Kibelaa

kwa tetesi nilizozisikia ni kuwa Mtengenezaji wa hili tangazo ni kibonde. je kuna ukweli? hebu tujuze kibelaaa!

Hata me sijui labda unisaidie wewe Kibelaaa! alikulipa shing' ngapi kukurekodi?
 
kumbe majibu unayo...alaaa!
Naandamana walah tena, haiwezekani utusingizie tunakula mbwa, ndio kusema mbuzi zimeisha mgombani au?

Ukitoka huko waelekea wapi? Uliahidi kuja kutusalimu na Erick au umeghairi? Ahadi ni deni ati!
 
erick haeleweki mara aniambie nikifika sijui wap nimwambie...kiufupi nyie watu mnaishi mkoa gani??
mbuzi wameisha mama...siku hizi mwendo wa mbwa mchemsho na mishkaki yake...utafraiii!..kesho narudi TANZANI-DAR
 
Hahahaha! Hiyo ya kula mbwa ni kali... Sie tuko huku kwa Lema bana, sikujua kumbe E hapendi wageni eeh?
 
Wageni nawapenda sana ila dogo hakunielewa....ila namkaribisha sana huku kwa wajanja......
Ila ajiandae kula ile kitu inayolinda nyumba maana huku ndo kwenyewe
 
Naandamana walah tena, haiwezekani utusingizie tunakula mbwa, ndio kusema mbuzi zimeisha mgombani au?

Ukitoka huko waelekea wapi? Uliahidi kuja kutusalimu na Erick au umeghairi? Ahadi ni deni ati!
Mwambie aache maajabu....
Kwanza nitamshangaa sana km hatapita huku maana atakuwa hajafaidi safari yake....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom