Mwigulu Nchemba hajawahi kukanisha na aje hapa abishe alivyomtuma Ludovick.... Endelea kuchimba not long utaupata ukweli
Mkuu hauko serious.
Dr Slaa anawezaje kuhojiwa kwa volunteers wa chama walioko kila kona ya nchi hii. Unajua maana ya volunteer? Maana yake ni mtu anayejitolea kufanya kazi za chama bila malipo. Watu wa namna hii wako ktk kila ngazi- usiwapotoshe watu humu bila sababu. Wako wanaojitolea au kuvolunteer ktk ngazi za kijiji/mtaa, kata, wilaya mkoa au Taifa. Na watu hawa huwezi kuwatawala ktk utendaji wao wa kila siku kwa sababu hujawaajiri.
Kwa hiyo, volunteer anaweza kwenda ktk eneo analojitolea mara mbili kwa wiki kwa wiki au mara 1 kwa mwezi ktk ngazi yo yote. Vile vile anaweza kufanya kazi saa moja kwa siku akaondoka na huwezi kumhoji.
Sasa, kutaka kuhoji Chadema kwa sababu ya Volunteer ambaye hujatumbia alitolea mara ngapi kwa mwezi au mwaka makao makuu ni upotoshaji wa makusudi ambao hauwezi kuijenga ccm.
Tatu, collectivie responsibility ni kwa watu walioajiriwa ambao wanaongozwa na utaratibu tofauti na waliochaguliwa ktk ngazi mbali mbali kwa sababu wanafanya hayo wakiwa na dhamana kubwa zaidi ya chama. Volunteer ni kama mwanachama wa kawaida anavyojitolea kujenga chama mahali po pote. Tofauti ni tu ni kwamba Ludo alikwenda makao makuu mara kadhaa japo hatujaambiwa mara ngapi kwa mwaka.
Mwisho hatujaambiwa kama alianza kujitolea makao makuu akiwa tayari ana mahusiano ya karibu na akina mwigulu Nchmba au la.
mimi nilisha toa maelezo yangu juu ya Ludovick na mahusiano na slaa na chadema kwa ujumla.Slaa alikuwa anafanya kazi kwa ukaribu sana na Ludovick ushahidi ninao
kazi imeanza arusha kama ilivyokuwa jana..nadhani sasa muda wa kuchekeana na kubembelezana umekwishaLabda nitumie maneno mengine inawezekana utanielewa, kwa serikali yoyote makini yenye jeshi, usalama wa taifa nk isingeruhusu raia wake kunyanyaswa na kikundi chochote kutoka ndani au nje ya mipaka yake. kwa mtazamo wangu matukio hayo ya mauaji, utekaji, utesaji ulipuaji mabomu, na uvunjifu huu wa sheria usingetokea kama kusingekuwa na mkono wa serikali. BELIEVE ME OR NOT ONLY THE GOVERNMENT CAN STOP ALL THESE PROBLEMS BY DOING THE RIGHT THINGS TOWARDS HIS PEOPLE
![]()
Dr.W.Slaa hemu jionee hii picha, huyo kijana wa hapo nyuma ya bwana Lwakatare msimkanee, kwa sasa mkiendelea kumkana taswira inayojengeka kwenye jamii ni kwamba MMEMSALITI.
![]()
Dr.W.Slaa hemu jionee hii picha, huyo kijana wa hapo nyuma ya bwana Lwakatare msimkanee, kwa sasa mkiendelea kumkana taswira inayojengeka kwenye jamii ni kwamba MMEMSALITI.
Tatizo lako wewe ni muongo na huna kumbukumbu nzuri. Ina maana umesahau siku Mwigulu aliposema kwamba alimpa hela Ludovick kama rafiki wa kawaida kama anavyowapa akina Nassari? Siku hiyo Mwigulu alisema alishawahi kumpa Nassari shilingi laki tano, na Nassari akampinga vikali na kumtaka athibitishe, lakini Mwigulu aliingia mitini alipotakiwa kuthibitisha. Kama ni uongo Mwigulu Nchemba mwenyewe aje akanushe hapa. Inaonekana wewe umetumwa kuja kuleta propaganda usizosijua.
Kwa Kuongezea tu, Ludovick Rwezaula ni Mshirika Mkuu wa Mwigulu Nchemba .
Huyu ndio Mtu ambaye hata Mwigulu Mwenyewe amekiri kuwa ndiye aliyemtumia Ku Pika Video ya Lwakatare.
slaa anamfahamu vizuri sana Lodovick na tumefanya kazi wote pale makao makuu ya chadema
mkuu hauko serious.
Dr slaa anawezaje kuhojiwa kwa volunteers wa chama walioko kila kona ya nchi hii. Unajua maana ya volunteer? Maana yake ni mtu anayejitolea kufanya kazi za chama bila malipo. Watu wa namna hii wako ktk kila ngazi- usiwapotoshe watu humu bila sababu. Wako wanaojitolea au kuvolunteer ktk ngazi za kijiji/mtaa, kata, wilaya mkoa au taifa. Na watu hawa huwezi kuwatawala ktk utendaji wao wa kila siku kwa sababu hujawaajiri.
Kwa hiyo, volunteer anaweza kwenda ktk eneo analojitolea mara mbili kwa wiki kwa wiki au mara 1 kwa mwezi ktk ngazi yo yote. Vile vile anaweza kufanya kazi saa moja kwa siku akaondoka na huwezi kumhoji.
Sasa, kutaka kuhoji chadema kwa sababu ya volunteer ambaye hujatumbia alitolea mara ngapi kwa mwezi au mwaka makao makuu ni upotoshaji wa makusudi ambao hauwezi kuijenga ccm.
Tatu, collectivie responsibility ni kwa watu walioajiriwa ambao wanaongozwa na utaratibu tofauti na waliochaguliwa ktk ngazi mbali mbali kwa sababu wanafanya hayo wakiwa na dhamana kubwa zaidi ya chama. Volunteer ni kama mwanachama wa kawaida anavyojitolea kujenga chama mahali po pote. Tofauti ni tu ni kwamba ludo alikwenda makao makuu mara kadhaa japo hatujaambiwa mara ngapi kwa mwaka.
Mwisho hatujaambiwa kama alianza kujitolea makao makuu akiwa tayari ana mahusiano ya karibu na akina mwigulu nchmba au la.
Hivi wewe na akili zako timamu ulikubaliana na maelezo ya Marando na zile kauli za wabunge kuhusu hizo pesa alizotuma Mwigulu?
Mbona mnaichukulia hii ishu kirahisi rahisi hivyo? sikiliza mkuu, intelijensia yangu sina shaka nayo, haya yote unayoyaweka hapa usidhani unanishangaza, yote yamekuwa yakisemwa na kuaminiwa na watu wenye maono mafupi kama wewe, mimi nachimba na kutafuta kiini zaidi cha huu mkasa.