Kibongo bongo iPhone ni taashira ya hadhi au?

Me nafikiria hapaa ilee pesaa ya Bodi ya mikopo nipate kaiphone 6+ flani hiviii yanii..!! nkirudi kitaa mambo magumu nshamaliza chuo nauza napata mtaji...
 
Gari ndio heshima, tangia ninunue yangu nacharaza tu mademu wakali wa IFM na wa maofisini naowapa lift
 
iPhone iko juu ndio ni simu ya gharama pia lakini kuna hii brand inaitwa xiaomi ni moto wakuotea mbali nafikiri wanaozitumia watakua wanajua nazungumzia nini brand hii kwa miaka ijayo sjui itakuaje maana sio kwa dhambi wanazofanya
 
Ni noma hizo simu kaka ni very attractive ni kali nlikua kwenye kikao na mchina mmoja ndio alikua anaitumia aisee ni noma sana ilibidi niingie youtube kusafisha macho.
 
Mi nna jamaa yetu mmoja mtu wa mizinga tunaishi nae ghetto kanunua iPhone ni lakn mizinga ni balaa na hana kitu
 
kaka nakwambia ni matatzo tafuta moja kama bdo hujapata hutojutia nakwambia mm ndo device zng hz nshaacha kutumia simu za mfanano hz mnakuanazo wachache sana na ni simu nzuri sana
 
Haa ha ha...!! Huwa wanaunga sanaa mpaka kuinunua yani...madeni kibao mtu unakuta anayo...
 
Tecno inanitosha wala sitamani iPhone wala nn

Sema huna hela. Acha maneno mengi. Tecno ni low class phone zinatumiwa na wanafunzi. Kuuliza hivi ni sawa na kusema kupanda business class kwenye ndege ni ishara ya mafanikio? Kisa hata aliye economy class wote mnafika mnakokwenda. Think outside the box. Acheni mawazo ya kimasikini.
 
Mi situmii iphone.
Sent from my IPHONE X Nimeinunua pale karume kwa wauza mataulo.
 
Ha ha ha ... kila mtu anamiliki anachoweza....wa mbili havai moja, na wamoja havai mbili...majungu meeengi wengine hata kuigusa tu huyo iphone hawajawahi...

Pambana upate unachotaka, usipambane na aniepata!
 
kaka nakwambia ni matatzo tafuta moja kama bdo hujapata hutojutia nakwambia mm ndo device zng hz nshaacha kutumia simu za mfanano hz mnakuanazo wachache sana na ni simu nzuri sana
Itabidi nikiamua kubadilisha niingie huko tu kaka..
 
Ha ha ha ... kila mtu anamiliki anachoweza....wa mbili havai moja, na wamoja havai mbili...majungu meeengi wengine hata kuigusa tu huyo iphone hawajawahi...

Pambana upate unachotaka, usipambane na aniepata!

watu wapambane ili wanunue iphone duh.
 
IPHONE NI SIMU DUNIANI INAPWENDWA NA MATAJIRI NA HUWA HAIPUNGUI BEI KWA MDA BEI YAKE HUWA IKO PALEPALE KWA MDA MREFU NA kwa kawaida bei yake nimenunua dubai ni dollar 1000 lakini ukija tz utakuta zipo bei poa sana kwa sababu wafanya biashara wanazileta feki kutika china
 
Back
Top Bottom