Kibelaa

Aaah SL Tz ni kubwa san aiseee lol
Hivi Kaby yuko wapi leo sijamuona kabisa.....Au ndo ugonjwa umezidi?
Amechanganya na kudeka bana, kuna mda nilimpelekea juice akanambia keshapata dawa hivyo tutegemee habari njema mda wowote!.. Mpigie.
 
Amechanganya na kudeka bana, kuna mda nilimpelekea juice akanambia keshapata dawa hivyo tutegemee habari njema mda wowote!.. Mpigie.
Hapatikani aisee na nina namba moja...Nitumie nyingine basi nimcheckl faster
 
Nyingine aitoe wapi? Huwa ana hiyo hiyo moja... Atakuwa kalala, hana ujanja Erick, chezeiya ugonjwa weye!
Dah pouwa SL.....ngoja natoka kidogo nataka nimalizie hii match then i will be back madame km ntakukuta....
 
Bagah alivyochoka sahizi keshalala, asubuhi mwenge unaelekea njiro kwa msola nae ndie mkimbizaji..
Hahahaaaa
Mwenge huo mwengeee.....mbio mbio....mwenge tunaukimbiza....mbiombio....hadi makao makuu....mbiombio.....Lol
 
Hivi nyie huwa hamna stori nyingine zaidi ya kuzungumzia mapenzi yenu tu???

Kilawalawa! That's a real lav bhanaa!
Ungependa wazungumzie nini mida miswit kama hii ?
Wadiscus Katiba mpya ?
Election Alumelu ?
Acha wajinafass banaa!
Au ungependa wawe wahanga kama mie ?
 
Kilawalawa! That's a real lav bhanaa!
Ungependa wazungumzie nini mida miswit kama hii ?
Wadiscus Katiba mpya ?
Election Alumelu ?
Acha wajinafass banaa!
Au ungependa wawe wahanga kama mie ?[
/QUOTE]

uyo ndo braza Jay sasa!...habari ngaji rafiki!.
 
Kilawalawa! That's a real lav bhanaa!
Ungependa wazungumzie nini mida miswit kama hii ?
Wadiscus Katiba mpya ?
Election Alumelu ?
Acha wajinafass banaa!
Au ungependa wawe wahanga kama mie ?
Dah huyu Kipipi sijui ana matatizo gani maana sijamuelewa kabisa....
Mpotezee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom