Kibongo bongo iPhone ni taashira ya hadhi au?

Kibongo bongo iPhone ni taashira ya hadhi au?

Ivi I phone zipo za dual simcard au single simcard tu?
 
Kama mie nokia kesha niteka kabisa na ile camera ya carl zesis yaani sio ile yenye window au android kama ina camera ya carl basi mie roho yangu inapoa kabisa

Haha siipati hiyo, japo mimi naoendaga sana vitu complex kama zilivyo lumia japo sijawahi miliki
 
Haha siipati hiyo, japo mimi naoendaga sana vitu complex kama zilivyo lumia japo sijawahi miliki
2e846a7262dd0adb76c1b0169d00d727.jpg
hiyo picha nilipiga mwenye ila watu nikiwaambia wanakataa katu nokia 830 10mp picha ina 8mp
 
Hiyo brand gani ulichukulia hiyo picha iko vizuri sema watu hawajui kama ukitoa apple au samsung kuna vingine

Ni iphone 5s na ni 8mp tuu

Tecno wamewarahisishia, mtu akiona simu ina 20mp na 4gb RAM afu likioo likubwa kama mkebe anachachawa kisa bei ni chee lkn majority ya hizo simu uoshia kustack na kuharibika mapema sana nimeshuhudia nyingi zikiwaharibikia watu
 
I phone ndio simu bora duniani..haina matatizo,huwezi sikia software imezingua kama samsung,battery ni last long hata kama haikai na charge sana ila haiwezi kukugomea hadi ukaamua kubadilisha battery..ukitumia ina raha..haina complication..camera haina manjonjo ya setting sbb ni pure..kimsingi kwenye ile simu mzungu kajipanga..nimetumia brand zote..saiv natumia lg v30 lakini naiwaza i phone 6 yangu na kujuta kwann niliuza nikachukua uchafu huu..
 
Ni iphone 5s na ni 8mp tuu

Tecno wamewarahisishia, mtu akiona simu ina 20mp na 4gb RAM afu likioo likubwa kama mkebe anachachawa kisa bei ni chee lkn majority ya hizo simu uoshia kustack na kuharibika mapema sana nimeshuhudia nyingi zikiwaharibikia watu
Tecno hiyo simu ina mauza uza hadi raha mie huwa huwa naangalia quality over quantity
 
Huijui iphone wewe naona...
Sio kweli labda kama haujatumia microsoft na nokia na mpaka kesho 41 mp ya 1021 ya nokia ipo mstari wa mbele kwenye camera sipondei napenda sana iphone ni second choice yangu baada ya nokia tena saivi nokia wametoa kitu kipya hatari tafuta microsoft 950xl uone muujiza
 
So, ninachofanya napiga hesabu za haraka haraka kwamba kama anaweza kutumia 1M+ lazima atakuwa na kipato kizuri sana..

Na kipato kizuri kibongobongo does not mean the person is wealthy. Mtu ana kipato kizuri (high-income generating opportunity), anaweza ''kuafford'' simu ya USD1500 ila hana hata laki tano bank wala investment yoyote ya maana.
 
Yeah that's true
 
Back
Top Bottom