Mkuu Hamshahamsha hazikuwepo Ila amshaamsha zilikuwepo, saana tu!Kwa nini kipindi cha lile lisanamu la Chato hakukukuwa na hizi hamsha hamsha
Hawa ni wanafiki kwani hata jaji Warioba alipomaliza kuwakilisha rasimu ya Katiba mpya bungeni, wengi wa wabunge wa CCM walimpogeza Mimi nikiwa naangalia luninga yangu; wanafiki tu tena wanasahau wameajiriwa na wananchi ambao ndio wanaotaka katiba ya uajibikaji.Lipo kundi jingine la watu ambao wanaonekana kupinga suala la katiba mpya hadharani lakini deep down inside wanaitaka.
Baada yakifo cha bichwa, CCM imeamua kidogo ilegeze isikie Watanzania wenye akili niwengi au bado wachache.Kwa nini kipindi cha lile lisanamu la Chato hakukukuwa na hizi hamsha hamsha
Kiswahili kimekuwa kigumu kiasi hiki?Je, wanaotaka katiba mpya hawana maslahi yao binafsi na kinyume chake?
Anachoongea Peter Kibatala leo na wanachoongea Chadema ni vitu viwili tofauti, Kibatala anaongelea kumalizia mchakato wa Katiba pendekezwa lakini Chadema hawaongelei kumalizia mchakato. Kwa wajibu wa Mheshimiwa Mbowe "tunamtaka Rais aunde tume ya Katiba..." tume ambayo kisheria ilishamaliza muda wake, kilichosalia ni huo mchakato wa kutangazwa gazeti ni na Tume ya Uchaguzi kusimamia mchakato wa kura ya maoni. Maana yake Katiba Mpya ipo katika mhutasari wa KATIBA PENDEKEZWA Kilichosalia ni mchakato wa kuipitisha au kuikataa.Wakili msomi bwana Peter Kibatala leo katika power breakfast ya clouds FM amefunguka kisomi kuhusiana na katiba mpya.
"Katiba mpya ni hitajio la watanzania wengi. Wanaopinga, ni kwa sababu tu ya maslahi binafsi yatokanayo na katiba iliyopo." -- amesisitiza wakili huyo.
Hoja hupingwa kwa hoja. Barikiwa sana wakili msomi.
Baada yakifo cha bichwa ,ccm imeamua kidogo ilegeze isikie watanzania wenye akili niwengi au bado wachache..
Yarudi au yasifudi kinachoangaliwa hapa ni utawala wakisheria sio kizungumkuti.Kwahiyo kuanzia 2025 mambo yanarudi kulekule kwa mnyampara wa barabara
Hakuna binadamu wa ovyo kama Wabunge wa Tanzania. Wakiwa bungeni wanapitisha mambo ya ovyo ovyo utadhani watakuwa Wabunge daima. Wakitoka wao ndo miongoni mwa waathirika wa hizo sheria. Juzi Ndugai anashangaa sheria ya kutaifisha mifugo ilipitishwa yeye akiwa amelala au amezimia?Hawa ni wanafiki kwani hata jaji Warioba alipomaliza kuwakilisha rasimu ya Katiba mpya bungeni, wengi wa wabunge wa CCM walimpogeza Mimi nikiwa naangalia luninga yangu; wanafiki tu tena wanasahau wameajiriwa na wananchi ambao ndio wanaotaka katiba ya uajibikaji.
Wanao taka katiba mpya wana maslahi binafsi? ulisha isoma rasimu ya katiba mpya lakini,nani waliipitisha,na ni kina nani wanaikataa majibu yako wazi ni CCM sasa hawa tuwaiteje?Ata wanao taka katiba mpya ni maslahi binafsi
Hakuna asie na maslahi binafsi kwenye kila jambo, kaa hapo ufikiri kuwa wanafanya kwa ajili ya nchi ahahaa!Wanao taka katiba mpya wana maslahi binafsi? ulisha isoma rasimu ya katiba mpya lakini,nani waliipitisha,na ni kina nani wanaikataa majibu yako wazi ni CCM sasa hawa tuwaiteje?
Hujielewi. Report ya Tume ya katiba ya Warioba, ilisemaje?Je, wanaotaka katiba mpya hawana maslahi yao binafsi na kinyume chake?
Ukiwa mjinga unaweza kusema hivyo. Lakini kama una akili japo kidogo, huwezi kusema hivyo, maana utakuwa ulisikia wananchi walisema nini kuhusiana na katiba yetu ya sasa na hitajio la katiba mpya, kupitia report ya Tume ya katiba ya Jaji Warioba.the same can be said kwa wanaoililia