Kibelaa

for your i....moshi na arusha nimekanyaga kwa siku ya jana na leo...kesho narudi TZ!..
Sasa kilichokufanya ukanyage kimyakimya nini?
Kwani unadhani sisi si maafande tutawakamata wana JF?
 
Hahahaaa ina maana unataka kusema umefall in Love na sehemeji yako?
Mke wa mtu....tena mke wa kaka yako Nitty....Lol Huna hata aibu mla kitu ya Moshi....[The Dog]

Ivi kumbe huyu ni shem eeeh?nitty nae kakaa mbali sana acha wadogo zake tumsaidie...bo!
 
Hahahaaaa huwezi dogo...Haya mambo yana wenyewe...high level ngoja tukutafutie sidanganyitiki mwenzio....
Au hujauona ule wimbo wa Temba na kale kadogo kalikoimba naenda kusema kwa mama...kusemaa kwa mamaaaaa?
Ndo wewe unataka vya wakubwa.....utaumia
 
braza jiangalie...unakumbuka niliitikisa ndoa yako???Amy mpaka leo ananiogopa!..
 
Ndoa yangu huiwezi kijana.....kwanza usilete jeuri uko nchini kwetu......tutakudeal hadi ushangae....
Amy nampenda sana na ananienda sana na hivyo tunapendana kuliko unavyoipenda JF
Mie bado kumsamehe mpaka anambie kwanini alivyoenda nchi zote aliweka matangazo humu afu kwenye nchi yetu kaingia kimya kimya...ana agenda gani huyu?
 
Hahahaaaaaa SL hujui huku ni half London?
Dogo alipofika akadata hata JF hakuikumbuka tena
Lol
Unacheza na Ar na MS?
 
Hahahahahaaa! Sipati picha alivyokuwa anashanga shangaa wazungu pale goliondoi road na jambo makuti....lol
 
Hahaaaaa kwanza unaweza kuta kesho akaahirisha kuondoka....
Sijui yuko kwenye mbio za Mwenge....
 
Hahahahahaha! Hapa sasa sikubali manake una mpango wa kuntengua mbavu zangu lol. Eti mbio za mwenge khaaa...
 
Teh Teh nakumbuka mwaka jana namimi nilikuwa na mbio kama zake na nahisi nilimzidi sana coz ilinichukua kama miezi 7 kumaliza mbio zango....Lol Nilikoma na sitaki tena kukimbiza mwenge hata kidogo.....
Hapo najua atakuwa kachoka sana.....
 
Hahahahahahaaaa! Kama namuona vile lol. Akimaliza mbio lazima akome kama wewe ulivyokoma... Erick sikuwezi...
 
Aaah SL Tz ni kubwa san aiseee lol
Hivi Kaby yuko wapi leo sijamuona kabisa.....Au ndo ugonjwa umezidi?
 
Ndoa yangu huiwezi kijana.....kwanza usilete jeuri uko nchini kwetu......tutakudeal hadi ushangae....
Amy nampenda sana na ananienda sana na hivyo tunapendana kuliko unavyoipenda JF

Hivi nyie huwa hamna stori nyingine zaidi ya kuzungumzia mapenzi yenu tu???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom