Mimi sijaona kwamba IQ yako ni ndogo,ila ukiwa kama mwanaume,achana na dhana kwamba iphone inakupa status yoyote.labda kama uko below 18yrs.hii ni simu tu,itabaki kuwa hivyo,unaweza toa ktk daladala iphone x,demu uliekaa naye pembeni akatoa x na note 8 wakati huo huo.
Ndio maana wabishi wameenda mbali zaidi,wao wana satelite phone za milii 15 na zaidi.
Ndio status za watu wabishi sasa.lengo ubeze afu umnyodoe.kumbe anatembea na gari kiunoni.Hilo satphone umtishie nalo nan watu watajua n radio call au watasema jama ana act series ya narcos au Mambo ya ugaidi kitu apple kwisha habari
Ndio status za watu wabishi sasa.lengo ubeze afu umnyodoe.kumbe anatembea na gari kiunoni.
Mbona zipo IPhone za laki Tatu iPhone 5vitumia hata robo kwa nini usiwe na simu ya laki 2/3 tuu inatosha.
Hatuko kwenye wavelengths sawa.
Mimi nazungumzia uzoefu wa Sprint na Verizon wao wanazungumzia sijui mavitu gani huko.
Haki ya mungu kama AT&T wanagawa simu bur
Europe competition ya kuuza simu ni cut throat,providers wako tayari wakupe bure lakini wakukamate kwenye long term contractHatuko kwenye wavelengths sawa.
Mimi nazungumzia uzoefu wa Sprint na Verizon wao wanazungumzia sijui mavitu gani huko.
Haki ya mungu kama AT&T wanagawa simu bure mbona ningekuwa nnazo hata 100....
Kwanini iPhone 5 na siyo 8?Mbona zipo IPhone za laki Tatu iPhone 5
Unaona sasa...
Hakuna carrier atakayekupa simu iliyo sim-free na iliyo unlocked.
Eti kwamba we Ngabu chukua hii iPhone X isiyo na sim, isiyo locked, na inayoweza kutumika popote duniani kwa carrier yoyote yule kwa sababu tu nina FaICO score ya 730.
Hakuna kitu kama hicho.
Ukitaka simu iliyo sim-free...unlocked na iliyo compatible na mitandao mingi ya kimataifa ni lazima ulipe tu toka mfukoni.
Carrier wako nani?
Tz ni serikali pekee yenye uwezo wa kununua gari jipya.IST au .? Mana mliozoea gar usede halafu za mwaka 2004 na 1998 mnajionaga na nyie watu kumbe wala moshi wa magari yaliofutwa ulimwengu wa 1
Europe competition ya kuuza simu ni cut throat,providers wako tayari wakupe bure lakini wakukamate kwenye long term contract
kilichokushangaza ?....acheni ulimbuken...everybody has his own priorities...for the time being boss wenu amefocus kwene kuwatumikisha ninyi(na hii ndio priority yake ya kwanza) ili azid kuzidisha hayo mahela uliyosema na sio kitu kingine...next time usishangae learn somwthing ne out of it...ila kama unaona haifai ho get a kitoch and you will be a billionaire like him....nilishangaa kumuona boss wangu mchina,pamoja na utajiri wa karibia tirion 5 za kitanzania anazomiliki lakini anatumia nokia ile ya tochi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Lembululaz....lechokoooozToka unabeba box na Le Akili kubwa Kingi of all sosho netweks af akawakimbia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wewe utakuwa na shida sana na mama mkwe wakoMpaka leo una mashamba mangapi we kama ni ME nyie ndio kila saa uko na mkeo mama mama mama kila muda we na mama tuuuu
Mkuu kisu cha ngariba umegusa penyewe. Mimi mwenyewe napambana na hali yangu nataka nimiliki nokia 9. Tena kuanzia mimi, my wife, my uncle, mke wake, watoto wake yaani nikiagiza naagiza kama 8 hivi. Napenda sana nokia tangu six buttonKutumia simu sio mafanikio, kila mmoja ana chaguo lake. Wako wanaopenda iphone, wako wanaopenda Samsung na wako wanaopenda Nokia kama Chief Mkwawa.
Sie na vitecno vyetu ngoja tupite kimyakimya...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] “USA baeby” ngoja waje team nanhii watatema povu lote la wikiend wana moto mbaya ukitaja iPhone. Na twaisubiria kwa Hamu iPhone x
Ishu ni iphone yenye logo na ios os.kama anaweza kutoa laki tatu kwa simu pekee,mtoe ktk kundi la masikini.anaweza kuacha mengine akanunua hiyo 8s kama kaamua kuwa nayo.Kwanini iPhone 5 na siyo 8?
Ishu ni iphone yenye logo
Kajisahau kuwa hayupo bongo yupo mambefele[emoji23] [emoji23]Mkuu uliposema “Hivi hapa bongo Iphone ni ishara ya hadhi ya juu?” Una maanisha nini na neno ‘hapa’ ili hali unadai hauko hapa nchini? Au una maana (hapa=Jamiiforums) naweza sema hapana kwani wanaokuomba uwaletee si wanajamiiforums