Kibanda azidi kufunguka, CHADEMA kikaangoni

Kibanda azidi kufunguka, CHADEMA kikaangoni

HAMY-D acha kujifunga pazia jeusi la ushabiki wa siasa. Umiza akili yako japo kidogo ili uuone ukweli ndani ya giza la uovu wa Mwigulu Nchemba. Kumbuka Mwigulu alikili mwenyewe kufadhili utengenezaji wa ile filamu kwa kununua vifaa. Na kama alivyoeleza mmojawapo katika uzi huu hadi video za mwigulu kukiri zipo na ziliwekwa hapa jamvini sote tukaona na kusikiliza. Lakini pia ushahidi ulishawekwa bayana juu ya mawasiliano ya Mwigulu na Ludovick Rwezaura pamoja na baadhi ya watumishi wa usalama wa ccm ambao ajira zao ni usalama wa taifa.

Hivyo kabla ya kushabia hili jiulize mara mbili, hii ina-back fire kwa mshangao wa CCM! Kumbuka hata Mwigulu alilalamika katika party cocus ya CCM nadhani kwamba zigo la Lwakatare linamwelemea. Uko wapi mkuu wewe? Acha kushabia mambo ya hatari yalisukwa kitoto sana na CCM! Elewa si kila anayevaa nguo ya kijani ni mwana CCM mwenzenu! Amka! Inaila CCM hii ya ndugu Kibanda maana ni ukweli wa asilimia nyingi kwamba Ludovick alihusika na utekaji wa Kibanda lakini ni kwa maelekezo ya Mwigulu Nchemba akidhani ana-paint an image kwa CDM, sasa kaa sawa Kibanda aendelee kufunguka.

Ushauri wangu Mwigulu Nchemba amtafute Kibanda haraka amzibe mdomo akubali yaishe kimya kimya maana inakula kwa CCM hii!

wewe, mbona unatokwa povu jingi hivyo??? achana na mleta hii mada, jibu maelezo yaliyopo kwenye mada,kwanza umejiunga leo japo una multiple IDs. acha ushirika ktk uovu, acha utesaji wa damu na roho ya binadamu wenzako, kuwa na huruma...ludovick amekamatwa akipokea maelekezo ya ugaidi kutoka kwa lwakatare ambaye leo mnamuona shujaa lakini ya arusha hamjichunguzi na kujihurumia kuwa mnakumbatia magaidi.
 
Na ukimsoma vizuri Kibanda utagundua ni kama ana feel guilt kumtaja ludo kuwa alimfananisha na mtesi wake.
Na ni wazi kuna mambo mengi alikuwa haja yakamilisha kabla ya kumsuspect ludo maana ni wazi bado ana doubt alicho kisema na anaamini kama alikosea kusema mapema hili jambo kwa ni wazi hata wahusika sasa wataanza kujipanga.

Amefanya mapema kusema na ndio maana hajui pakusimamia huyu ndugu Kibanda.

mtu yeyote akisoma comment yako vizuri atajua pasipo shaka kabisa kuwa wewe ni mtesaji au ni mshirika wa watesaji binadamu wenzako..mungu ailaani tabia yako chafu
 
Mhuska mkuu wa kutekwa kbanda ni bernard membe...maadui zake wawili wanahabari ni kbanda na kubenea altumia tiss kumng'oa meno na kucha kbanda
 
wewe, mbona unatokwa povu jingi hivyo??? achana na mleta hii mada, jibu maelezo yaliyopo kwenye mada,kwanza umejiunga leo japo una multiple IDs. acha ushirika ktk uovu, acha utesaji wa damu na roho ya binadamu wenzako, kuwa na huruma...ludovick amekamatwa akipokea maelekezo ya ugaidi kutoka kwa lwakatare ambaye leo mnamuona shujaa lakini ya arusha hamjichunguzi na kujihurumia kuwa mnakumbatia magaidi.

Kusoma hujui hata picha huoni??

Nimemjibu mleta hoja na hoja zake! Kama hutaki sikulazimishi maana na wewe ni wale wale tu mliofumbwa macho na ushabiki wa siasa badala ya kutumia akili kidogo tu mlizojaaliwa na Mwenyezi Mungu! Pole na utabaki hivyo hivyo hata siku ya kuaibika kwa wahusika unaowashabikia.
 
Tofauti na mtoa mada hii anavyofikiri mimi naona maneno ya Kibanda yanakaribia sana na maelezo ya Mabere Marando ya mwezi April 2013. Hapa Mwiguru anahaha!

Mtoa mada ana mahaba na CCM hadi anakosa uwezo wa kifikiri na kuushughulisha ubongo wake..... Bado kidogo uongo utajitenga hajashtukia wenzie Kina Ritz na ZeMarcopolo wametuliaaaa
 
Last edited by a moderator:
Mtu atakaye simama na kutamka bayana kuwa chadema hawamjui ludo kamwe hataishi mda mrefu make atakiwa ametenda dhambi kubwa mno.ludo na chadema damudamu.
 
Ifweero,
Kwa nini unataka kulazimisha waJF waamini kuwa Ludo aliaaminiwa sana CDM, inawezekana kujipendekeza kwake kwa viongozi ili amalize mission yake. Lakini mwisho wake ameumbuka na kuwaletea aibu CCM.
naamini alikuwa lover wa chadema na alitumika vizuri sana kukijenga chadema, soma vizuri maelezo ya manyerere jackton, maelezo ya mwampamba anavyomfahamu ludo, maelezo ya majid mjengwa, maelezo ya kibanda na maelezo ya ludo mwenyewe usiku wa mateso ya kibanda..acha siasa za majitaka kujifanya mpigania haki na usawa huku umezungukwa na damu. unajaribu sana kuilaumu ccm lakini kwa hili ni ngumu sana. kuna maeneo ccm ina madhaifu kama taasisi lakini kwa hili sidanganyiki.
 
Mtoa mada ana mahaba na CCM hadi anakosa uwezo wa kifikiri na kuushughulisha ubongo wake..... Bado kidogo uongo utajitenga hajashtukia wenzie Kina Ritz na ZeMarcopolo wametuliaaaa
pinga kwa hoja, unayojaribu kufanya ni name calling ambayo tumeizoea kuiona hapa baada kuzidiwa hoja na kukosa cha maana cha kuandika
 
naamini alikuwa lover wa chadema na alitumika vizuri sana kukijenga chadema, soma vizuri maelezo ya manyerere jackton, maelezo ya mwampamba anavyomfahamu ludo, maelezo ya majid mjengwa, maelezo ya kibanda na maelezo ya ludo mwenyewe usiku wa mateso ya kibanda..acha siasa za majitaka kujifanya mpigania haki na usawa huku umezungukwa na damu. unajaribu sana kuilaumu ccm lakini kwa hili ni ngumu sana. kuna maeneo ccm ina madhaifu kama taasisi lakini kwa hili sidanganyiki.
Sasa mkuu hili mbona liko wazi sana wala halina shaka yule ni kijana mtiifu wa chadema makao makuu hata dr slaa anajua.
 
staili mtakazotumia kutaka kuiangamamiza CHADEMA hazitafanikiwa maana kwa sasa mambo mnayofanya hata mungu anaona yana malengo ya kulinda maslahi yenu zaidi nani asiyejua kuwa NEW HABARI wako kimkakati zaidi?
 
CHADEMA kimepewa mafunzo na ushauri kutoka nje ya nchi kuwa kikitumia baadhi ya watumishi wa vyombo vya dola wasiokuwa waaminifu kuteka, kuumiza na hata kuua baadhi ya watu maarufu nchini wakiwamo waandishi na wanasiasa, basi wananchi wataamini kuwa Chama Cha Mapinduzi na Serikali yake kimeshindwa uongozi na sasa kimeanza kazi ya kuua wanaowapinga.

Kwa njia hiyo, inaelezwa kuwa hesabu za Chadema ni kuwa wananchi wataichukia CCM na Serikali yake na kukipa nafasi ya kuingia madarakani. Hapa kauli ya Chadema kuwa NCHI HAITATAWALIKA itakuwa imetimia.
 
Kusoma hujui hata picha huoni??

Nimemjibu mleta hoja na hoja zake! Kama hutaki sikulazimishi maana na wewe ni wale wale tu mliofumbwa macho na ushabiki wa siasa badala ya kutumia akili kidogo tu mlizojaaliwa na Mwenyezi Mungu! Pole na utabaki hivyo hivyo hata siku ya kuaibika kwa wahusika unaowashabikia.

na hii comment ya mwana jf mwenzako unasemaje??
user-online.png
Mtela Mwampamba

Today 12:15

Member
verified.png
Array

Join Date : 19th December 2012
Posts : 76
Rep Power : 53
Likes Received135
Likes Given61

icon1.png
Re: Kibanda azidi kufunguka, CHADEMA kikaangoni

uchaguzi wa marudio katika jimbo la uzini zanzibar Ludovick alikuja na Slaa akifanya kazi ya intelligensia na msaidizi mkuu wa slaa na mimi nilikuwepo.

Halafu huyu slaa aliposema kuwa hamfahamu ludo baada ya hii picha anasemaje,aje aongee uongo tena tumcheke make jana alikataa kwa nguvu sana.
 
na hii comment ya mwana jf mwenzako unasemaje??
user-online.png
Mtela Mwampamba

Today 12:15

Member
verified.png
Array

Join Date : 19th December 2012
Posts : 76
Rep Power : 53
Likes Received135
Likes Given61

icon1.png
Re: Kibanda azidi kufunguka, CHADEMA kikaangoni

uchaguzi wa marudio katika jimbo la uzini zanzibar Ludovick alikuja na Slaa akifanya kazi ya intelligensia na msaidizi mkuu wa slaa na mimi nilikuwepo.

Kuna yeyote anayepinga hilo la Ludovick kushiriki intelijinsia ya Chadema? Kama unafuatilia hali ya mambo ni kwamba Mwigulu alisema huwa anawatumia vijana ndani ya Chadema. Ni kama nilivyosema awali kwamba si kila anayevaa nguo za kijani ni mwana ccm. The opposite is also TRUE! Kwa njia hiyo ndio maana CCM ilimudu kuvidhoofisha vyama vilivyowahi kuwa tishio kama NCCR-Mageuzi na CUF. Ila siku zote mwisho wa ubaya ni aibu! Ludovick akiwa amevaa magwanda kumbe alirubunika na hela za CCM kupitia Mwigulu ili kuimaliza CDM! Kwa bahati mbaya wakati huu inaelekea ku-back fire! Na inaenda kuwa aibu kwa chama ukipendacho CCM!
 
na hii comment ya mwana jf mwenzako unasemaje??
user-online.png
Mtela Mwampamba

Today 12:15

Member
verified.png
Array

Join Date : 19th December 2012
Posts : 76
Rep Power : 53
Likes Received135
Likes Given61

icon1.png
Re: Kibanda azidi kufunguka, CHADEMA kikaangoni

uchaguzi wa marudio katika jimbo la uzini zanzibar Ludovick alikuja na Slaa akifanya kazi ya intelligensia na msaidizi mkuu wa slaa na mimi nilikuwepo.

Tunashukru kwa kuendelea kuweka wazi ushahidi huu ili watu wafahamu ukweli ulivyo.
 
Tungeanzia na viongozi wote waliotamka nchi haitatawalika waunganishwe kwny hii kesi makubwa yatajulikana zaidi ya aliyosema kibanda hv polisi wanasubiri nini ushahidi upo tuwataje humu kwa rejea
 
Kwa bei gani????? Shame on u. Mkeshafsanya watu vilema ndo haya!!! Shetani nae anataka kutawala kupitia maccm, majambazi
 
kuna yeyote anayepinga hilo la ludovick kushiriki intelijinsia ya chadema? Kama unafuatilia hali ya mambo ni kwamba mwigulu alisema huwa anawatumia vijana ndani ya chadema. Ni kama nilivyosema awali kwamba si kila anayevaa nguo za kijani ni mwana ccm. The opposite is also true! Kwa njia hiyo ndio maana ccm ilimudu kuvidhoofisha vyama vilivyowahi kuwa tishio kama nccr-mageuzi na cuf. Ila siku zote mwisho wa ubaya ni aibu! Ludovick akiwa amevaa magwanda kumbe alirubunika na hela za ccm kupitia mwigulu ili kuimaliza cdm! Kwa bahati mbaya wakati huu inaelekea ku-back fire! Na inaenda kuwa aibu kwa chama ukipendacho ccm!

huko ni kuweweseka na bila shaka umekunywa viroba vya kinondoni. Kwa vile mumeumbuka ndo mnamkana ludovick eti alikuwa anatumika na ccm. Mbona dr slaa hatuelezi alikuwa anamtumia vipi ludovick wakati anavolunteer
 
Back
Top Bottom