- Thread starter
- #141
mimi nilisha toa maelezo yangu juu ya Ludovick na mahusiano na slaa na chadema kwa ujumla.Slaa alikuwa anafanya kazi kwa ukaribu sana na Ludovick ushahidi ninao
Mtela Mwampamba,
Dr Slaa amenitaka nitoe ushahidi wa kuthibitisha kuwa Ludovick alikuwa mfanyakazi (kwa maana ya kuwa na mkataba wa ajira) wa CHADEMA makao makuu, yeye ana sisitiza alikuwa volunteer.
Hat kama ni kweli alikuwa volunteer, lakini kijana Ludovick alikuwa akitumikia kurugenzi nyeti pale CHADEMA makao makuu, ukilichukua hili tu na ku-connect dots kwenye tukio alilofanyiwa Kibanda, sidhani kama kutakuwa na shaka kuhusika kwa CHADEMA kwenye tukio husika.
Last edited by a moderator: