ya maana.

hilo jamaa shamba sana, mi nilishalishtukia kitambo sana... linaponda iphone inavyofagiliwa hapa bongo halafu linajitangazia kwamba lina iphone 10. Douchebag!
Huko kwao USA status symbol phone yao ni nini, Motorola?
Status Insanity: Why the iPhone Is the Perfect Status Symbol | HuffPost

Hawa wachina wanajua yaani hapa nauza xiaomi yangu redmi note 4sababu ya njaa tu baasi ila duuh nitamake nitanunua.tu ingineYeah ni kwema sema naona brands zao zipo common kwao tu..ata watumiaji wa izo simu naona ni wao tu..niliishika moja they are very attractive aisee.