Kibelaa

Mwenyewe kila kukicha na mabegi mara mwanza, mbeya, shinyanga, utaacha kunikosa jamani?.. Sahivi umeweka kituo wapi?

hahahahhhaaaa...acha basi kunichana live sio fresh Shem!..
niko kwa wala mbwa wapyaaa!..unawajua,?
 
Naendelea vizuri kiasi though hamu ya kula ni yakutafuta sana..... hapa nimemeliza lita moja na nusu ya maji tayari
Bado nipo kwenye maombi so tegemea kurecover soon,

ndio kawaida ya malaria huwa inaondoa apetite yote ila vile unakunywa maji kwa wingi hakuna tatizo!

Jitahidi ukule na matunda pia, vipi yale nilokuletea jana yameisha?
 
Nidokeze hao wapya sijawajua! Nawajua wale wenye hasira za kujitundika tu shem.

ni nomaaa!..naogopa hata ww inakuhusu!..hukuona ile nyuzi yangu nilioleta juzi ikiwa napicha ya mbwa aliekamwatwa kwa wale watu wanaojua kusaka hela!..
 
Bado nipo kwenye maombi so tegemea kurecover soon,

ndio kawaida ya malaria huwa inaondoa apetite yote ila vile unakunywa maji kwa wingi hakuna tatizo!

Jitahidi ukule na matunda pia, vipi yale nilokuletea jana yameisha?

Ahsante sana kwa kujali kwako..... Kwa imani ninapokea hayo MAtunda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom