Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,152
- 137,155
Vipi blaza umeamkaje leo?Kwenye huu uzi nilizungumzia mambo ya sim-free unlocked GSM compatible cellphones.
Nilikuwa najua nilichokuwa nakizungumzia, hususan kuhusiana na sisi ‘frequent international travelers’.
Baadhi ya watu wakawa hawanielewi.
Hahahaaa.....just hahahaaa.
View attachment 672345
RRONDO
Vipi blaza umeamkaje leo?
Mhhh kwny suala la picha za simu iphone is the ultimate naonaSio kweli labda kama haujatumia microsoft na nokia na mpaka kesho 41 mp ya 1021 ya nokia ipo mstari wa mbele kwenye camera sipondei napenda sana iphone ni second choice yangu baada ya nokia tena saivi nokia wametoa kitu kipya hatari tafuta microsoft 950xl uone muujiza
Chips kuku VUMBI....
ni kuulize kitu maana kama una element za kiswahili vileNianze na fasili kwanza maana wengi wenu nyie 'millennials' hamjui lugha. Iwe Kiswahili au Kiingereza, hamko vizuri kivile. Ni wababaishaji tu😀.
Taashira maana yake ni ishara/ au dalili. Naamini mnajua maana ya ishara na dalili.
Sasa kuna jambo nimeliona ambalo ningependa kusikia maoni ya wengine kulihusu.
Hivi hapa bongo iPhone ni ishara ya hadhi [ya juu]? Nauliza hivyo kwa sababu nimeshapigwa sana mizinga ya 'Ngabu naomba niletee iPhone basi...hata kama ni iPhone 5 au iPhone SE'.
Kwa nini iPhone kwa sana na si Samsung, LG, Motorola, au zinginezo?
View attachment 632283
Chips kuku VUMBI....
Ha ha ha ha nakuona na Kisura hapo pembeni.....Lemon chicken ya Wapemba hiyo mazee...pande za Africana.
View attachment 672356
View attachment 672361
Ha ha ha ha nakuona na Kisura hapo pembeni.....
Ha ha ha ha Mama yake ndio yule alikufundisha FOREX?!Hahaaaa wewe huyo siyo mimi!
Kisura ni .5 na ni kisura kweli kweli. Mwulize Miss....atakwambia hahaaa.
Ha ha ha ha Mama yake ndio yule alikufundisha FOREX?!
Nimekupata....u have a thing for white chicks?!Hapana. Aliyenifundisha Forex ni ‘auntie’ yake....if you get my drift!
Nimekupata....u have a thing for white chicks?!
Same.I have a thing for women, period. I love women. Color, creed, ethnicity, race, religion, or national origin don’t matter to me.
I don’t discriminate. I just regulate.
‘Auntie’ wa Kisura ni African-American.
Hilo ni swali nimekuwa nikijiuliza pia. Mimi nilishaamua kuwa na kitochi changu cha techno, na iPhone yangu huitumia tu pale ninapohitaji huduma kama UBA etc. Yaani na hivi wachina ni mabingwa wa kufoji, basi bongo ni kama hadhi.Nianze na fasili kwanza maana wengi wenu nyie 'millennials' hamjui lugha. Iwe Kiswahili au Kiingereza, hamko vizuri kivile. Ni wababaishaji tu😀.
Taashira maana yake ni ishara/ au dalili. Naamini mnajua maana ya ishara na dalili.
Sasa kuna jambo nimeliona ambalo ningependa kusikia maoni ya wengine kulihusu.
Hivi hapa bongo iPhone ni ishara ya hadhi [ya juu]? Nauliza hivyo kwa sababu nimeshapigwa sana mizinga ya 'Ngabu naomba niletee iPhone basi...hata kama ni iPhone 5 au iPhone SE'.
Kwa nini iPhone kwa sana na si Samsung, LG, Motorola, au zinginezo?
View attachment 632283