Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Maranya we kumbe KILAZA kabisa nilikuwa nadhani una timamu kumbe haim kabisa,yani kweli unashindwa kutambua kwamba kiongozi ambaye ameshindwa kulea na kuitunza familia yake hana uwezo wa kuingoza nchi?,hivi na hili ni jambo ambalo linakutaka kuwa na Masters moja au mbili kulifahamu?!,hebu nenda kwenye Biblia angalia hata maandiko matkifu yanvyosema juu ya mtu kama Dr.Slaa,hivi umeshinda kusimamia na kuiendesha na kuiongoza nyumba yenye watu watano,utaweza nchi yenye zaidi ya watu milioni 45?.
Hata lile ombi lako la Asubuhi kamba niendelee kukuheshimu naachana nalo moja kwa moja kwa sababu nimegundua wewe ni 'Kimburu',unachojua ni kula tu lakini kutafuta wala kuwinda hujui unsubiri wenzako wakutengenezee ndio wewe ufike na kubugia mwisho wa siku ndiyo hivyo tena unakula kisha unambiwa unatkiwa kulipa na mlipo yenyewe unachaguliwa namna y kulipa!
Sitaki kufikishana mbali sana na wewe lakini wito wangu kwako ni kwamba jifunze kukubali kukosolewa,hakuna mtu asiyempenda Slaa,lakini ili tumfanye akubalike na kuonekan ni kiongozi mzuri tumshauri na kumueleza madhambi yake ayajue.
Kwani mkuu wewe huujui ule msemo wa kule uswazi kwamba tumbo linaponza makalio? Wewe ukiambiwa kula kaka umeshalipiwa, utakubali! Au?haya ndo yale anayayaongelea kibanda kwani viongozi na pro CDM mnakera sana pale ukweli ukisemwa juu yenu kwanini kama kweli mnajiamini mnapenda kusifiwa kila siku? kukosolewa na kuambiwa uwezo wa adui yako ni njia moja wapo ya kuweza kujipanga kwaajili ya mapambano,au ndo yale mkishapigwa chini 2015 mrudi na kutuambia wamechakachua? jua uwezo wa adui yako.So mlitaka aandike Kinana ni kilaza then mfurahi na kusherekea kutumia ruzuku hiyo ni challenge mnatakiwa mlifanyie kazi.kwa hili Big up Kibanda.
Nilichokuwa nataka ni kuthibitisha kama kweli niliyoelezwa kwamba wewe ni kichaa ni sahihi sasa nimethibitisha kwamba kweli wewe ni chizi kolea!!!,angalia thread zako zote za leo tangu nimekugusa ulipoanza kuchanganyikiwa halafu uone kati yangu na wewe nani ambaye anataka ajue kama mwenzake ni rijali?,umesema mimi sio rijali,mana yake ni kwamba ulishawahi nipa nikashindwa kitu ambacho natka niuthibitishie umma kwamba si kweli,ila kama unataka kuthibitisha kwamba niko fiti tena zaidi ya sana,niambie nikukute wapi ili ule dozi ya kufa mtu kama ile aliyokuwa anaizungumzia Bujibuji>
Lakini ukumbuke kwamba wakati huo mamlaka ya utawala hayakuwa mikononi mwake. Alikuwa anapokea tu instructions kutoka kwa walio juu yake wakati huo akina Makamba. what can you expect out of Makamba. Ninachojaribu kueleza hapa ni ule uzoefu wa kukabiliana na changamoto na misukosuko ya kisiasa akiwa kama kampeni manager. Ni wazi yeye akiwa ndiyo mshika usukani atakuwa na nafasi nzuri zaidi maana anajua ni wapi huwa kuna loophole katika uchaguzi na atatoa maagizo, tofauti na mwanzoni alipokuwa anaagizwa.
Yaani kiongozi wa kitaifa ambaye watanzania wanamtegemea kuwa rais katelekeza familia mke wake pamoja na watoto na kesi ipo mahakamani unataka kutufunga mdomo tusijadili uadilifu wa kiongozi wa taifa kisa wewe umesema ni aibu.
Watu hawajamsingizia Dr Slaa yote kayafanya nyie Pro-Chadema JF ndio mnatakiwa mkae na Dr Slaa na mwambieni ni kitendo cha aibu alichokifanya kiongozi ni kioo cha jamii.
Hakuna aibu kumjadili kiongozi ambaye hana maadili.
Anachokifanya Kibanda kina baraka zote za mmiliki wa TD ambaye yeye aliishasema pale Kizota kuwa JK ni kiongozi safi. Kwa maana nyingine TD imeishavuta mkwanja wake na ile kazi ya kuikosoa ccm haipo tena. Mbowe yupo kibiashara zaidi..!
WOWOWO,
Historia katika siasa zetu ni jambo la muhimu sana. Naona unajidanganya na upepo wa mwaka 2010 uliowapitia Chadema wakapata viti vya ubunge 23 vinawapa upofu mnajisahau mnadhani Chadema mnakubalika kila kona ya nchi yeyote atakayewakosoa lazima hatakuwa mpinzani wa Chadema.
Kaka gazeti ni la Mbowe siku chache nyuma lilikuwa linaiponda ccm na kufagilia cdm but now days mambo iko kinyume kabisa. Nashindwa kuelewa why huyo mhariri mpaka saa hizi hajapoteza kibarua chake, kuna dalili tosha kuwa he has Mbowe's back up.Mkuu rudia tena haya maneno manake sijakusikia vyema.
Kama CHADEMA na mashabiki wanataka kupima kina cha maji kwa sababu tu ya ulevi wa fikra, basi wanao uhuru wa kufanya hivyo. Tusubiri fainali 2015. Huko ndiko tuendako.
Ukitaka kujua kama Kinana ni kimbunga yeye ndio alifanikisha ushindi wa kishindo kwa CCM kuanzia mwaka 1995, 2000, 2005, 2010.
Kama aliweza kuratibu na kupanga ushindi wa CCM hakiwa amekabidhiwa dhamana ya muda mfupi ya kuongoza kamati ya taifa ya kampeni za chama hicho.
Tutalajie nini akipanga mikakati na kusimamia mwenyewe utekelezaji wa mipango ya chama kama Katibu Mkuu.
Hapo ndipo unatakiwa umsome vizuri Kibanda.
Kaka gazeti ni la Mbowe siku chache nyuma lilikuwa linaiponda ccm na kufagilia cdm but now days mambo iko kinyume kabisa. Nashindwa kuelewa why huyo mhariri mpaka saa hizi hajapoteza kibarua chake, kuna dalili tosha kuwa he has Mbowe's back up.
Chizi ni nani kati yangu ama wewe unayefuatilia nyendo za dada yako na mama yako, hata aibu huna unamfuatilia hata mama yako, ukimfuma na dume unakwenda kuripoti kwa baba yako sio? hiyo ni nini kama sio uchizi?
Mwanaume rijali anatafuta wanawake, lakini ukiona mtu anajibaraguza kwamba yeye rijali halafu anatafuta wanaume basi ni dhahiri kwamba urijali wake umeshift position, unakuwa umehamia kwenye masaburi, na ndicho kitu unachotutangazia hapa, hata huoni aibu? bahati yako tuko Tanzania, ungekuwa Uganda kwa comments hizi za leo lazima ungeswekwa ndani kwa kuendekeza ushoga.